Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,494
Masa
Mwakalinga alisoma agricultural engineering..tafuta utaratibu wakati huo ilkuwaje,alimaliza UDSM na akaenda sokoine badaye akatimkia Poland
Nadhani kabla ya kutoa jibu soma uelewe, nafahamu Ag Eng waanzia UD na mwaka wa tatu huamia SUA kwa miaka miwili. Sawa alimaliza miaka ile miwili UD na kuja SUA, je alimaliza SUA? ama alinyakwa ? Maana shule ya SUA miaka hiyo ilikuwa silele mama....nitajie mwaka aliograduate SUA, maana kumbu kumbu zipo, hii unaiita kutimkia Poland mimi naona imekaa kama alitimuliwa baada ya kufail na kuwahi Poland.