grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Hahahaaaaaa....Unajua Yesu hakuwa mwafrika, hata hivyo hatujui nani aliitafsiri biblia kutoka kiyahudi mpaka kiswahili.nyani haoni kundule!!
Hahahaaaaaa....Unajua Yesu hakuwa mwafrika, hata hivyo hatujui nani aliitafsiri biblia kutoka kiyahudi mpaka kiswahili.nyani haoni kundule!!
Mahondaw kumbe wewe ni mdada? Nimependa jina lako...are u sure??!!!!!!! au umetona wadada wote hamnazo???????!!
Tena Malkia wangu usimuachie mpaka akueleze vizuri na yakuingie.
Hahahaaaaaaa...mbona hata ruhusa nilimpa mwenyewe na hata huyo aliyekuwa naye nilimuomba aniwakilishe.
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
Wanajaribu kuingilia katiba ya falme yetu, watasubiri sana.kiss and hug my king.............ruhusa si ulinipa mwenyewe
Hahahaaaaaaaaa...hata hizo nguvu za kuendelea atakuwa nazo. Malkia wangu natumaini jana ulifika salama.sijui kapotelea wapi!!!!!!!!ana la kueleza basi
Kazana sana kujiongopeaMmmmmmmmmmmh! IT WAS GOING WELL UNTIL ULIPO DISCLOSE THE END YA KUFANYA YOTE HAYO NI ILI UOLEWE!!!!!!!!! Pleaseeeeeeeeeeeeeeee!
Pardo me in advance beacause MY HUMOR HAS NO SENSE AT ALL lakini WHY SHOULD YOU DO ANYTHING ILI UOLEWE? Shouldnt it come NATURAL?
Una some valid points hapo, sana tu but for me it would have made more sense kama ungesema WANAWAKE WAFANYE HIVO OUT OF PRINCIPLES TU!!!!!!!!!!!! Sababu wanaume pamoja na kuwa ATM in the end ni binadamu wenzetu, they have feelings and they do need compassion from time to me.
THY SHOULD NOT COMMIT AGAINST THEE WHAT THY DOES NOT WISH COMMITTED AGAINST THY! Logica explanation.
From time to time try to ask yourself UKISHAOLEWA THEN WHAT?
Wale nyani wa Chuo Kikuu cha DSM ambao wameelimika wanatumia Vioo kujingalia...tena wengine wanakaribia kuchukua Shahada za Uzamivu.nyani haoni kundule!!
Naomba kujuwa bei ya bastolakiss and hug my king.............ruhusa si ulinipa mwenyewe
Kazana sana kujiongopea
Hivi, kwani huwa mnaolewa ili mtoke kimaisha? Au kuanzisha familia?HAHAHAAAAAAAAAAAAA!! MIMI MJINI SIMTEGEMEI MWANAUME ASILANI!!!!!!!!! Hata siku moja! So sijiongepei chcochote! Kungoja upate mwanaume akutoe kimaisha ndo UONGO MTAKATIFU!
Naomba kujuwa bei ya bastola
Hahahaaaaaaaaa...hata hizo nguvu za kuendelea atakuwa nazo. Malkia wangu natumaini jana ulifika salama.
Hivi, kwani huwa mnaolewa ili mtoke kimaisha? Au kuanzisha familia?
mweeeeehhh!! kwani mume issue siku hizi?? nway, wamekusikia wenye ---- na sura nzuri. lol
Habari wana MMU, leo naomba kuwakumbusha kitu wadada wenzangu ambao bado hatujaolewa n hatuna wachumba yaan bdo tunatafutana, haka ka tabia ka kujiona keki yaan Mungu kakujaalia kalio basii wataka utikise wanaume wote dunia nzima, sio kila mkaka anaangalia ---- lako wanaanza kwa kuangalia uelewa wako wa mambo afu kalio linafuata, akili ya kuwaza maisha n maendeleo huna kila cku unawaza me mzur ntahudumiwa n wanaume, wenzio wanaume cku hzi wanaangalia nan wa kuoa nan wa kuchezea sasa wewe jirahisishe kwa kila bwana sabbau umejaliwa umbo n sura, kama akili zako mbili utachezewa n wanaume wenye akil kama zako n watakua type yako n uzur wako unaoringia hutopata mume had unazeeka walah, zaidi utakua unatumika kama choo cha jiji
Njoo nikupe bei ya AK47.Naomba kujuwa bei ya bastola