Laana ya mwanamke

Laana ya mwanamke

Subiri kidooogo chamoto utakiona
Ujue mwanamke akikupenda anapenda kweli na akikuchoka anakuchoka kweli so trust me bora umwambie ukweli mapema kuliko kuharibu matarajio yake
Shidaa yenu inakuja mkifanikiwaaaa daaah mnaona mlieanza naye si kitu hapo lazima maisha yakunyooshe
Ebu nishauri nianzaje pagum kidogo hapo, maana me nahisi nilikosea once nilipomtokea
 
Hayo yalinikuta 2013 mpwa.... Hii mambo ishia tu kusikia kwa jirani lakini kwako usiombe.

Kupitia hilo nimejifunza ukiamua kumsahau aliekuumiza na kufurahia maisha inawezekana kabisa.

Nilimpenda mno na sikutegemea kama ningeweza kumsahau ila yote hayo kwasasa yamebaki historia tu... Jamaa bado hajaoa na alivokua nyuma ni tofauti na sasa,na hapo ndipo ninakubaliana na Uzi wako huu....
pole sana my dia Valentina songa mbele mwombee Baraka your destiny is never ever tied to anyone. Jifunze kuhesab mema ya Mungu kuliko mabaya utaona life is so simple
 
Unaonekana kujihesabia haki, hao bongo movie unaowaita changudoa ni watu nao kama wewe na dada zako na Inawezekana dada zako ndio washenzi zaidi.
Tena walala hoi ndio mko bize kuwaita wanawake malaya kumbe hamuwawezi, na mnajua sio level yenu.
Uwe na akili hata kidogo, kazi ya mtu haina uhusiano na tabia


Sikia, hata unipe mwanamke wa bongo movie bure na mboo ya baba yako ya kuazima au ya boy friend wako sichapi ng'oooo!
 
OK,sasa inakuaje baada ya bikra usiweze kujitunza?
Utasemaje umejitunza wakat walisha haribu? Hapo hakuna cha kusema umejitunza wakat tayar umeshaharibuwa hapo mnalitumia vibaya neno..
 
OK,sasa inakuaje baada ya bikra usiweze kujitunza?
Utakuta mwanamke mwingne kazalia nyumban halafu siku akipata mwanaume naye anakuja na swaga hizo za eti najitunza kwaajli yako.. Huo si ukichaa kabisa??!!!
 
Huu uzi mna lengo la kutustress sis ambao hatujaoa! Wkt mwingine utaingia ukiwa serious kadri unavyokaa naye unagundua sio wife material hivo lazima umwache la sivyo ukiendelea utaumia, kuna mmoja aliwahi kunitishia kwamba atakufa na akaapa awezi kukubali Mimi nioe mtu mwingine lkn nilikaza maana alikuwa na mtt so mshua nakupenda, nimrmpotezea kbs. Laana ni kwa wale wasiomtumainia Yesu kwa sis tuluo huku hamna SHIDA.....kwanza wadada walishazoea kutumika na kuachika
 
...Ikanibidi kwa unyonge kabisa nijipendekeze kwa yule binti na kuanza kujenga naye ukaribu upya na kuomba misamaha mingi sana....

Baada ya muda nikaona mambo yanaanza kubadilika na kuwa kama kawaida...

Kwa hiyo uliendelea kupiga...unabahati ulikuta sijamchukua
 
kweli
si vizuri mtu akatoa machozi kwa sababu yako,iwe ni mahusiano,kudaiana,dhuluma au chochote kile coz machozi ya mtu huwa hayarudi bure, thnx kwa somo
Mi picha yako inanitoa machozi sana....siyo vzr
 
Mapenzi ni bahati nasibu mwanaume unaweza kumuamini mwanamke yakakukuta majanga, hivyo hivyo kwa wanawake una mwamini mwanaume kumbe mpitaji. Cha msingi ni kuomba Mungu akupe aliye sahihi kwa wakati. Ila jiulizeni kina Dada kwann siku hizi mnatendwa sana ? Mmezidi kudai 50 kwa 50 haki sawa,Pesa mbele huku adabu ziro + viburi na kutaka vitu vikubwa kwa muda mfupi. Mbaya zaidi uvumilivu hamna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom