Ujenzi wa flyovers ni kiini macho.unahamisha tatizo kutoka junction A kwenda B.nafikiri tujikite zaidi kwenye ujenzi wa ring roads hii itasaidia. Kwa mfano ukijenga daraja Tazara utahamishia tatizo Buguruni na kwingineko au ukijenga Ubungo unaogeza volume Magomeni na kwingineko kwenye junction .tuache tabia ya kutaka kujionesga na tujikite kwenye utaalamu.
Baada ya kukaa foleni masaa mawili pae ubungo mataa ninaomba kujua yafuatayo. 1.) Ni hasara kiasi gani tumepata kama Taifa katika kipindi cha miaka kumi mpaka Leo kutokana na foleni hizi. 2.) Inagharimu kiasi gani kujenga daraja la magari kupita juu pale junction. 3.) Tukijua hizi data basi tutaweza kukadiria ni kwa kiasi gani serikali Yetu inawazimu.
Bado haunielewi, nimekwambia gharama ya kupitisha greda ni ndogo sana ukilingisha na kujenga daraja kubwa ama kuweka lami, Halmashauri zote zina magreda hivyo ni swala la kuweka mafuta tu... Ni kazi rahisi sana Mimi diwani wangu huwa anafanya kwenye Kata yetu na hatuna shida, kila baada ya miezi 3 greda linapita!
ha ha ha ha! kikwete rais bora africa mwaka 2013!Baada ya kukaa foleni masaa mawili pae ubungo mataa ninaomba kujua yafuatayo. 1.) Ni hasara kiasi gani tumepata kama Taifa katika kipindi cha miaka kumi mpaka Leo kutokana na foleni hizi. 2.) Inagharimu kiasi gani kujenga daraja la magari kupita juu pale junction. 3.) Tukijua hizi data basi tutaweza kukadiria ni kwa kiasi gani serikali Yetu inawazimu.
Bwana eeh.., nenda jukwaa la kiswahili usinzingue hapa..!
Bado haunielewi, nimekwambia gharama ya kupitisha greda ni ndogo sana ukilingisha na kujenga daraja kubwa ama kuweka lami, Halmashauri zote zina magreda hivyo ni swala la kuweka mafuta tu... Ni kazi rahisi sana Mimi diwani wangu huwa anafanya kwenye Kata yetu na hatuna shida, kila baada ya miezi 3 greda linapita!
Baada ya kukaa foleni masaa mawili pae ubungo mataa ninaomba kujua yafuatayo. 1.) Ni hasara kiasi gani tumepata kama Taifa katika kipindi cha miaka kumi mpaka Leo kutokana na foleni hizi. 2.) Inagharimu kiasi gani kujenga daraja la magari kupita juu pale junction. 3.) Tukijua hizi data basi tutaweza kukadiria ni kwa kiasi gani serikali Yetu inawazimu.
Kutatatua foleni Dar ni rahisi sana wala hakuhitaji kupoteza fedha kujenga Midaraja mikuubwa, ni kuhakikisha tu kila halmashauri br. zake zote zinapitika, siyo lazima waweke lami hata wahakikishe tu kila baada ya Miezi 3 zinapigwa greda, hilo litapunguza foleni kwa zaidi ya 1/3 na kwa gharama ndogo sana, unafikiri kwa nini Oysterbay hamna foleni? Ni kwa sababu Serikali wamejenga br. zote na zinapitika hivyo kuna njia nyingi sana, kwa hiyo walipaswa wafanye kama Oysterbay kupitisha greda tu br. za Mitaani kunatosha sana tu!
Sasa kama ni foleni unataka apae na gari angani?
Ujenzi wa flyovers ni kiini macho.unahamisha tatizo kutoka junction A kwenda B.nafikiri tujikite zaidi kwenye ujenzi wa ring roads hii itasaidia. Kwa mfano ukijenga daraja Tazara utahamishia tatizo Buguruni na kwingineko au ukijenga Ubungo unaogeza volume Magomeni na kwingineko kwenye junction .tuache tabia ya kutaka kujionesga na tujikite kwenye utaalamu.
mzee kwani hizo gari hata bila flyover si zinaendaga huko huko...kwa hiyo flyover itakuwa imetatua tatizo ubungo ambalo ndio lengo..