Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

Chunga mali zako mkuu, usipokuwa makini utaibiwa hadi naniino, kuibiwa simu kama hujakabwa ni uzembe kwa kijana mwanaume
 
Sijakuruhusu unisemee na wala sijakuteua uwe my Spokesman / Spokeswoman tafadhali sawa? Anayeguswa hapo ni Mama yangu na siyo Mama yako sasa ' Kiherehere ' chako cha ' Kinafiki ' kinatoka wapi wakati najua kuwa hiyo ID na hii ni Wewe mwenyewe? Hivi unadhani GENTAMYCINE ni mvivu kiasi hicho nisiweze kukujua na kukusoma Wewe mapema? Nikuambie tu kwamba nimebarikiwa mno ' Upstairs ' na Mwenyezi Mungu halafu ni mjanja, makini na ' Mafia ' vile vile. Sitaki ' ujipendekeze ' kunisemea tafadhali sawa? Wewe tuendelee na kupeana Kwetu ' Shombo ' kwani huwa nawapenda na nawatamani mno Watu kama nyie.

ivi unajua sisomagi magazet yako. Usiwe unajisumbua kuandika maneno mengi.

Sawa ID Ni yangu nadhani ndo unachotaka kusikia.
 
Ungekuwa husomi ' Magazeti ' yangu usingeweza kujua nilichokuandikia hadi unalazimika kunijibu. Na ndiyo maana nakuambia kuwa huna akili halafu unakataa. Yaani leo nitakutesa ' Kisaikolojia ' humu hadi ujute kunifahamu kwani inaonyesha Wewe ni Mgeni Kwangu.
 
Kama lengo lako ndo hilo amini umepotea njia
 
Toka niibiwe 1Million hapo sitaki kabisa kukanyaga, nahisi niliwekewa drugs nikasinzia kisha wakachomoa bunda moja la 1Million. Ingawa wana camera lakini ni Analog hazimuonyeshi sura mtu zaidi ya giza giza. Sina hamu na hiyo sehemu.
Pumba tupu unaenda bar na million mfukon kama sio undezi ni nin?...,wacha wakufundishe nidhamu ya pesa
 
Naandika haya kwa masikitiko kupitia Tecno baada ya simu yangu kuibiwa pale Lachaz usiku wa Jumamosi. Mimi ni mteja wa muda mrefu wa Lachaz pub Sinza Mori toka inafunguliwa pale pamekuwa ndio kijiwe changu cha kuchekia mpira na kuburudika.

Siku zinavyozidi kwenda idadi ya watu inaongezeka pia ukizingatia wakati huu Bar maarufu kama Katarunya kwa sasa zinadoda kwahiyo kimbilio ni Lachaz Pub.

Kama mwezi sasa pale ndani pamekuwa pana jaa malaya na vibaka ambao wapo tuu wanazunguka mle ndani wakati si wateja, pamekua na mtandao mkubwa pale wa wezi wa simu kwa kuwaibia wateja na hili linafanywa kwa kushirikiana na wahudumu,mabaunsa,malaya wa pale na vibaka.

Sijui kama mmiliki unalijua hili takwimu kamili nadhani wanazo POLISI MABATINI maana nilivyoenda kuchukua RB polisi ameniambia kwa usiku mmoja tuu watu wasiopungua watatu lazima waibiwe simu pale na waende ku report polisi kesho yake.

Kwako mmiliki naomba ujue wateja wako wakudumu tumeanza kupungua na ujitahidi kufanya haraka kulitafutia ufumbuzi ilo tatizo,vijana wenzangu naomba muwe makini na wallet zenu na simu zenu mkiwa pale Lachaz(IKIBIDI ACHENI KWENDA WAJIFUNZE) na kwa mwizi,kwasababu simu yangu ilikua iphone unaweza ukanifata inbox nikupe at least hela ambayo utaenda kuiuza kama skrepa.
Sasa unataka mmiliki akutunzie simu yako?kwake yeye wote ni wateja hawezi kutenganisha mwizi/malaya/na wateja wengine,unapoenda sehemu za starehe untkiwa kuwa makini na vitu vyako.Wengi hulewa hadi kutojitambua na ndio wengi wao huibiwa.Hata mimi hapo ni sebuleni pangu lakini sijawahi ibiwa.
 
Mzee baba...Mimi nmeanza kwenda lachaz wakati inafunguliwa napajua vizuri pale....Juzi wamemlamba hadi DJ Choka,na niiue biashara ya mwenye lachaz ili iweje wakt mm sina biashara ya mtindo huo?na sio uzembe wa mali zako Lachaz kilikua kijiwe cha wastaarabu huwez kukuta mtu kaibiwa wala gari kuibiwa vifaa kama bar za uchochoron zilivyo lakn nenda lachaz utanipa majibu(kama hata unapajua)
Kwani kuibiwa kwa Dj Choka ndio sababu za kutaka mmiliki aingilie kati,kwenye bar ni kama kwenye daladala,chunga mzigo wako,hata Maisha Club watu huibiwa ,penye wengi pana mengi.Mabo ya kusema umeanza kwenda kitambo hayasaidii chochote hao wezi na malaya wapo hapo kuanzia siku ya kwanza
 
Haya mjanja wewe mzee baba.[emoji3] [emoji122] [emoji122] nikikuona nitakupa simu wewe unishikie
 
Halafu wezi wasipokuwepo sehemu kama ile haipendezi. Pambana na ulevi wako tu
 
Naandika haya kwa masikitiko kupitia Tecno baada ya simu yangu kuibiwa pale Lachaz usiku wa Jumamosi. Mimi ni mteja wa muda mrefu wa Lachaz pub Sinza Mori toka inafunguliwa pale pamekuwa ndio kijiwe changu cha kuchekia mpira na kuburudika.

Siku zinavyozidi kwenda idadi ya watu inaongezeka pia ukizingatia wakati huu Bar maarufu kama Katarunya kwa sasa zinadoda kwahiyo kimbilio ni Lachaz Pub.

Kama mwezi sasa pale ndani pamekuwa pana jaa malaya na vibaka ambao wapo tuu wanazunguka mle ndani wakati si wateja, pamekua na mtandao mkubwa pale wa wezi wa simu kwa kuwaibia wateja na hili linafanywa kwa kushirikiana na wahudumu,mabaunsa,malaya wa pale na vibaka.

Sijui kama mmiliki unalijua hili takwimu kamili nadhani wanazo POLISI MABATINI maana nilivyoenda kuchukua RB polisi ameniambia kwa usiku mmoja tuu watu wasiopungua watatu lazima waibiwe simu pale na waende ku report polisi kesho yake.

Kwako mmiliki naomba ujue wateja wako wakudumu tumeanza kupungua na ujitahidi kufanya haraka kulitafutia ufumbuzi ilo tatizo,vijana wenzangu naomba muwe makini na wallet zenu na simu zenu mkiwa pale Lachaz(IKIBIDI ACHENI KWENDA WAJIFUNZE) na kwa mwizi,kwasababu simu yangu ilikua iphone unaweza ukanifata inbox nikupe at least hela ambayo utaenda kuiuza kama skrepa.
Tumeacha kwenda (mm na mr ) la chaz baada ya kujaza malaya sana kule ndani yan tofaut na zamn palikuwa pa kistaarabu mno,, inafikia mabonsa wanatreat mwanamke yoyote mle ndani kama malaya inahuzunisha sana ,,ukiingia vyoon (vya kike) ni aibu na fedheha tupu,, ni malaya wengi mno,, kinachoboa kupita kiasi ni wale wamasai wanaolinda magar hiv hawalipwi mshahara mana kama wako 3 wanataka uwatoe wote watakung'ang'ania balaa sasa tuende na budget zao pia???

Haijalish mtu yuko na nani unatongozwa mbele ya mumeo akidhan ww i malaya umeenda tu kudanga(kutafuta bwan) yan pale wanawake wote wanajulimshwa kama malaya tu,,,

Kingine ugomvii ..yan hukawii kuona ngumi,, sababu kuu ni kujaza wahuni wa mtaani mno

Na hiv mabounsa kazi yenu ni kulinda usalama ama kushikana shikana na wale malaya?????????
 
Mzee baba...Mimi nmeanza kwenda lachaz wakati inafunguliwa napajua vizuri pale....Juzi wamemlamba hadi DJ Choka,na niiue biashara ya mwenye lachaz ili iweje wakt mm sina biashara ya mtindo huo?na sio uzembe wa mali zako Lachaz kilikua kijiwe cha wastaarabu huwez kukuta mtu kaibiwa wala gari kuibiwa vifaa kama bar za uchochoron zilivyo lakn nenda lachaz utanipa majibu(kama hata unapajua)
Usijikaushe mate kwa mtu asopajua hapo ,,, amn palikkuwa ndio chimbo la wastaarabu wote
 
Pole sana mkuu, tunapajuwa sana pale, toka miaka ya 95 mpaka leo!
Ubaya bar ikikua lazima ikaribishe vibaka, pretenders na wajinga wajinga..
Ni swala la kulifikisha kwenye utawala, at least mabaunsa watachuja watu, uongozi wa La Chaz lazima ukubali kero hizi na kuimarisha usalama kwa wateja wao..
Kuibiwa simu au hela bar siyo kitu cha ajabu (kwa wanywaji waliobobea), ila ni ajabu kwa pretenders..
 
Ni aibu sana kujiita wa ' Dar es Salaam ' halafu tena ukawa unaibiwa Simu Kizembe Kizembe tu. Jamani rudini tu kwenu huko Mashambani / Vijijini Kyaka Nkunde na Ikupilipa Nkoba na mtuachie wenyewe wenye huu mji wetu ambao tokea tuzaliwe hapa hapa ' downtown ' miongo mitatu na nusu iliyopita hatujawahi si tu kuibiwa bali hata tu ' Kuviziwa ' na Wezi, Vibaka na Majambazi na huwa mara kwa mara tunakatiza maeneo yao hayo hayo lakini badala ya kutuvamia na kutupora utasikia tu wanaamkia Shikamoo ' Braza ' GENTAMYCINE huku wakiwa wanatetemeka.

Hahahaaaa, braza wangu wewe una maneno sana, ila ulichokiongea ndivyo kilivyo kabisaaaa, jitu linalewa bar kiboya boya halafu linakuja kutujazia server humu kwa malamiko y'a kizembe, Mbona sisi madontown kitambo watoto wa kiswazi hawatugusi
 
Pole sana mkuu, tunapajuwa sana pale, toka miaka ya 95 mpaka leo!
Ubaya bar ikikua lazima ikaribishe vibaka, pretenders na wajinga wajinga..
Ni swala la kulifikisha kwenye utawala, at least mabaunsa watachuja watu, uongozi wa La Chaz lazima ukubali kero hizi na kuimarisha usalama kwa wateja wao..
Kuibiwa simu au hela bar siyo kitu cha ajabu (kwa wanywaji waliobobea), ila ni ajabu kwa pretenders..
Sure.Lazima mmilikia ajitathmini
 
Tumeacha kwenda (mm na mr ) la chaz baada ya kujaza malaya sana kule ndani yan tofaut na zamn palikuwa pa kistaarabu mno,, inafikia mabonsa wanatreat mwanamke yoyote mle ndani kama malaya inahuzunisha sana ,,ukiingia vyoon (vya kike) ni aibu na fedheha tupu,, ni malaya wengi mno,, kinachoboa kupita kiasi ni wale wamasai wanaolinda magar hiv hawalipwi mshahara mana kama wako 3 wanataka uwatoe wote watakung'ang'ania balaa sasa tuende na budget zao pia???

Haijalish mtu yuko na nani unatongozwa mbele ya mumeo akidhan ww i malaya umeenda tu kudanga(kutafuta bwan) yan pale wanawake wote wanajulimshwa kama malaya tu,,,

Kingine ugomvii ..yan hukawii kuona ngumi,, sababu kuu ni kujaza wahuni wa mtaani mno

Na hiv mabounsa kazi yenu ni kulinda usalama ama kushikana shikana na wale malaya?????????
Uliyoongea yote ndio ukweli mtupu uliopo pale..Tunaopajua vizuri wengine wanahisi labda tunadanganya au tumekua wazembe,pale sikuhizi malaya ni wengi kuliko wanawake wa kawaida..pamekua kama kona bar,ukikaa kidogo lazima usikie kuna ugomvi .Sio lachaz tuliyoizoea
 
Back
Top Bottom