Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Hivi kweli huwa kuna laana?
Kujitunza kwamaana ya kua muaminifu kwa mwenzako na kujua thamani ya mwili wakoSijui kujitunza kupi unamaanisha mae!
Kwako wewe kujitunza ni ubikra?Hamjitunzi bhana... Hivi unafikir kwann tusiwatende kama nmeanza uhusiano na ww nakuta huna bikra je hyo bikra nan kaitafuna? Hapo ndio panakuwa chanzo
Hapo ndio chanzo kama ulishindwa kutunza bikra yenye maumivu kuitoa, yenye heshima sasa utawezaje kujitunza ukiwa unaujua utamu?Kwako wewe kujitunza ni ubikra?
Hamna cha laana Wala nn hyo ni mitazamo tu..afadhali umesema wewe mwanaume angesema mwingine hapa sijui ingekuwaje!!
Hamna kitu kibaya kama kumpotezea mwenzako muda
So kwakua sina bikra ndio siwezi kujitunza sio!Hapo ndio chanzo kama ulishindwa kutunza bikra yenye maumivu kuitoa, yenye heshima sasa utawezaje kujitunza ukiwa unaujua utamu?
Hujiulizi kwann zaman ukikutwa huna bikra ilikuwa ni fedheha kubwa zaid ya kufumaniwa ukiwa ndan ya ndoa?
Hahahaha hyo ngumu Kabisa labda asitokee mtu wa kukutongoza lakn ukitongozwa utaachia tu..So kwakua sina bikra ndio siwezi kujitunza sio!
Hebu kwanza tupate maana ya "kujitunza" ili tuelewane vizuriHahahaha hyo ngumu Kabisa labda asitokee mtu wa kukutongoza lakn ukitongozwa utaachia tu..
Kama ulithubutu ukiwa hujajua utamu utashindwa nn wakat unaujua utamu?
Mm binafsi mwanamke wa sasa hivi akiniambia najitunza namuitikia tu kwakuwa ubishani sio jambo jema ila simwamini hata kwa asilimia 0.00001%
Hata mke wangu simwamini hata kidogo..
Neno Kujitunza linaeleweka lakn nyinyi mnakitumia kwa midomo tu na sio kwa vitendo..Hebu kwanza tupate maana ya "kujitunza" ili tuelewane vizuri
Mimi sijaelewa,hebu nipe mwanga kidogo nipate kuelewaNeno Kujitunza linaeleweka lakn nyinyi mnakitumia kwa midomo tu na sio kwa vitendo..
hahhaaa mwachie bwana , kwani ww haujamkosea ?Hakuna kitu kinauma kama kupotezewa Muda, Ex wangu hadi leo pamoja na kuwa na kazi nzuri maisha yake hayaeleweki, kwenye mahusiano ndo usiseme, nabado napiga goti kwa Mungu siku atakayorudi kuomba msamaha kwakunikosea ndo amwachilie.
Kujitunza au kutunza ni kitendo kujiweka au kukiweka kitu ktk mazingira salama ambayo yatakifanya kisiharibiwe,Mimi sijaelewa,hebu nipe mwanga kidogo nipate kuelewa
lakini matatizo mengine watu ujitakia , ww unaona kabisa toka mwanzo mtu hakupendi ww unalazimisha mapenzi, matokeo yake baadaye anakuacha unaanza kulalamikaKinyongo nilichokibeba si rahisi kusamehe.
Ewe kwani hujaolewa?Hakuna kitu kinauma kama kupotezewa Muda, Ex wangu hadi leo pamoja na kuwa na kazi nzuri maisha yake hayaeleweki, kwenye mahusiano ndo usiseme, nabado napiga goti kwa Mungu siku atakayorudi kuomba msamaha kwakunikosea ndo amwachilie.
hahahaha we kibokoHakuna kitu kinauma kama kupotezewa Muda, Ex wangu hadi leo pamoja na kuwa na kazi nzuri maisha yake hayaeleweki, kwenye mahusiano ndo usiseme, nabado napiga goti kwa Mungu siku atakayorudi kuomba msamaha kwakunikosea ndo amwachilie.
Mtu mwenye hasira ni sawa na mtu aliyeshika kaa la moto.....kabla hajamrushia mtu kwanza linaanza kumdhuru yeye.....Mie moyo wangu una kisebengo, hata mtu anitende vipi, nitamsamehe tu kwa moyo mmoja. Najua kulia mimi jamani, but Nikimaliza tu nashusha pumzi "Mungu Ahsante kwa yote", afu namalizia kale kamsemo kangu "I don't lose people, people lose me" lol.
Ntakuwa tu na hasira wiki za kwanza, hapo mtu asinitafute sio kwa hilo povu ntakalomtolea, but huyo baadaye nasamehe na kusahau. Kukaa na kinyongo moyoni kunaniumiza zaidi mimi mwenyewe na hakuna kitu nachovalue kama my peace of mind, siruhusu mtu au kitu kiniharibie furaha yangu, Never. And thank God moyo wangu una space tu kwa ajili ya Mungu na kwa ajili ya watu wachache ninaowapenda sana. No space kwa ajili ya chuki au kinyongo
So tujifunze tu kusamehe hata bila kuombwa msamaha.
1. Ili tusizuie baraka zetu
2. For your peace of mind. Kwa nini mtu mwingine akukoseshe amani? She/he isn't that much worth. Afu imagine kuishi juu juu kusubiri mtu aanguke, bahati mbaya kuna muda kila unavyosubiria aanguke ndo yeye anazidi kubarikiwa na msamaha hakuombi hahaha
3. You have learnt your lesson. Kuna muda we learn some lessons in a very hard way, kiasi kama ingekuwa unaambiwa tu kwa maneno bana kuna A, B, C usingeelewa hadi yakukute. Despite maumivu na Kila kitu, lakini kila mahusiano yana somo nyuma yake. Shukuru Mungu umepata somo lako mapema, litumie vizuri.
Mnaotenda wenzenu, endeleeni tu... mtakipata
Daah pole mwaya maana nimekufeelNimekumbuka mbali sana Mungu nisaidie...nakumbuka jamaa alinichumbia na ujauzito juu...nililia sana aliponiambia sikupendi nimepata mwungine hapo kwake anitaki nyumban naambiwa nenda kwa aliekupa ujauzito...hakuna kipindi kugumu nilichopitia katika maisha yangu kama kile asante Mungu kwakua kila jaribu ulipa mlango wa kutokea sasa hv ukimuona du mwacheni Mungu aitwe Mungu
Subiri kidooogo chamoto utakionaDah! Sijui huyu mwanamke wangu nimuache vipi maana kiukweli anamapenzi makubwa sana juu yangu ila sina hata future naye maskini!