Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Kumbe unauelewa mgumu ivo kaka?
Ndio nini hii??
Kumbe unauelewa mgumu ivo kaka?
....ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani.
Source: Rich Mavoko
Kutembelea nyumba za watu ni mpaka nipate ruhusa ya Malkia wangu Heaven on Earth.
Hizo kauli zako mbona zinakinzana?
Huyo huyo atikise wanaume
Huyo huyo achezewe na wanaume kama yeye
Huyu huyo anataka kuhudumiwa na wanaume gani?
Ndio nini hii??
ukimaanisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
NAULIZA ukiwa unamaanisha nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!
bestito jamani mbona ukali hvyo
nnamaanisha mkeka uliomwagiwa machanga ya baharini?
Don't believe thins u see on tv. They are all scripted
Mzima?
Kutembelea nyumba za watu ni mpaka nipate ruhusa ya Malkia wangu Heaven on Earth.
bado waniacha njia panda!!!!!!!
Hiyo sentensi ya pili manake nini
Bestito ushakuwa mkubwa wewe
bado hujaelewa somo je nikikupeleka
ulaya utaelewa kidhungu wewe
Mimi huwa nawashauri wakina dada...kama kuna kitu wangefanya kwa maisha yao...ni kuipa thamani kubwa PAPUCHI zao...sema wengi wanaziachia mno....wanajirahisiha sana...sana yaani.....
I know her personally
SO YOU KNOW HER TO THE EXTENT OF KNOWING WHAT IS IN HER SOUL??????????????
/QUOTE]
Ain't necessarily so
SO YOU KNOW HER TO THE EXTENT OF KNOWING WHAT IS IN HER SOUL??????????????
/QUOTE]
Ain't necessarily so
So you went dead, silent, nothing, nadaaaaaaaa! On the number issue! Didnt think it will be easy! But atleast i tried! :tonguez:
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
....sawa labda vijana wengine...lakini mi wakina dada naowaona kwenye cycle yangu wanasikitisha sana... awajali, hawajithamini....wengine wanadhani ni ujanja...kwa ujumla mimi kuna wakina dada wengi nakutana nao (hasa kwenye kazi yangu)...hawajithamini kabisa(hawathamini miili yao) wanampa kila mtu kwa sababu mbali mbali....sijui labda maisha yetu ya kitanzania yanafanya wawe wamekata tamaaa.Unalosema ni kweli kabisa Mkuu ila tukirudi nyuma hao akina dada wanajirahisisha na wakinadada wenzao? Shauri vijana jinsia zote maana wanaona kama kufungua zip ni fashion.
So you went dead, silent, nothing, nadaaaaaaaa! On the number issue! Didnt think it will be easy! But atleast i tried! :tonguez:
Number issue?????
Huwa nawaambiea washkaji zangu kwa uzoefu wangu siku hizi...unaweza kuona mwanamke mzuri...kajaza vizur....umbo zuri9(hips safii)..boobs si mchezo..lakini ukikaa nae dk tano tu...ukicheki uelewa wa mambo na attitude una kuta HAMNA kitu.....very poor...ndo tatizo naloona siku hizi....ukikaa ukiongea nae unakuta bure kabisa....