Kwenu wanawake wenzangu

Kwenu wanawake wenzangu

Ndio lazima point zote zifanye kazi huwezi shikilia bango na watu wanatofautiana! Kuna kijana akikufuata hata huwazi mara mbili, kuna species nyingine inakubidi utafute merits kwanza ndio ukubali.. ndio tunaita kufikiria sisi😎
Sema now , hizi mambo za kutongozana ni kama hazipo kihivyo wengi wanagidana kimasihara masihara tu
 
Kabisa! Na hawa ndio tunaowataka! Mambo ya hawa wa jibu langu lini, the heck🚮
Sasa nakuelewa mkuu, kama chawa anaweza kutumwa kuleta ujumbe na domo zege mwenye pesa zake, kuchunguza tuweke pembeni, labda kuchunguza ana ukwasi kiasi gani😅
 
Habari ya sikukuu wana jf wote bila shaka mko salama leo mmetulia majumbani hadi raha..

Niende straight kwenu wanawake wenzangu hivi nini huwa sababu ya kumzungusha mwanaume anapokutongoza?
Yaani mtu amekupenda au amekutamani amekupa sera zake pengine umezielewa lakini kukubali mpaka upige danadana pengine mpaka miezi inakuaga kwa ajili ya nini haswa😀😀
je ndio haiba ya kike?
mnakua mnachunguza?
inaongeza hadhi au thamani?
inafanya mtu azidi kukupenda?
au ni mapozi tu?

Na nyie ndugu zangu wanaume kipi huwa bora kwenu
anaekubali au kukataa straight ama anaepiga danadana ?
blessed chiqqah realMamy kwa bahati mbaya siku hizi mwanaume ukikubali kuzungushwa kwa mda mrefu unajiweka kwenye nafasi ya kutumika kwenye maswala ya pesa, attention, & favors..(si unapenda bana) uhusiano unakua one sided, upande wa mdada unafaidika, huku mwanaume hapati chochote.

Saundisha mtu wiki 2 au 3 kama haeleweki chapa lapa, ndo ile mwishowe unazungushwa unakuja kukubaliwa sababu ya hela zako, au sababu wanaume aliowataka hawamtaki, mwanaume uliezungushwa unakua 2nd choice
 
Hii ndo sana tu 😅
 
Mimi unaona nafanana na mtu wa kujizungusha bro

Mi kama nimekulewa safii sipendi issue za ku act act mambo yasio kuwepo😅

Mi naona watu wanachanganya kumkubari mtu na kuanza sex nae

Kusema nimekubari haina maana kesho mnaamkia gest jamani😅😅😅

Nakama Sijakuelewa pia pita hivi🫴
Bro mtu anaweza kukutongoza uko kwenye ovulation ujue.....Yani hii Nchi ina mambo mengi sana we kaa tu standby
 
Back
Top Bottom