Nimjuavyo Paul Makonda kisiasa na kiuchumi

CamStore

New Member
Jun 17, 2023
2
12
NIMJUAVYO PAUL MAKONDA KISIASA NA KIUCHUMI

Na Comrade Ally Maftah

Ninamtazama Paul Makonda kama kijana jasili, mwerevu, mjanja, mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja za kisiasa.

Kisiasa
Paul Makonda analeta chachu ya ukuwaji wa Democrasia nchini endapo atatumika vizuri na wanasiasa kwa kuirudisha siasa ya majadiliano, na za hoja.

Kiuchumi
Paul Makonda ni mchumi na amedhihirisha katika maeneo mbali, akiwa mkuu wa wilaya ya kinondoni alikusanya vijana wabunifu kuunda mawazo ya kibiashara na nilipata bahati ya kushiriki program zake mpaka kufikia kwenye program ya Kijana Jiajiri nilikuwepo nae akiwa karibu na vijana,

VIDEO YA CAM ONLINE TV
DONDOO ZA KISIASA IMEDADAVUA KIASI UTAMU WA MAKONDA, SICHOKI KUMWELEZEA PAUL MAKONDA

Na Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu Mkoa wa CCM na Jumuiya ya Wazazi - Dar es Salaam
 
Attachments

  • MAKONDA.png
    MAKONDA.png
    236.7 KB · Views: 11

Mmeanza mapambio FC
 
Huna akili , makonda ni mwepesi sana, tunza hii
 
MACHAWA HAMJIFICHI kabisa Makonda ni janja janja kama walivyo wajanja wengi Siasa ni Taaluma Uchumi ni Taaluma vuote hivyo vinasomewa Hebu weka CV ya MAKONDA tuone alivyofanikiwa kimasomo
 
NIMJUAVYO PAUL MAKONDA KISIASA NA KIUCHUMI

Na Comrade Ally Maftah

Ninamtazama Paul Makonda kama kijana jasili, mwerevu, mjanja, mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja za kisiasa.

Kisiasa
Paul Makonda analeta chachu ya ukuwaji wa Democrasia nchini endapo atatumika vizuri na wanasiasa kwa kuirudisha siasa ya majadiliano, na za hoja.

Kiuchumi
Paul Makonda ni mchumi na amedhihirisha katika maeneo mbali, akiwa mkuu wa wilaya ya kinondoni alikusanya vijana wabunifu kuunda mawazo ya kibiashara na nilipata bahati ya kushiriki program zake mpaka kufikia kwenye program ya Kijana Jiajiri nilikuwepo nae akiwa karibu na vijana,

VIDEO YA CAM ONLINE TV
DONDOO ZA KISIASA IMEDADAVUA KIASI UTAMU WA MAKONDA, SICHOKI KUMWELEZEA PAUL MAKONDA

Na Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu Mkoa wa CCM na Jumuiya ya Wazazi - Dar es Salaam
Chawa Rangers kazini.
 
Binafsi namkubali makonda sana. Njoo dm nikupe namna ya kusaidia Paul awe lulu ya taifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom