gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Kuna vitu UNACHANGANYA! SHULE SIO KIPATO ASILANIIIIIIIIIIIII!!!!!!!!!!
Kuna watu tunakaribia ku apply PHD ila ndo TUNASHNDA TUNAANGALI TELEMUNDO my heart beats for Lola, tunaishi mjini kwa MAHEABU MAKALI na HISANI NENE za wadau! Jitu lina MASTERS linaagiza hela NYUMBANI KWA DADY NA MAMY!
Ila kuna ma FIGHTER STD 7 unapanga FOLLENI kwao! Wako vizuri balaaaa! Wamejipanga! kuna jimama mtaani kwetu lina saluni tu linapamba maharusi, lowest income per week ni 1M. wakati mie kazini kwangu kabla sijasusa kufanya kazi yeyote sijui nitaufikia lini huo mshahara kwa MWEZI MZIMA!!!
SO KUTOENDA SHULE HAIGUARANTEE UTAKUW TEGEMEZI, NA KWENDA SHULE SIO KUTOKA KIMAISHA! MJINI MIPANGO!
We Dada upo vzuri sana kichwani
Hope he knows how much he is blessed to HV u
