Kwenye jamii za wasukuma yataka moyo wa chuma

Umenikumbusha jana hapa JF kuna Msukuma mmoja kaweka post, kaandika mambo.

Mwisho kamalizia.

Bhujiku Ng'wakaa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nikasema "Bhebhe nang'hoo, lekaga kebii, olemana obise tole ma Marekani kwenuku ite bhujiku lemihagati pye henaha"

Yani Msukuma anaamini kila mtu anajua Kisukuma.
Hahaaa haaaah kiranga uko mbele kumbe unajua mambo zahuku vizur mim nmeoa huko usukumani... Tola maganza...
Wabheja gete
 
"hawajui kutongoza wanaamini kwenye nguvu ya pesa tu, utasikia wewe dada kwahiyo nikupe sh ngapi? "

Umeongea kwa uchungu sana mchuchu, ila umesahau kutusifia kidogo mrembo, wanaume wasukuma tumebarikiwa mab*ro ya mwendo kasi.
 
Kumbe unawajua, yani wanakusema na wewe upo hapo hapo
Nimekaa nao mwaka wa 14 Sasa ... Hawa jamaa bwana tuseme tu ni humble sana hawana mambo mengi kiviile ila tu kaushamba wanako sana tu na tunatawataniaga vizuri tu na tunacheka .... Hapo kwenye kilugha mi nilikaa nao hawaongei hata sio msukuma Sababu wanajua nakijua ila sipendi kuongea... Maana msukuma bwana hata akija ofisi za umma akajua wewe unakijua anaaanza na kisukuma , moo mikutano ya hadhara anakipiga Sasa Mimi nawakataliaga huo utaratibu....
 
Ahsee hawa watu wa Kanda ya ziwa hawavumiliki loooooh!!! Nazungumza MWANZA, GEITA, SHINYANGA, SIMIYU na KATAVI ndomaeneo mengi hawa mangosha wametapakaa japo wapo kila sehemu

Yani Hawa watu ukiwa nao ni washamba bora ngedere aliepo porini. Fikiria ukipanda gari za vijijini ni makerere tupu ya miito ya simu, wanaongea kama maiki sauti mpaka walioko mbali wanasikia, masimu Yao ni OKING na Itel basi kila mtu kafungulia mziki wa kisukuma tena zinafanana ajabu kila mtu kawasha mziki

Tabu kuliko zote ni HAWAOGIII wananuka kwenye kwapa mashati ni meusi hata panya akijificha anakufa, hiyo diffusion inayotoka unaweza kuvuna mafuta ya duzeli

Hawajui usafi wa vyoo, yani usafi ni zero anaenda kunya hajui kuflash wamezoea vya kulenga ndio mana nawaonea huruma wamiliki wa mabus ya Kanda ya ziwa wanaponunua bus zenye self service (Vyoo), kila siku watakuwa wanasafisha makimba

Hawajui kutongoza, wanaamini kwenye nguvu ya pesa tuu. Utaskia wewe Dada kwahiyo nikupe shingapi?? Ni majinga sana karibia yote ni madomo zege. Halafu ni wabishi usiombe umkute msukuma aliyewahi kufika shinyanga mjini utajuta.. Wanaujanja wa kishamba sana ujanja wa makerere na kubaha Kwa sauti kama anataka kukupiga

Hawa watu nimewavulia KOFIA [emoji119][emoji120]
Ushamba ni kuandika makerere badala ya makelele
 
Hahaaa haaaah kiranga uko mbele kumbe unajua mambo zahuku vizur mim nmeoa huko usukumani... Tola maganza...
Wabheja gete
Mkuu,

Mimi napenda sana lugha, najua mpaka Jamaican Patois, sasa ingekuwa aibu lugha ya kwetu nisiijue.

Halafu unajua kuna wale binamu zetu wakitoka Mwanza wanakuja Dar wanajua kila mtu anajua Kisukuma.

Kitu cha kwanza wanakuomba uwapeleke baharini, Kisukuma.

"Aleyo tolehaya koja ko nyanza ya ng'hwani twibone chiza gete gete".

Binamu anakupandishia tu, lazima utajua upende usipende.
 
Ahsee hawa watu wa Kanda ya ziwa hawavumiliki loooooh!!! Nazungumza MWANZA, GEITA, SHINYANGA, SIMIYU na KATAVI ndomaeneo mengi hawa mangosha wametapakaa japo wapo kila sehemu

Yani Hawa watu ukiwa nao ni washamba bora ngedere aliepo porini. Fikiria ukipanda gari za vijijini ni makerere tupu ya miito ya simu, wanaongea kama maiki sauti mpaka walioko mbali wanasikia, masimu Yao ni OKING na Itel basi kila mtu kafungulia mziki wa kisukuma tena zinafanana ajabu kila mtu kawasha mziki

Tabu kuliko zote ni HAWAOGIII wananuka kwenye kwapa mashati ni meusi hata panya akijificha anakufa, hiyo diffusion inayotoka unaweza kuvuna mafuta ya duzeli

Hawajui usafi wa vyoo, yani usafi ni zero anaenda kunya hajui kuflash wamezoea vya kulenga ndio mana nawaonea huruma wamiliki wa mabus ya Kanda ya ziwa wanaponunua bus zenye self service (Vyoo), kila siku watakuwa wanasafisha makimba

Hawajui kutongoza, wanaamini kwenye nguvu ya pesa tuu. Utaskia wewe Dada kwahiyo nikupe shingapi?? Ni majinga sana karibia yote ni madomo zege. Halafu ni wabishi usiombe umkute msukuma aliyewahi kufika shinyanga mjini utajuta.. Wanaujanja wa kishamba sana ujanja wa makerere na kubaha Kwa sauti kama anataka kukupiga

Hawa watu nimewavulia KOFIA [emoji119][emoji120]
Ha ha ha ha ha ha yetu macho
 
Hakuna watu wakarimu kama wasukuma

Sababu moja ambayo wanapondwa sana,Ni kwamba hawa jamaa hawanaga time ya kujibu mashambulizi
Tofauti na Makabila kama wahaya,wachaga,kurya,zanaki e.t.c
Kama wewe ni mgeni wanaukarimu wa hali ya juu sana

Vilevile ni wachapa kazi dunia hakuna.Yani Msukuma mmoja ni sawa na wanaume wa Dar kina Mowayungu na Kenzy 100

Hawakati tamaa,Achana na wanaume wa Dar kina mpwayungu ambao walileta uzi wanatamani kuzaliwa wanawake kisa maisha magumu..Sukuma hawakati tamaa kizembe hawabagui kazi wala nini

Kifupi mgeni hata umfanyie mema 100 akitoka kwako atasimulia mabaya mawili au matatu kati ya Mema 100 uliyomtendea

Kenge sio msukuma lakini wasukuma wapewe maua yao..
Usafi?
 
Mkuu,

Mimi napenda sana lugha, najua mpaka Jamaican Patois, sasa ingekuwa aibu lugha ya kwetu nisiijue.

Halafu unajua kuna wale binamu zetu wakitoka Mwanza wanakuja Dar wanajua kila mtu anajua Kisukuma.

Kitu cha kwanza wanakuomba uwapeleke baharini, Kisukuma.

"Aleyo tolehaya koja ko nyanza ya ng'hwani twibone chiza gete gete".

Binamu anakupandishia tu, lazima utajua upende usipende.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom