Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 16,135
- 51,252
As u wish 😁😅😅😅😅😅😅.
Ya Instagram au ya TikTok?
ambayo unahis itarahisisha hili jambo
As u wish 😁😅😅😅😅😅😅.
Ya Instagram au ya TikTok?
Mimi hakuna mahali nimeandika pesa 😅Kwa hiyo mnataka pesa, yani yote hayo ni kupewa pesa, ndio care mnayoitaka?
Kutongoza ni siku moja tu bro, siku ya pili tunaenda kutafuta mtoto......😀😀😀😀😀mi sivungi sijui Evelyn Salt na Joanah
Ndio mkuuKwa hiyo mnataka pesa, yani yote hayo ni kupewa pesa, ndio care mnayoitaka?
🤣🤣🤣 alooooKutongoza ni siku moja tu bro, siku ya pili tunaenda kutafuta mtoto......
Is that a business??Ndio mkuu
Jibu ni moja tu, hawa mabinti wanazunguka sana😅Ndio mkuu
Naona bado unazunguka kama pia(unaijua pia?)😅Mimi hakuna mahali nimeandika pesa 😅
Nimesema kujali tu
😅😅😅😅Naona bado unazunguka kama pia(unaijua pia?)😅
Sawa mzungu! Haibadilishi kuwa hakuna wa kukujibu kama mzungu mwenzio huku! Ukitaka voda fasta unajua wanapopatikana tusisumbuane!Sasa mtu hata sio bikra danadana za nini?
Wazungu wamenyooka kama rula , nakupa sikupi basii
Kwanza hii ya subiri nikufikirie imebaki huko bariadi tena vijijini
Bora vitu vya ajabu kuliko kukosa vyote mzee😎Halafu upo busy unatusema tu ooh nakuchunguza, nakuangalia...kumbe huna unachochunguza, unataka kuona kama hiyo care inakujaje. Msipemde sana pesa wakuu, mtakutana na vitu vya ajabu.
Mkataa mabalaa na mikosi😅😅😅😅unakamatika na wajanja.Bora vitu vya ajabu kuliko kukosa vyote mzee😎
Bro hela inafanya papuchi iloe I swear.....mi nkipewa hela naskia raha sana napenda helaaa nazipendaaa.Jibu ni moja tu, hawa mabinti wanazunguka sana😅
Not that really, but it is a win-win situation broIs that a business??
Kukulwa pako pale paleJibu bado ni lilelile sio lazima!
Move to the next victim ✍🏽
Upo sahihi, pesa ni marijani. Sema ngono iliyotanguliza pesa hata sio nzuri...Bro hela inafanya papuchi iloe I swear.....mi nkipewa hela naskia raha sana napenda helaaa nazipendaaa.
ila sio za masimango, ukinisimanga tu sizitaki baki nazo
Sa unajizungusha nini jamani, kupoteza muda tu🤣🤣🤣 aloooo
Tunataka machaguo mengi, ila mwisho wa siku n kukaza na kukazwaBasi kapambane naye hakuna ulazima wa kumlinganisha na mtu mwingine huo ni udhaifu! Kumkubali bikra hakuna haja ya kutafuta defence mechanism, ni machaguo yako binafsi! Kabebe uwe unamfunika usoni na blanketi muda wa show🤣
Kwani ukinipa care ndio umenipa mabalaa yako?Mkataa mabalaa na mikosi😅😅😅😅unakamatika na wajanja.