Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,309
- 14,480
Mradi isifanane na zingine!kwamba utakuta ya gold
Mradi isifanane na zingine!kwamba utakuta ya gold
daahMradi isifanane na zingine!
Hii mambo ya vidume kujifanya wanawake halafu mkashindwa kuuvaa uhusika kwa angalau 90%.Habari ya sikukuu wana jf wote bila shaka mko salama leo mmetulia majumbani hadi raha..
Niende straight kwenu wanawake wenzangu hivi nini huwa sababu ya kumzungusha mwanaume anapokutongoza?
Yaani mtu amekupenda au amekutamani amekupa sera zake pengine umezielewa lakini kukubali mpaka upige danadana pengine mpaka miezi inakuaga kwa ajili ya nini haswa😀😀
je ndio haiba ya kike?
mnakua mnachunguza?
inaongeza hadhi au thamani?
inafanya mtu azidi kukupenda?
au ni mapozi tu?
Na nyie ndugu zangu wanaume kipi huwa bora kwenu
anaekubali au kukataa straight ama anaepiga danadana ?
Kwani mara zote huwa mnatongozwa na strangers. Mbona mimi naonaga wanaume wanaowatongoza ni wale wale ambao wapo kwenye circle yenu. Mtaani, darasani n.k. Sasa mtu kama huyu si tayari unakua na informations zake kabla hata hajakufata.Kuchunguzana mzee usipokuwa makini unaweza lambwa na nusu ya mkoa!
Ukiwa unazunguka unakutana na watu wapya,wengine tuna kaukakasi huwezi kuzungukia classmates na wana wa mtaa, sio tabia zetu!Kwani mara zote huwa mnatongozwa na strangers. Mbona mimi naonaga wanaume wanaowatongoza ni wale wale ambao wapo kwenye circle yenu. Mtaani, darasani n.k. Sasa mtu kama huyu si tayari unakua na informations zake kabla hata hajakufata.