Kyela: Dr. Mwakyembe amtolea Uvivu Rostam

Kyela: Dr. Mwakyembe amtolea Uvivu Rostam

Siwezi kumpeleka one MAFIOSO kwa MAFIOSO mwengine ili haki itendeke, utakuwa ni wendawazimu.

Hahahahaaaaaaaaaah, bora ulivyokubali kuwa huwezi! si rahisi kama unavyofikiria unajuwa ukikosa ushahidi, umeumia!

Si unakumbuka jamaa yako mtikila alivyo-umbuka?
 
Mimi nitakuwa huko summer nikafaidi kipunga cha kwetu. Njoo unitembelee huko, ila ukipigwa panga usije ukanilaumu mimi.

Mzee unaenda anza kampeni? hahahaha haya mkuu kila laheri ...tunataka wabunge wengi kutokea JF
 
Insurgent,
...
Jamani hakuna sehemu hata moja Mwakyembe ameanza kudai credits kutokana na Richmond, kazi kaifanya na aliiwakilisha Bungeni hata kama kuna mtu aliyemsaidia hili sio swala kabisa..Hilo file limeisha fungwa kwake..
Mwakyembe amekuja chafuliwa na kamati ya kutundika kwa posho na lunch hotelini iliyokubali kununua mitambo ya Dowans, hapo ndipo utata ulipoanza na mara zote yeye amekuwa ktk kujitetea..Kaitwa majina yote lakini leo hii kasimama yeye na kuanza kukibadilisha kibao mnaanza kumlaumu tena.. Na ajabu ni kwamba sijaona wala kusikia mtu toka kundi lenu akizungumzia Rostam na jinsi anavyotafuta umaarufu...
Inanipa hofu kwamba yawezekana kweli Rostam kapandikiza watu humu ndani, iweje watu kila siku mnamsakama Mwakyembe lakini hamzungumzi lolote baya kuhusu Rostam hata ile acknowledgement tu ya machafu yake . Picha nzima ni Mwakyembe na Rostam sasa jaribuni kutuambia makosa ya kila mmoja wao inapotokea na sio kudandia Mwakyembe tu inapofikia Rostam kuwa kichwa cha hoja mnaingia mitini..

Nakubariana na wewe 100 kwa 100 watu wametumwa humu (kagoda imetema)kwa mfano bebu fuatilia thanks tha FMES kwenye hii thread utagunduwa kitu..... utabiri wangu unatimia
 
Nakubariana na wewe 100 kwa 100 watu wametumwa humu (kagoda imetema)kwa mfano bebu fuatilia thanks tha FMES kwenye hii thread utagunduwa kitu..... utabiri wangu unatimia

Mkuu nakubalina na wewe niliogopa kulisemea hili .....men at work tunawaona! Dr Mwakyembe si mjinga kusema yale maneno anajua kabisa anachokifanya! Siasa za akina Malecela, Kingunge ama Msekwa ndani ya CCM na serikali nadhani wapumzike wabaki na heshima zao....kwa kizazi tulicho nacho wao ni kama dead woods....with old school of thought walizonazo
 
Hahahahaaaaaaaaaah, bora ulivyokubali kuwa huwezi! si rahisi kama unavyofikiria unajuwa ukikosa ushahidi, umeumia!

Ushahidi upo umezagaa kila mahali, swala ni nani wa kuufanyia kazi. Ndio maana inabidi tu kuwa-attack directly kwenye majukwaa na vyombo vya habari mpaka wanaowalinda wajue tumechoka watusikie. Na siku moja tutafanikiwa tu kuming'oa.
 
kutumia ''uzalendo'' kwa kutetea ka kampuni kake, usibadilishe maana!

Kama anaitetea kampuni yake na wakati huohuo incidentally, anatutetea umma wa wanyonge, tatizo linakuwa wapi?

Hoja zake kuhusu Dowans na Richmond ziko wazi, ninyi wafuasi wa RA mmeshindwa hoja zake mnaishia kuleta ad hominem. Yes, anayo kampuni ya umeme, lakini anatetea maslaha ya wengi.

Start to swallow that!
 
Hahahahaaaaaaaaaah, bora ulivyokubali kuwa huwezi! si rahisi kama unavyofikiria unajuwa ukikosa ushahidi, umeumia!

Si unakumbuka jamaa yako mtikila alivyo-umbuka?

Ushahidi kuhusu Umafioso ambao bosi wako anahusika si lazima niulete mimi, leo hii au kesho. Anaweza kusubiria tu aklidhani tumesahau lakini, some days, months, years to come pale ambapo mtandao wa mafioso utakapokuwa umesambaratishwa, kila kitu kitawekwa bayana na nakuhakikishia hakutakuwa na msalie mtume.
 
Ushahidi kuhusu Umafioso ambao bosi wako anahusika si lazima niulete mimi, leo hii au kesho. Anaweza kusubiria tu aklidhani tumesahau lakini, some days, months, years to come pale ambapo mtandao wa mafioso utakapokuwa umesambaratishwa, kila kitu kitawekwa bayana na nakuhakikishia hakutakuwa na msalie mtume.

hahahahaaaaaha, Nyani alivyokosa zabibu akasema...
 
Kama anaitetea kampuni yake na wakati huohuo incidentally, anatutetea umma wa wanyonge, tatizo linakuwa wapi?

Hoja zake kuhusu Dowans na Richmond ziko wazi, ninyi wafuasi wa RA mmeshindwa hoja zake mnaishia kuleta ad hominem. Yes, anayo kampuni ya umeme, lakini anatetea maslaha ya wengi.

Start to swallow that!

Hakuna kitu kama hiyo, kutafuta sympathy ya wanyonge kwa kutaka ieleweke kuwa RA si mzalendo? ni mchezo mchafu, na yeye akichezewa rafu alizoanzisha watu wasilalamike!

Huko ni kuishiwa na utetezi na kutaka kupoteza mada! ametetea nini kwa wanyonge? anaanzisha kampuni ajuwe lazima atakumbana na ushindani wa kibiashara na asifikiri atakuwa na monopoly ya biashara ya umeme peke yake. Na hakuna kusaidia mnyonge kwenye biashara bila ya faida, angekuwa anataka kutetea wanyonge kwa kuwapatia umeme si angeanzisha shirika lisilo la faida au mfuko wa miradi ya umeme tungejuwa ni kweli anaanzisha haya kwa ajili ya kusaidia wanyonge.
 
Hakuna kitu kama hiyo, kutafuta sympathy ya wanyonge kwa kutaka ieleweke kuwa RA si mzalendo? ni mchezo mchafu, na yeye akichezewa rafu alizoanzisha watu wasilalamike!

Huko ni kuishiwa na utetezi na kutaka kupoteza mada! ametetea nini kwa wanyonge? anaanzisha kampuni ajuwe lazima atakumbana na ushindani wa kibiashara na asifikiri atakuwa na monopoly ya biashara ya umeme peke yake. Na hakuna kusaidia mnyonge kwenye biashara bila ya faida, angekuwa anataka kutetea wanyonge kwa kuwapatia umeme si angeanzisha shirika lisilo la faida au mfuko wa miradi ya umeme tungejuwa ni kweli anaanzisha haya kwa ajili ya kusaidia wanyonge.

Biashara gani unazoongelea ndg? Zile za Richmond? Zile za vimemo vya EL?
Huo si ndio ushindani wa biashara anaouongelea bosi wako RA?

Mtawadanganya watu wachache tu, lakini mjue tunajua mnachofanya, na kiama chenu hakipo mbali.
 
MBUNGE wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe (CCM), amesema atapambana kwa hoja na Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz nje na ndani ya Bunge hadi kieleweke.

Dk. Mwakyembe, alitoa kauli hiyo jana katika mkutano mkubwa wa hadhara, ulioandaliwa na wananchi na kufanyika katika viwanja vya Siasa mjini hapa, kwa lengo la kulaani kauli zinazotolewa dhidi yake kupitia vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Rostam.

Alisema mbinu anayoitumia sasa Rostam pia wa CCM, ya kumchafua kupitia vyombo vyake vya habari, inatokana na ububu alionao anapokuwa bungeni. Dk. Mwakyembe alisema licha ya Rostam kuamua kuanzisha Bunge lake kupitia vyombo vya habari anavyovimiliki, hawezi kukaa kimpya, huku akiona watu wachache wakitumia uwezo wao kifedha alizodai wamezipata kwa njia ya ufisadi wakitaka kuiendesha nchi kama wanavyotaka.

Aliendelea kusema kuwa Watanzania wanatambua wazi kuwa fedha katika akaunti ya madeni ya nje (EPA), zaidi ya sh bilioni 40, zilichotwa na Kampuni ya Kagoda, aliyodai inamilikiwa na Rostam kwa maslahi na faida ya watu wachache.

Mbunge huyo machachari, alisema hawezi kuvunjika moyo kutokana na mbinu chafu zinazofanywa na kundi la watu wachache aliodai kuwa ni mafisadi, za kutaka kuvuruga kazi nzuri ya Kamati Teule ya Bunge aliyoiongoza kuchunguza mkataba wa zabuni ya Kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Richmond, iliyosababisha aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, kujiuzulu.

Mawaziri wengine waliojiuzulu kutokana na kashfa hiyo ni pamoja na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi na Dk. Ibrahim Msabaha ambaye alikuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Kama alivyotoa ufafanuzi katika mkutano wake na vyombo vya habari wiki mbili zilizopita, Dk. Mwakyembe alisema hakuna suala la ugongano wa maslahi kwa kutotangaza maslahi aliyonayo kwenye Kampuni ya kuzalisha umeme wa upepo ya Power Pool East Africa Ltd.

“Shutuma zinazotolewa na Rostam Aziz kupitia vyombo vyake vya habari zinashangaza, maana hakuna mgongano wa maslahi na sijavunja kanuni za Bunge, kwani kampuni inayosemwa kwamba nina hisa nayo ni ya wazalendo wa Kitanzania wapatao 50 wa ndani na nje ya nchi, hapa hakuna mgongano wa maslahi na kama kuna wanaobisha, warejeshe hoja hiyo bungeni ili tufumue yaliyojificha,” alisema Dk. Mwakyembe.

Alisema malumbano yanayotokea sasa ni matokeo ya baadhi ya watu waliotemwa bungeni baada ya ripoti ya kamati yake, ambao hawakuridhika na kazi hiyo, hivyo kujaribu kulipiza kisasi kupitia vyombo vyao vya habari.

“Unajua wakati tunawasilisha ripoti yetu, kuna mambo hatukuyasema kwa sababu kuna watu walioamua kusema basi yaishe, wakaachia ngazi, hivyo hatukutoa mambo yote, sasa kama wanaona hawakutendewa haki, turudi bungeni tukatoe yale tuliyoamua kuyaacha,” alisema Dk. Mwakyembe.

Mkutano huo uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi wa Kyela, wakiwamo viongozi wa vyama vya upinzani, ulitawaliwa na mabango ya kumlaumu Rostam na watu waliodai kuwa ni mafisadi, huku wakiapa kufa na mbunge wao (Dk. Mwakyembe) waliodai kuwa anaonewa na mafisadi.

Baadhi ya mabango ambayo yalibebwa na baadhi ya wanachama wa upinzani, yalimtaka Mbunge huo kujitoa CCM na kujiunga na vyama vingine vya upinzani ili kuungana na wabunge wa kambi hiyo katika kukabiliana na vita dhidi ya ufisadi.

Awali, mkutano huo ulipangwa kuanza kwa maandamano, lakini yalikataliwa na polisi kwa sababu za kiusalama.

Hii ni mara ya pili kumshutumu hadharani Rostam kwamba anatumia vyombo vyake vya habari kupotosha umma na kumchafua kisiasa.

Hatua ya Mwakyembe kujibu tuhuma hizo, inakuja baada ya magazeti mawili ya kila siku (Si Tanzania Daima) kuchapisha habari zinazomhusisha yeye na umiliki wa hisa 1,000,000 zenye thamani ya sh bilioni 1.5 katika Kampuni ya Power Pool East Africa Ltd.

Mbali ya habari hizo kuandikwa katika magazeti hayo mawili, moja la binafsi na jingine la serikali, nyaraka kadhaa zinazomhusisha Mwakyembe na kampuni hiyo, zimesambazwa katika mtandao wa intaneti.

Mbali ya Mwakyembe, taarifa hizo zinamtaja Mbunge wa Lupa, Victor Mwambalaswa ambaye ni Mjumbe wa Bodi ya TANESCO, kuwa miongoni mwa wanahisa wa kampuni hiyo binafsi ambayo wakati fulani Dk. Mwakyembe alipata kuwa mtendaji mkuu wake.

Taarifa hizo zinajaribu kujenga hoja zinazojaribu kumuondolea Mwakyembe uhalali wa kuendelea kudai kupambana na ufisadi ndani na nje ya Bunge, ilhali yeye mwenyewe akionekana kuwa na ukwasi mkubwa unaotiliwa shaka.

Taarifa hizo zinaonyesha kuwa, Mwakyembe licha ya kuwa na hisa nyingi katika kampuni hiyo, ameisaidia katika mambo mbalimbali ambayo hata hivyo hayakufafanuliwa, wakati akiwa katika wadhifa wa mtendaji mkuu.

Taarifa ambazo Tanzania Daima imezikusanya kutoka miongoni mwa wabunge kadhaa zinaonyesha kwamba, lengo kuu la kusambaza nyaraka hizo ni kujaribu kumnyoshea kidole Mwakyembe na kumuondolea uhalali wa kuendelea kupigania sekta ya nishati ilhali yeye mwenyewe akijua kuwa na maslahi.


source;tanzania daima
 
April 1st???Wat is it then?Mwakyembe,Rostam,NSSF,Nyerere or wat!!?Hizi njaa hizi....
 
jamani naona jazba zimezidi humu hebu tulizaneni kidogo na msafishe macho na nyoyo zenu kabla hamjaendelea na huu mjadala
NEW YORK

7217$_AJW6171-90.jpg


XOw7pa_large.jpg


pNiM0t_large.jpg


mjbokV_large.jpg


HOUSTON,TEXAS

o032809-56.jpg


UX2jkw_large.jpg


IQQdCN_large.jpg


4353uT_large.jpg


032909-078.jpg


032909-013.jpg


032809-182.jpg


032809-183.jpg


032809-117.jpg


DSC_0090%20copy.jpg


DSC_0172%20copy.jpg


SLAYBDAY-5468.jpg


ATL,GEORGIA

Ig3dlI_large.jpg


jLpbYj_large.jpg


Nn5bYd_large.jpg


NAaWwR_large.jpg
 
Mwakyembe inaelekea kuwa yuko so bitter...yaani vagi lake na Rostam juzi jumamosi alilihamishia kwenye fainali ya kombe la NSSF kwenye mechi ya timu ya UHURU v/s HABARI CORP.

So sad huyu jamaa nilikuwa namheshimu miaka ileee alipokuwa na kile kiofisi chao cha LEGAL AID na Dr MVUNGI pale kwenye jengo la SUKITA enzi hizo Mwakyembe alikuwa ni mtu kweli kweli sasa tangu aingie kwenye siasa amekuwa kama mwehu vile

Mpka leo sielewi what was the point ya kupandishana pesa jumamosi...lakini ndio hao wanasiasa wetu

AMA KWELI PESA MWANA HARAMU

Lakini hata kama akitambika uchi huyu mwakyembe, ukweli utabaki pale pale kuwa yeye ni miongoni mwa wale wabunge waliokula milioni 5 za Rostam wakati wa Kampeni sasa leo hii asitake kujidai yeye ni msafi kuliko wote.

In short Rostam ni kama Nyerere tena naweza kusema zaidi kwenye hii game ya Politics za TZ, Maana mwalimu yeye alikuwa ni mcheza Game kwenye politics tuu lakini Rostam ni mpaka Biashara in other words HE OWNS THE CURRENT RULING ELITES na hawana cha kumfanya baada ya kula pesa zake

So Mwakyembe should spare himself further embarrassment kuendelea kutukanana na mtu ambaye hamjibu except ana rewind ule mkanda wa makabidhiano now and then

Mwisho zaidi nasema I CANT KNOCK ROSTAM'S HUSTLE....jamaa ni mtafutaji na anaitumia opportunity anavyoona itamnufaisha

Ugonjwa wetu mnajua tatizo lake lilianzia wapi na dawa yake wote mnaijua

What I am getting here is that you are endorsing, actually admiring and possibly aspiring to, Rostam's level of corruption.

This morally bankrupt salivating over the scrouge so plaguing our nation is most unfortunate.It is so sad that our best minds -if I am to take one of the banners of this site seriously- are so unashamedly myopic, self centred and pathetically hopeless in the prospect of any chance of earning an honest living in Tanzania. This degree of sadness is only matched in tandem -and actually surpassed- by the fact that this position, fit for bedlamite, is actually advocated publicly.

One should be ashamed to even think in this manner, let alone type and post this irresponsibly unethical, pathologically parallel-universe-like line of thought.
 
Back
Top Bottom