Kwenye jamii za wasukuma yataka moyo wa chuma

Kwenye jamii za wasukuma yataka moyo wa chuma

Hakuna mkamilifu
Hata Papa ana madhaifu
Hakuna kabila lisilo na udhaifu sababu binadamu binadamu mkamilifu HAYUPO sote tuna madhaifu

Lakini ukisema best Tanzanian tribe of all Time SUKUMA[\B] is GOATed
Wakarimu,ukipita kwenye mji wa Msukuma una njaa,hata kama wamemaliza kula utasongewa ugali,
Shida ya Msukuma ni uharibifu wa mazingira sababu ya ukataji miti ovyo,ndoa za utotoni na za kulazimishana Kwa sababu ya ng'ombe,uchafu,ushamba wa kijinga na kupenda sifa za kijinga

Ila ukarimu wao unafuata mabaya yao yote
 
1690652325417.png
KASHINAGA!!!
 
Hakuna watu wakarimu kama wasukuma

Sababu moja ambayo wanapondwa sana,Ni kwamba hawa jamaa hawanaga time ya kujibu mashambulizi
Tofauti na Makabila kama wahaya,wachaga,kurya,zanaki e.t.c
Kama wewe ni mgeni wanaukarimu wa hali ya juu sana

Vilevile ni wachapa kazi dunia hakuna.Yani Msukuma mmoja ni sawa na wanaume wa Dar kina Mowayungu na Kenzy 100

Hawakati tamaa,Achana na wanaume wa Dar kina mpwayungu ambao walileta uzi wanatamani kuzaliwa wanawake kisa maisha magumu..Sukuma hawakati tamaa kizembe hawabagui kazi wala nini

Kifupi mgeni hata umfanyie mema 100 akitoka kwako atasimulia mabaya mawili au matatu kati ya Mema 100 uliyomtendea

Kenge sio msukuma lakini wasukuma wapewe maua yao..
Ukija kufika kwenye miji Yao utakuja nduki kufuta hii post
 
Mimi Mkurya, ila huwa nikikutana na mtu anawaponda wasukuma, basi najua huyo mtu hafai kua karibu nae!

Tanzania hii, ukishindwa kuishi na wasukuma, hakuna utakaoweza kuishi nao. Wasukuma wakarimu, wasukuma hawana gubu, wasukuma sio wachoyo wala sio wanafki.

99% ya marafiki zangu, ni wasukuma na wachagga.

Kama wewe uko na iphone 13, unaumia nini mwenzio akitumia itel?
 
1. Sio wachoyo ila ni wachafu, msukuma anakupa maziwa mtindi ndani yake kuna vidudu vyeusi utakunywa hayo maziwa?

2. Hawana gubu ila ni wakabila sana, wakikutana wawili tu wanaanza kuongea kilugha

3. Sio wastaarabu, unakuta kabeba radio au simu halafu kaweka sauti ya juu bila kujali watu wengine.

4. Wasukuma ni waharibifu sana wa mazingira, wanakata miti hovyo, hawana vyoo vya kudumu na wanazaliana sana kama panya.
 
Ahsee hawa watu wa Kanda ya ziwa hawavumiliki loooooh!!! Nazungumza MWANZA, GEITA, SHINYANGA, SIMIYU na KATAVI ndomaeneo mengi hawa mangosha wametapakaa japo wapo kila sehemu

Yani Hawa watu ukiwa nao ni washamba bora ngedere aliepo porini. Fikiria ukipanda gari za vijijini ni makerere tupu ya miito ya simu, wanaongea kama maiki sauti mpaka walioko mbali wanasikia, masimu Yao ni OKING na Itel basi kila mtu kafungulia mziki wa kisukuma tena zinafanana ajabu kila mtu kawasha mziki

Tabu kuliko zote ni HAWAOGIII wananuka kwenye kwapa mashati ni meusi hata panya akijificha anakufa, hiyo diffusion inayotoka unaweza kuvuna mafuta ya duzeli

Hawajui usafi wa vyoo, yani usafi ni zero anaenda kunya hajui kuflash wamezoea vya kulenga ndio mana nawaonea huruma wamiliki wa mabus ya Kanda ya ziwa wanaponunua bus zenye self service (Vyoo), kila siku watakuwa wanasafisha makimba

Hawajui kutongoza, wanaamini kwenye nguvu ya pesa tuu. Utaskia wewe Dada kwahiyo nikupe shingapi?? Ni majinga sana karibia yote ni madomo zege. Halafu ni wabishi usiombe umkute msukuma aliyewahi kufika shinyanga mjini utajuta.. Wanaujanja wa kishamba sana ujanja wa makerere na kubaha Kwa sauti kama anataka kukupiga

Hawa watu nimewavulia KOFIA [emoji119][emoji120]
Wewe dogo haujaacha tu mada zako za kishoga shoga.
 
Back
Top Bottom