Kwenu wadada wenzangu

Kwenu wadada wenzangu


Threads za hivi huwa zinaletwa humu JF na wanaume walioumizwa na mademu. Na wanawake kwenye hoja kama hii huwa wote wanakuwa upande mmoja na hutaona hata mdada mmoja anaunga mkono hoja ya mleta mada.
 
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
Umenena
 
Hakuna hata nukta! Loh! Nilivyoliza kusoma ikanibidi nipumue kwanza, fuuuuuu!
 
Mmmh mbona wazee with walioa mama zetu hata kusoma hawajui na wakaraise family fresh! Kama unaona hana upeo msaidie just muexpose kwenye ulimwengu unaoutaka

Huwezi linganisha mama zetu na nyie wa siku hizi. Ndio maana wazee wa zamani kazi yao ilikuwa kunywa pombe, akijitahidi ametafuta hela ya chumvi na akirudi nyumbani anakula na kulala na uroda anapewa. Wadada wa leo pamoja na kwenda shule mawazo yote yako saloôn na mavazi tu.! Kuna exception lakini!
 
Sounds like Bi Ponza or Bi Chau

Valid observation however. Really beautiful woman are not marriegable materials. They are good for short time pleasure. Woman with brains ndio mpango mzima. I am sorry to say it, kama hajasoma ni watumia tu - mwenye akili yake ndio mnakaa wote on equal terms na maisha yanasonga mbele.
 
Threads za hivi huwa zinaletwa humu JF na wanaume walioumizwa na mademu. Na wanawake kwenye hoja kama hii huwa wote wanakuwa upande mmoja na hutaona hata mdada mmoja anaunga mkono hoja ya mleta mada.


Habari za majukumu ya ujenzi wa taifa mkuu? Unajua mkuu nilitaka anifahamishe hasa hapo kwenye rangi mkolezo kama kweli hakuona michango ya Ladyfurahia, Heaven on Earth nk.
 
Habari za majukumu ya ujenzi wa taifa mkuu? Unajua mkuu nilitaka anifahamishe hasa hapo kwenye rangi mkolezo kama kweli hakumuona michango ya Ladyfurahia, Heaven on Earth nk.

hahaha mkuu nadhani kwa makusudi au kutojua ameamua kuzi ignore tu
 
Habari za majukumu ya ujenzi wa taifa mkuu? Unajua mkuu nilitaka anifahamishe hasa hapo kwenye rangi mkolezo kama kweli hakuona michango ya Ladyfurahia, Heaven on Earth nk.

heaven on earth nimem-exclude kwa sababu anaonekana ana nidhamu iliyopitiliza haswa ukiangalia comments zake, huyo ladyfurahia sijaona coment zake kiasi cha kutosha kukisia alivyo.
 
Mkuu unaweza kuthibitisha kauli yako ya mwisho?

hii kauli ya mwisho sina haja ya kuithibitisha, najua hautakuwa na muda wa kupitia threads zilizopita haswa kwenye jukwaa la mapenzi lakini endelea ku observe from now on, utagundua tu.
 
Threads za hivi huwa zinaletwa humu JF na wanaume walioumizwa na mademu. Na wanawake kwenye hoja kama hii huwa wote wanakuwa upande mmoja na hutaona hata mdada mmoja anaunga mkono hoja ya mleta mada.

are u sure??!!!!!!! au umetona wadada wote hamnazo???????!!
 
heaven on earth nimem-exclude kwa sababu anaonekana ana nidhamu iliyopitiliza haswa ukiangalia comments zake, huyo ladyfurahia sijaona coment zake kiasi cha kutosha kukisia alivyo.
Fuatilia utabaini wote wana sifa zinazofanana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom