Kwenye jamii za wasukuma yataka moyo wa chuma

Kwenye jamii za wasukuma yataka moyo wa chuma

Wasukuma sio watu wabaya hata kdg nawakubali sana hayo mengne sijui kunuka kikwapa kwani wewe unakuwa unafanya nin had unanusa vikwapa vya watu huna kazi ya kufanya au vp ikiwa kama unakutana nao kwenye gari wanapiga makelele jitahidi sana ununue lakwako uwe unaenda mwenyewe ili wasikupgie kelele boss nadhani umeelewa baada ya hayo yote me sio msukuma nawapenda sana ila wananikera kitu kimoja wakikutana watu kuanzia watatu wakijuana ni wasukuma wanaanza kuongea kilugha hapo ndo wananikata stim 😀😀 [emoji4]
 
Treni ya central line kuna mabehewa hutengwa kabisa ya kwenda shinyanga na mwanza ukiacha yale ya kwenda kigoma, lugha inayoongelewa humo ni kisukuma tu bila aibu mwanzo mwisho
Kwa nini watu kuongea lugha yao ya mama iwe aibu? Waafrika tuna tatizo gani? Hoja kama hii huwezi kuisikia kwingineko hapa duniani!
 
Ahsee hawa watu wa Kanda ya ziwa hawavumiliki loooooh!!! Nazungumza MWANZA, GEITA, SHINYANGA, SIMIYU na KATAVI ndomaeneo mengi hawa mangosha wametapakaa japo wapo kila sehemu

Yani Hawa watu ukiwa nao ni washamba bora ngedere aliepo porini. Fikiria ukipanda gari za vijijini ni makerere tupu ya miito ya simu, wanaongea kama maiki sauti mpaka walioko mbali wanasikia, masimu Yao ni OKING na Itel basi kila mtu kafungulia mziki wa kisukuma tena zinafanana ajabu kila mtu kawasha mziki

Tabu kuliko zote ni HAWAOGIII wananuka kwenye kwapa mashati ni meusi hata panya akijificha anakufa, hiyo diffusion inayotoka unaweza kuvuna mafuta ya duzeli

Hawajui usafi wa vyoo, yani usafi ni zero anaenda kunya hajui kuflash wamezoea vya kulenga ndio mana nawaonea huruma wamiliki wa mabus ya Kanda ya ziwa wanaponunua bus zenye self service (Vyoo), kila siku watakuwa wanasafisha makimba

Hawajui kutongoza, wanaamini kwenye nguvu ya pesa tuu. Utaskia wewe Dada kwahiyo nikupe shingapi?? Ni majinga sana karibia yote ni madomo zege. Halafu ni wabishi usiombe umkute msukuma aliyewahi kufika shinyanga mjini utajuta.. Wanaujanja wa kishamba sana ujanja wa makerere na kubaha Kwa sauti kama anataka kukupiga

Hawa watu nimewavulia KOFIA [emoji119][emoji120]
Wee Oga tu watakugonga haswaa,wanahonga hata ng'ombe ukiwa na maajabu.
 
1.wasukuma wanapenda lugha yao that's why wakikutana lazima waongee kiluga.

2.hawana ukabila kabisa.ukabila na kuongea kiluga ni vitu viwili tofauti

3.suala la ushamba ni automatic kwa mtu yeyote anayeishi kijijini.unawasema wasukuma unawasahau ndugu zako wagogo??
 
Mimi Mkurya, ila huwa nikikutana na mtu anawaponda wasukuma, basi najua huyo mtu hafai kua karibu nae!

Tanzania hii, ukishindwa kuishi na wasukuma, hakuna utakaoweza kuishi nao. Wasukuma wakarimu, wasukuma hawana gubu, wasukuma sio wachoyo wala sio wanafki.

99% ya marafiki zangu, ni wasukuma na wachagga.

Kama wewe uko na iphone 13, unaumia nini mwenzio akitumia itel?
Anaumia kwa sababu iPhone ameipewa na wanaume ilhali wenzake wamenunua kwa hela zao
 
Ninachowakubali hawajui uongo ndio maana mleta uzi anasema domo zege ,usimwambie siri zako hawajui kudanganya😅 shida ni kwenye simu aloo jamaa wanaongea kwa sauti hawa na milio ya simu zao🙌🙌 imagine mko bank ndio simu yake ikiita mnaweza mkanyang'anywa simu wote
 
Back
Top Bottom