Laana ya mwanamke

Laana ya mwanamke

Kwa maana hiyo hata changudoa wa bongo muvi ukimpiga miti na kusepa huku akihisi wewe ndiyo mtaji wake, ukimuacha kwa kejeli na yeye kukusemea mbaya utadhurika? A changudoa tena from bongo movie?
 
let it go...its not easy but let it go.. it doesn't mean that you are weak but it means you are strong....wakati unamwombea mbaya wako mabaya wengine wanazidi kufanikiwa hapo unaumia zaidi...tuwe tunashukuru kwa kila jambo wakati mwingine Mungu anatuepusha na mambo tusiyoyajua...learn to feel your heart with good things everyday.....life is too short spending your time hating someone....
 
Hapana, maumivu yale kidogo nione kifo hapana, machozi yale aliyofurahia kuyaona kipindi kile wacha yamloweshe.
We ni mtu hatari sana ujue, na hapa kaa ujue huyo ndugu anaadhibiwa na nguvu mbaya za dunia hii na sio Mungu, hivyo msamehe bure tu ili wewe naye muondoke kwenye hicho kifungo, uchungu huua mafanikio.
 
Umewahi kujiuliza kwanini wajane ni wengi kuliko wagane!
Ni machozi ya wanawake yanawamaliza wanaume
Unaweza kulithibitisha hili Mkuu?, mwanaume siku zote ni mpambanaji na mhangaikaji hivyo humkuta akikumbana na mazingira hatarishi ambayo kwa asilimia fulani hupunguza kinga/afya au kuchukua maisha yake kabisa. Ukimwacha au kuachwa na mtu si tiketi ya kupitia magumu
 
Kwenye mapenzi hakuna laana.....am stand to be corrected! Km kuna laana basi ni nani kati yetu..au wazee wetu au wazazi wetu hakuwahi kuumizwa na mapenzi?? Km yana laana as long kila mtu kawahi kuumizwa basi dunia ingekuwa imesimama hadi sasa kutokana na laana laana kulundikana
 
Kwa maana hiyo hata changudoa wa bongo muvi ukimpiga miti na kusepa huku akihisi wewe ndiyo mtaji wake, ukimuacha kwa kejeli na yeye kukusemea mbaya utadhurika? A changudoa tena from bongo movie?
Mkuu ukilifikilia hili la laana ktk mapenzi unabaki njia panda.....bt trust me watu waliofanikiwa/ na wanaoendelea kufanikiwa wengi wao ni waumiza wapenzi zao kihisia.....hawajali! You knw why?? Koz they believe in risk taking....kwa hiyo walishazoea kutake risk ......je hao utawaongeleaje???
Kaa chini hapo ulipo vuta picha ya watu watano tu wanaofanya vzur ktk maisha yao then angalia file lao la mahusiano ktk mapenzi likoje....utakuta ni hit and run! So mapenzi hayana lana
 
Yaani hapa tusi tishiane kabisa mi naamini hakuna laana ya mpenzi
U mjinga, kulala na mtu ni maagano na yale ulioahadi ni sawa umesaini mkataba bila kusoma na kuna wanaosimamia mkataba/maagano. Wanaume wengi waliokuwa wakijiona wajanja kwa kuumiza wanawake maisha yao huwa mabaya. .. ndoa zao ni za migogoro, wengi wameoa wanawake wa ajabu ajabu, wanafanya kazi sana maendeleo yao madogo, wengine wasomi ila wanaacha kazi kila siku hawawezi kutulia.
Kuna wengine wamefikia uzee wa mateso, wanaendeshwa sana na nyumba ndogo zao kama watumwa, wametelekezwa na watoto wao maana hawaonekani wa maana
 
Mkuu ukilifikilia hili la laana ktk mapenzi unabaki njia panda.....bt trust me watu waliofanikiwa/ na wanaoendelea kufanikiwa wengi wao ni waumiza wapenzi zao kihisia.....hawajali! You knw why?? Koz they believe in risk taking....kwa hiyo walishazoea kutake risk ......je hao utawaongeleaje???
Kaa chini hapo ulipo vuta picha ya watu watano tu wanaofanya vzur ktk maisha yao then angalia file lao la mahusiano ktk mapenzi likoje....utakuta ni hit and run! So mapenzi hayana lana
Wamekwambia magumu yao, unadhani mafanikio ni pesa tu? Wengine hawana amani na wana majuto
 
Kusamehe napo ni mtihani,sio rahisi kama mkosaji anavyofikiria tena makosa ya makusudi yanaumaga balaa ni basi tu We love God so kupenda watu wake (wema kwa wabaya) ni amri otherwise walioniumiza wote acid zingewahusu,kama sio sumu,au kuchoma nyumba zao,achilia mbali kuwatengenezea ajali au hata kuwakodia majamaa wawageuza nyuma na picha juu kubandika mji mzima angalau tujumuike pamoja ktk maumivu.





Tuwatendee wenzetu tunayopenda kutendewa,tuwe wakweli ili mwenzio ajue atajiweka position ipi kwako,au aamue kuliwa kwa kupenda ye mwenyewe na sio kwa uwongo wako....
Daah mkuu inaonyesha waliokukosea walipata wakati mgum sana kwako, kweli kusamehe ni vigum lakini jitahidi mkuu, usilipe kisasi mwachie Mungu, unapomsamehe mtu unamwachia deni ambalo hataweza kulilipa
 
nimesoma huu uzi na comments. nimeona wanaoathirika sana ni wanaume kutokana na kuacha wenza wao. pia kuna wanawake ni wagumu kusamehe

mimi nimeachwa zaidi ya mara tatu na wanawake ila wanadunda tu na maisha yao.

Hisia sio kitu cha kuchezea kabisa. Hebu tujiepushe na haya mambo ya kuendekeza tamaa za mwili wakati huku unajua unaumiza wengine.

Heshima na upendo vituongoze sisi sote
Th name umenena vyema
 
Bwana mdogo kuna hilo. Lakini lingine ni kiwa tunapotafuta wenza wetu huwa tunaweka.masikhara pembeni. Mwanamke wa kumwoa ni yule analeta rizki kwa maana ya upepo na utakula mbingu hapa hapa duniani. Mwanamke huyu kama.ulivosema akikuombea kwa.mungu basi mbingu inafunguka..akitoa machozi mbingu zinafunga....mheshimu sana huyo mwanamke kwani ndoa hufungwa peponi...

Ndio maana wengine hukosea mke wa kwanza wanaangalia kuoa matako au miss bantu halafu nuksi zinaanza. Akistuka anasaihisha kwa mke wa pili ndipo anaanza kuonja pepo....

Wanaweke wengine ni nuksi tu...ukimnunulia tu hata soda lazima ukitoka hapo gari igonge

Hahaha nimecheka sanaa. Ila umeongea fact chief. Kuna wanawake gundu sanaa man. Nimeona sanaa kwa watu kibao.
 
Kwa maana hiyo hata changudoa wa bongo muvi ukimpiga miti na kusepa huku akihisi wewe ndiyo mtaji wake, ukimuacha kwa kejeli na yeye kukusemea mbaya utadhurika? A changudoa tena from bongo movie?
Unaonekana kujihesabia haki, hao bongo movie unaowaita changudoa ni watu nao kama wewe na dada zako na Inawezekana dada zako ndio washenzi zaidi.
Tena walala hoi ndio mko bize kuwaita wanawake malaya kumbe hamuwawezi, na mnajua sio level yenu.
Uwe na akili hata kidogo, kazi ya mtu haina uhusiano na tabia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom