Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

Usijikaushe mate kwa mtu asopajua hapo ,,, amn palikkuwa ndio chimbo la wastaarabu wote
Sana sana, kulikuwa na wastaarabu wenye kazi zao, familia zao, biashara zao, kina mama/dada na wanaume...
Wanakuja pale na business cards zao kuja ku unwind na nini nanini..Palikuwa pametulia siyo siri, ila kama wasemavyo watu, kijiwe kikianza kukua sana lazima kikaribishe wapuuzi tu..
 
Kabisa ,,, ila mabonsa wote pale wanawajua wale malaya vyema sana na wanaushirikiano mzuri tu ,, sasa akitaka mambo yakae sawa afukuze mabonsa wote alete wapya afukuze wahudumu hasa wa vinywaji alete wapya,, inaweza saidia kurudisha ile hadhi ya nyuma
 
Hahahaaaa, braza wangu wewe una maneno sana, ila ulichokiongea ndivyo kilivyo kabisaaaa, jitu linalewa bar kiboya boya halafu linakuja kutujazia server humu kwa malamiko y'a kizembe, Mbona sisi madontown kitambo watoto wa kiswazi hawatugusi

Ha ha ha ha ha ha mdogo wangu wa damu kabisa steveachi una vituko mno. Tena Wewe ndiyo ulikuwa unakaa kwa ' Masela ' kabisa pale Sinza ambapo Watoto wote wa ' Kihuni ' ndiyo ilikuwa Kambi yao Kuu lakini hata hawakuwahi kukugusa achilia mbali kukupora.
 
Kabisa ,,, ila mabonsa wote pale wanawajua wale malaya vyema sana na wanaushirikiano mzuri tu ,, sasa akitaka mambo yakae sawa afukuze mabonsa wote alete wapya afukuze wahudumu hasa wa vinywaji alete wapya,, inaweza saidia kurudisha ile hadhi ya nyuma
Good idea
 
Ha ha ha ha ha ha mdogo wangu wa damu kabisa steveachi una vituko mno. Tena Wewe ndiyo ulikuwa unakaa kwa ' Masela ' kabisa pale Sinza ambapo Watoto wote wa ' Kihuni ' ndiyo ilikuwa Kambi yao Kuu lakini hata hawakuwahi kukugusa achilia mbali kukupora.
Sawa Mr.Much Know ....Mutoto ya Mujini .Mr Dar es salaam
 
Inashangaza sana watu wa mikoani mnatuharibia sana.... malaya nyie, wezi nyie, mnaibiwa nyie....
Anyway pole mkuu
 
Mzee baba...Mimi nmeanza kwenda lachaz wakati inafunguliwa napajua vizuri pale....Juzi wamemlamba hadi DJ Choka,na niiue biashara ya mwenye lachaz ili iweje wakt mm sina biashara ya mtindo huo?na sio uzembe wa mali zako Lachaz kilikua kijiwe cha wastaarabu huwez kukuta mtu kaibiwa wala gari kuibiwa vifaa kama bar za uchochoron zilivyo lakn nenda lachaz utanipa majibu(kama hata unapajua)
pole mpambanaji, pale malaya wengii sana sasa hivi, na uwingi wa malaya unaendana na wezi na watumia madawa, pokea ushauri wa wadu tu kwamba ukienda pale acha misifa ya kujionyesha ww una simu kali ikibidi cm acha hm nenda na cm ya tochi tu mzee baba.
 
Ahaaa nitaanza kuacha om
 
Back
Top Bottom