Kwenu wanawake wenzangu

Kwenu wanawake wenzangu

Habari ya sikukuu wana jf wote bila shaka mko salama leo mmetulia majumbani hadi raha..

Niende straight kwenu wanawake wenzangu hivi nini huwa sababu ya kumzungusha mwanaume anapokutongoza?
Yaani mtu amekupenda au amekutamani amekupa sera zake pengine umezielewa lakini kukubali mpaka upige danadana pengine mpaka miezi inakuaga kwa ajili ya nini haswa😀😀
je ndio haiba ya kike?
mnakua mnachunguza?
inaongeza hadhi au thamani?
inafanya mtu azidi kukupenda?
au ni mapozi tu?

Na nyie ndugu zangu wanaume kipi huwa bora kwenu
anaekubali au kukataa straight ama anaepiga danadana ?
Apige dana dana kidogo tu kisha aje akubali isifike wiki moja, mambo ya kuwekana muda mrefu zaidi hatitaki
 
Umemtafuta huko ukamkosa?
Ndiyo beibi. Ila raraa reree kaniambia kanimbia mlikuwa wote.
Niko hapa 😝
Afadhali umekuja mwanangu.

Nina mzigo wako kutoka nyumbani na nimeambiwa nikukabidhi wewe mwenyewe mkononi.

Sasa mwanangu unaweza kuja inbox mara moja ili nikukabidhi?

Halafu ni muhimu pia kuonana maana huwezi jua, huenda tukayajenga.
 
Kuonana ✅
Mzigo tuma haraka sana hapa Tanga mjini 🙂
 
Back
Top Bottom