Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Nimecheka walevi wanaraha zao na karaha kuna rafiki yangu yeye glass 3 za wine anawaza amchokoze nan wapigane mahali alipo mlipo kaa kwaiyo nkiwa nae me kazi kuomba misahama tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Ulevi upo wa aina mbili - Wa asili na ule wa kisasa sasa mtoa hoja unaongelea upi?

Ule wa asili:

P.jpg



Wa Kisasa:
beer-parlour.jpg
 
Daaa mim nikiwa ya tatu napata mzuka na mistari ya kutongoza inakuja kwa kasi,dem yoyote lazma akubali hata kama natongoza kwa simu
 
Mimi bia ya kwanza huwa naiona chungu sana then nachelewa mno kuimaliza....ila ya pili na kuendelea naziona tamu kama sukari guru
 
We utakuwa hunywi, unashangaa laki kuna wanaoteketeza m1. Sasa nao sijui utawauliza swali gani. Naomba ukae hivyohivyo bila kunywa maana.......majuto ni mjukuu
...kama majuto ni mjukuu maana yake unakubali huo ni ufala!!
..yani binafsi unywe bia 1,utoe ofa 3!
.na kabla sijasahau,kama huu ndo unywaji wako
....nahisi nimeanza kunywa kabla hujazaliwa!
 
Mtu unakuta anaanza ohh pombe mbaya hua namwangilia af namesa fundo lingine

Kwakweli pilsner king chupa ndogo nikipiga nne najiongelesha balaa ikifika ya 7 naanza kwenda home
Sijawahi bebwa
 
...unakataje laki kwa bia 12 mzee?
..kwamba unatoa ofa zaidi ya unavyojinunulia?

Hakuna watu wazuri kwenye hesabu ya kuzidisha kama baamedi wanaendaga sawa na mteja na wanawajuaga watu wao wanagombaniaga hadi mezaa kichwa chao kikitimba unaweza kununulia watu 3 wenyewe wanazidisha mara 2 ukichanganya na ww uko vibe hyo 120 n dakika sifuri tu inakaaa mm zikifika 7 n mwendo wa leta 3 na bili hyo ndo salama yangu
 
Watu kama wewe wameshanipa ushauri sana wa kupiga vyombo ila msimamo ni hapana vinywaji laini vinatosha
Utasumbua sana wajukuu zako kwa kukumbuka ujana ukiwa mzee.vunja mifupa wakati meno ipo
 
Hakuna watu wazuri kwenye hesabu ya kuzidisha kama baamedi wanaendaga sawa na mteja na wanawajuaga watu wao wanagombaniaga hadi mezaa kichwa chao kikitimba unaweza kununulia watu 3 wenyewe wanazidisha mara 2 ukichanganya na ww uko vibe hyo 120 n dakika sifuri tu inakaaa mm zikifika 7 n mwendo wa leta 3 na bili hyo ndo salama yangu
....teh hee hee..hapo kwenye wanawajuaga 'watu' wao ungeweka tu wanawajuaga 'mambwiga' wao!
...ila hoja yangu mimi ni rahisi tu:kwamba huwezi kutoa ofa kuliko unavyojinunulia binafsi;huo ni ufala tu!
..na kuibiwa na mabaamedi ni ufala zaidi!
 
Back
Top Bottom