Kwenu wadada wenzangu

Kwenu wadada wenzangu

Mtu akikunyang'anya joho mpe na kanzu pia, akikulazimisha kwenda naye maili 2 nenda naye maili 4 na pia akikupiga kofi shavu la kushoto mpe na la kulia pia.
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... ishia hapo hapo..... Kwa hiyo mwanaume akikugegedea mkeo, unampa na dada yako amgegede..??? Ya kanisani yaache huko huko
 
Mtu akikunyang'anya joho mpe na kanzu pia, akikulazimisha kwenda naye maili 2 nenda naye maili 4 na pia akikupiga kofi shavu la kushoto mpe na la kulia pia.

hahahaa naona uko well equiped kwenye mistari......................

mnanichekeshajeee
 
Kunawatu washinda kwa waganga ili waolewe.tena wengine wako ktk ndoa za mafungu,mume mmoja wake watatu mpaka wanne wote wanashea uume mmoja. Leo wewe wasema mume sio issue,kwa uzoefu hizo ni kauli zenye kuonyesha kukata tamaa!unasema kwa sababu kakuna mtu mwenye dalili za kupropose. HUTAKI MUME BASI VAA SHERA NENDA KANISAN/MSIKITIN KISHA KATAA KUOLEWA.HAPOTUTAJUA UMEAMUA!!

inaelekea wewe ushashinda sana kwa waganga na hujaolewa. pole sana bidada. mikosi ikizidi kachambie u.pupu unaweza ukabahatika hata zee lililojichokea likuoe. pole yako.
 
are u sure??!!!!!!! au umetona wadada wote hamnazo???????!!

Hapana sijawaona hamnazo.
Haya maswali uliyouliza ni ya kawaida sana kuulizwa na mdada. Wengi wao ni wazuri sana kukataa kwa mdomo na hata hudiriki kulia uongo na machozi yakatoka, lakini ukweli ni kwamba wanatenda tofauti kabisa na wanavyokuambia uamini.
Kwa hiyo maswali yako hayanishawishi kukuona wewe ni tofauti, lakini sina maana kuwa wewe ni hamnazo, hapana.

"ai jamani mimi yaani nitembee na mkaka yule, yaani umenidharau kweli (huku anadondosha machozi)"
Ukifuatilia unakuta ni kweli jamaa anapasha. hahahahah......
 
Ukishaolewa, kids follow and a lifetime of happiness. Marriage is beautiful. Find a man settle down. Money aint everything.

Life is short...make it beautiful with people you love....money won't give a complete happiness....I agree with you
 
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... ishia hapo hapo..... Kwa hiyo mwanaume akikugegedea mkeo, unampa na dada yako amgegede..??? Ya kanisani yaache huko huko
Kuyaacha huko huko itakuwa ngumu. Mungu ni kila kitu kwangu na heaven on earth ni malkia wangu wa duniani.
 
Hapa dada umeongea sn napata shida ya hawa warembo hz poda zinawapotezea mda.....amutak ndoa kisa wazur munatoa mimba uwe mrembo kaz ipo uzeen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom