Kwenu wanawake wenzangu

Kwenu wanawake wenzangu

blessed chiqqah realMamy kwa bahati mbaya siku hizi mwanaume ukikubali kuzungushwa kwa mda mrefu unajiweka kwenye nafasi ya kutumika kwenye maswala ya pesa, attention, & favors..(si unapenda bana) uhusiano unakua one sided, upande wa mdada unafaidika, huku mwanaume hapati chochote.

Saundisha mtu wiki 2 au 3 kama haeleweki chapa lapa, ndo ile mwishowe unazungushwa unakuja kukubaliwa sababu ya hela zako, au sababu wanaume aliowataka hawamtaki, mwanaume uliezungushwa unakua 2nd choice
na kweli😀😀
 
Habari ya sikukuu wana jf wote bila shaka mko salama leo mmetulia majumbani hadi raha..

Niende straight kwenu wanawake wenzangu hivi nini huwa sababu ya kumzungusha mwanaume anapokutongoza?
Yaani mtu amekupenda au amekutamani amekupa sera zake pengine umezielewa lakini kukubali mpaka upige danadana pengine mpaka miezi inakuaga kwa ajili ya nini haswa😀😀
je ndio haiba ya kike?
mnakua mnachunguza?
inaongeza hadhi au thamani?
inafanya mtu azidi kukupenda?
au ni mapozi tu?

Na nyie ndugu zangu wanaume kipi huwa bora kwenu
anaekubali au kukataa straight ama anaepiga danadana ?

Ni hunam nature, wazazi wetu mpaka kuwa wanandoa walipitia VETING ya standard za CIA, KGB, M16 na MOSSAD
 
Unamzungusha halafu baadaye unampa sa umefanya nini?? Kuliwa ni kuliwa tu haijalishi umeliwa muda gani..!! 😹😹😹

Halafu siku hizi hatutongazani unaombwa namba mchana jioni unaambiwa “Babe jiandae jioni tunaenda dinner Cape Town”

Ikifika usiku tayari new couple in town 😹
Asubuhi unaamshwa utoe breakfast ya chai kitumbua..!!
 
Wakumbushe pia ilo wanajitia ugumu tu jyfu ila hali na mienendo ndo iii
 
Kuna muungwana kakunyima humu? 😹😹
Em mwambie akupe uchangamshe damu kitu chenyewe anachokunyima kina sura mbaya..!!
Eeet ehh namtag sema nae ni miongoni wa waliotia kinyesi jangwani pale
 
Back
Top Bottom