Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

Naomba nikujulishe tu la chaz wizi hupo tangu haijawa la chaz na malaya na hibaka wapo hata kabla haijaitwaa lachaz so kinachotakiwa ni ww kuwa makini na pale hata kama hujalewaa unawezaa ibiwaa so cha muhimu ni kuwa mwangalifu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Tabata Chimbo gani mkuu? Hebu Lete marneo ya huko tuje maana Sinza tumetishika napo
 
Toka niibiwe 1Million hapo sitaki kabisa kukanyaga, nahisi niliwekewa drugs nikasinzia kisha wakachomoa bunda moja la 1Million. Ingawa wana camera lakini ni Analog hazimuonyeshi sura mtu zaidi ya giza giza. Sina hamu na hiyo sehemu.
 
Mwanaume unaibiwa simu ? Walahih ukiendelea na huo ulevi zembe wayakuvua suruali. Hata kama hawatakufanya mke lkn wataweka viashiria vyoote kwama wewe ni pishi tayari kwa kuliwa kwani ulishaliwa
 
Mwanaume unaibiwa simu ? Walahih ukiendelea na huo ulevi zembe wayakuvua suruali. Hata kama hawatakufanya mke lkn wataweka viashiria vyoote kwama wewe ni pishi tayari kwa kuliwa kwani ulishaliwa
Kama huna la kuongea bora ukae kimya utumie kichwa chako kufanyia vitu vya maana
 
masifa ya kuacha simu mezani ndio yanawaponza...tumia simu ukinaliza weka mfukoni. .ukienda chooni nenda nayo hautakaa uibiwe
Acha waibiwe tu. Si wanaenda wenyewe na hao ndio wateja wa malaya pale. Malaya sio watu wema. Waepuke uishi maisha marefu
 
Ni aibu sana kujiita wa ' Dar es Salaam ' halafu tena ukawa unaibiwa Simu Kizembe Kizembe tu. Jamani rudini tu kwenu huko Mashambani / Vijijini Kyaka Nkunde na Ikupilipa Nkoba na mtuachie wenyewe wenye huu mji wetu ambao tokea tuzaliwe hapa hapa ' downtown ' miongo mitatu na nusu iliyopita hatujawahi si tu kuibiwa bali hata tu ' Kuviziwa ' na Wezi, Vibaka na Majambazi na huwa mara kwa mara tunakatiza maeneo yao hayo hayo lakini badala ya kutuvamia na kutupora utasikia tu wanaamkia Shikamoo ' Braza ' GENTAMYCINE huku wakiwa wanatetemeka.
Huu ujumbe murua sana.
 
Acha waibiwe tu. Si wanaenda wenyewe na hao ndio wateja wa malaya pale. Malaya sio watu wema. Waepuke uishi maisha marefu
Mzee upo kibaha ukoo unalalamika maji hakuna unakuja kuchangia post za watu mjini[emoji3] [emoji3] [emoji122] ..wewe tulia tukianza kuulizia mashamba tutakuita..Vipi umeoga leo ??
 
Ni aibu sana kujiita wa ' Dar es Salaam ' halafu tena ukawa unaibiwa Simu Kizembe Kizembe tu. Jamani rudini tu kwenu huko Mashambani / Vijijini Kyaka Nkunde na Ikupilipa Nkoba na mtuachie wenyewe wenye huu mji wetu ambao tokea tuzaliwe hapa hapa ' downtown ' miongo mitatu na nusu iliyopita hatujawahi si tu kuibiwa bali hata tu ' Kuviziwa ' na Wezi, Vibaka na Majambazi na huwa mara kwa mara tunakatiza maeneo yao hayo hayo lakini badala ya kutuvamia na kutupora utasikia tu wanaamkia Shikamoo ' Braza ' GENTAMYCINE huku wakiwa wanatetemeka.

Asee mtoa thread mwizi wako wa iPhone ni uyu hapa bila shaka
 
Mama ako namtumia apa

Nafurahi kuzijua ID's zako na kuonyesha kuwa unaniogopa na unashindwa kulikabili Jeshi la Mtu mmoja la GENTAMYCINE yaani unapepesuka hadi unalazimika kufungua ID's zingine ili unishambulie. Mkuu vita yangu hakuna wa kuiweza na ndiyo maana mkija ' KichwaKichwa ' Kwangu huwa nawatulizeni na ' dozi ' zangu na mnakoma wenyewe. Mtaanzisha sana ID's mpya mwaka huu ili tu mpambane nami ambaye kwa ' Kujiamini ' kabisa natumia hii hii ID na bado nawaweza / nawamudu / nawashinda.
 
Si nasikia mmiliki ni Charles Hillary wa Azam Tv ....mtafute umpe ujumbe/ushauri.
 
Back
Top Bottom