Na wewe ongea magu afufukeLema sio mtabiri Wala karama hiyo Hana. Ila anaongea kutokana ña matukio.
Mfano mtu unatembea na changudoa bila kondom, Lema akikuambia utakufa utasema Ni mtabiri. Au akisema ndugu-yai anajichimbia kaburi kwa kuwakubali covid 19 utasema Ni mtabiri.
karma fucked JobKarma is a bitch.
"Sabaya akaendeleza leo hii amebakiza miaka 29 na siku 263 gerezani"
Una kumbukumbu nzuri sana !
Mkuu Nakusalimia tu..karibu Mpanda LugonesiWanabodi I declare my option sishangilii matokeo ya matukio yaliyotokea kwenye utabiri wa God bless Lema. Lema aliota ndoto nayo kweli ikaja kutokea JPM akafariki kweli. Mwaka haujaisha alimpigia Sabaya simu akamuonya aache ubabe.....Sabaya akaendeleza leo hii amebakiza miaka 29 na siku 263 gerezani.
Nasema sishangilii lakini maneno aliyoyatamka Lema kulaani matendo ya kina Sabaya kila mwenye masikio na ayasikie. Ni maneno mazito , Ni maneno yanayohitaji sisi wenye teuzi na kura za wananchi kutafakari. Lema Ni binadamu na huenda anayo mapungufu makubwa na yeye Kama binadamu wengine, lakini kikubwa alioongea kwa hisia akimtanguliza Mungu . Kumbe Mungu huyu ndiye anakosewa sisi wenye mamlaka tunapojifurahisha kuridhisha mamlaka za teuzi zetu au baada ya sisi kupata na kujaribu kuonekana miungu watu.
Shida ya Sisi binadamu tunasahau kuwa pale tunakula kiapo tunamtanguliza Mungu . Je, Ni Mungu yupi atakufurahia wewe tu uwatese wenzako na akunyamazie tu. Je, Ni Mungu yupi ambaye yupo kwa ajili ya kutimiza furaha zako wewe tu ? Bila shaka Mungu Ni wa wote hivyo tujitahidi Sana kuwatendea wenzetu sawa tunavyowaza na sisi kutendewa.
Kwa Nini tuwapachike wenzetu vyesi na kuwatakia vifungo virefu jela na kuacha familia zao wabaki kutaabika. Familia zilizoko kwenye maombi na hata wale ambao Mungu huwanyanyua kamwe , Bwana hayatuhusu shida ziwapate kwa furaha za wapuzi wachache. Mungu ibariki TanzaniaView attachment 1977185View attachment 1977186
Na Mungu ndiye alitupenda Watanzania kutuondolea lile zimwi la pori la BurigiYa Mungu hayo
Hakimu wa haki ni Mungu pekeeUkiupa muda wakati ni hakimu wa haki ni hakimu mzuri
Hukumu ya Mungu sio sasa na sio hapa dunianiHakimu wa haki ni Mungu pekee