Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.

Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti nilisikia harusi yake ilikuwa kubwa tu hapa mjini na ilihudhuriwa na mmoja wa kiongozi mkubwa tu ambaye kwa sasa amestaafu.

Naomba niwaulize wanawake wenzangu ambao mko kwenye ndoa inakuaje kuaje hadi kufikia hatua ya kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri, kuna raha gani mnayoipata? Hata kama ni kufanya udanganyifu basi mjaribu kutoka na wanaume ambao mnalingana umri ama waliowazidi.

Hawa vijana wadogo wengi mnawaharibia kesho yao, kwa mfano mimi nikianza kutoka na kijana ninae mzidi umri unafikiri ataanzaje kuniacha kwa mfano? yaani nijishughulishe vilivyo kitandani halafu nimpe na pesa za matumizi ni muda gani atafikiria kuwa na familia yake? kwa hili tujaribu kubadilika hawa watoto sio saizi zetu.
Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
 
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.

Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti nilisikia harusi yake ilikuwa kubwa tu hapa mjini na ilihudhuriwa na mmoja wa kiongozi mkubwa tu ambaye kwa sasa amestaafu.

Naomba niwaulize wanawake wenzangu ambao mko kwenye ndoa inakuaje kuaje hadi kufikia hatua ya kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri, kuna raha gani mnayoipata? Hata kama ni kufanya udanganyifu basi mjaribu kutoka na wanaume ambao mnalingana umri ama waliowazidi.

Hawa vijana wadogo wengi mnawaharibia kesho yao, kwa mfano mimi nikianza kutoka na kijana ninae mzidi umri unafikiri ataanzaje kuniacha kwa mfano? yaani nijishughulishe vilivyo kitandani halafu nimpe na pesa za matumizi ni muda gani atafikiria kuwa na familia yake? kwa hili tujaribu kubadilika hawa watoto sio saizi zetu.
Sikubaliani na wewe unaposema wimbi kubwa, watu wanaofanya hivyo ni wachache.

Ukitaka uamini ninachosema anza na kuangalia kwenye familia yako, ndugu zako na rafiki zako, ukipata ni wachache basi ujue na kwingine ni hivyohivyo
 
Ningeungana na wewe ikiwa umelenga kukemea kucheat lakini kumbe issue ni kutoka na waliowazidi umri!

Yote kwa yote hii dunia kuna watu wanazaliwa kupenda wakubwa na wengine kupenda wadogo, mimi nina mfano hai kuna jamaa tumesoma naye, anadili na watu wazima tu tena anakwambia kwa mademu umri wake aliowahi kutoka nao basi walimtongoza wenyewe.

Huyo jamaa katoka hadi na waliomzidi miaka 20, mimi mwaka huu mwezi wa tatu kuna mmama alinitimbia kwa messenger tena bila kupepesa kasema shida zake, kesho njoo unigonge Sokomatola sehemu flani
 
Back
Top Bottom