Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,221
- 183,075
Mfyuuu ๐๐๐๐๐๐Nimeokoka nampenda Mungu...
Mfyuuu ๐๐๐๐๐๐Nimeokoka nampenda Mungu...
Salamu zimefikaMsalimie sana
Nimekupenda pia mkuu๐Nimeku,,, mwaisa
Hakika tunapendana sana๐Nimekupenda pia mkuu๐
Lisichukue muda hili, harusi jmosi tumalize kabisa๐๐ hii ni zaidi ya maharage ya mbeya aisee๐๐ฝ๐Hakika tunapendana sana๐
Tusirembe wala kuchunguzana sana, ni fasta tu mwaisaLisichukue muda hili, harusi jmosi tumalize kabisa๐๐ hii ni zaidi ya maharage ya mbeya aisee๐๐ฝ๐
Tutalia zaidi ya ambulance ๐๐๐๐ฝTusirembe wala kuchunguzana sana, ni fasta tu mwaisa
Sidhani ๐Tutalia zaidi ya ambulance ๐๐๐๐ฝ
MKOA WA CHALAMILA ๐คฃKuchunguzana mzee usipokuwa makini unaweza lambwa na nusu ya mkoa!
Inategemeaa, unaweza usilambe kitu pia!๐MKOA WA CHALAMILA ๐คฃ
Mimi nizungushe hata miaka ila kikubwa unipe tu.
Fresh pia ila ukinipa sikataiInategemeaa, unaweza usilambe kitu pia!๐
Hamkataagi hata hivyo๐Fresh pia ila ukinipa sikatai
Inategemea mbona kuna niliowatolea njeHamkataagi hata hivyo๐
Mi nizungushwe tu, lakini nikija kupewa nisiikute inafanana na zingine. Nikiikuta inafanana, navaa nasepa!Habari ya sikukuu wana jf wote bila shaka mko salama leo mmetulia majumbani hadi raha..
Niende straight kwenu wanawake wenzangu hivi nini huwa sababu ya kumzungusha mwanaume anapokutongoza?
Yaani mtu amekupenda au amekutamani amekupa sera zake pengine umezielewa lakini kukubali mpaka upige danadana pengine mpaka miezi inakuaga kwa ajili ya nini haswa๐๐
je ndio haiba ya kike?
mnakua mnachunguza?
inaongeza hadhi au thamani?
inafanya mtu azidi kukupenda?
au ni mapozi tu?
Na nyie ndugu zangu wanaume kipi huwa bora kwenu
anaekubali au kukataa straight ama anaepiga danadana ?
Labda wagonjwa nyingine zote mnajipigiaa tu!Inategemea mbona kuna niliowatolea nje
kwamba utakuta ya goldMi nizungushwe tu, lakini nikija kupewa nisiikute inafanana na zingine. Nikiikuta inafanana, navaa nasepa!