KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,758
- 39,493
- Thread starter
- #21
Hata sisi huwa tuna laana....ila hapa nimeongelea wanawake kwa kuwa ndio wahanga wakubwa sana kwenye mahusiano kwa kuwa vijana wanatumia muda mwingi kumuaminisha mwanamke kuwa yeye ni wake wa milele ili hali kwenye nafsi yake haipo hivyo.....ndipo laana zinapoanzia hapo....Laana wanawake tu?,mbona sie wanaume tukitoa laana haifiki,tutaachwa sana![]()
![]()
![]()
![]()