Kwenu Viongozi wakubwa Wa Tiss. Mkuu wa MAJESHI ya Ulinzi na Usalama na Kamanda Father IGP

lete rimoti

Senior Member
Aug 24, 2021
152
192
Hii ni Barua ya Wazi Kwenu Viongozi wakubwa Wa Hii Nchi. Ninaamini Kukaa Kimya Hakutonibadilishia Chochote ila angalau kama Nikisema Pengine Mnaweza Kuona na Kunisaidia.

Tangu nilipokuwa Mdogo Nilitamani Sana Kuja Kuwa Askari katika Hii nchi, Natamani Sana Nije kuitumikia Hii nchi Siku Moja.
Nina Umri wa Miaka 24. Lakini Mpaka Sasa Siioni namna Ambayo nitaweza Kuitimiza Ndoto hii.

Ninasikitika hata Vigezo vya kujiunga na JKT Tayari vimeshanitupa Mkono.( Hii Inatokana na Mabadiliko ya Vigezo vya umri na Kielimu vinavyohitajika na jeshi la Kujenga Taifa) Ila hii Ndoto naamini Itatimia Siku Moja.

Zifuatazo ni Sababu za Kwanini Nafaa Kuwa Askari.

Kwanza Kabisa Ninamwili na Muonekano wa Ki- Askari, Nimesoma Katika Shule za Jeshi Hadi Advance.
(jeshi lipo Moyoni mwangu sitanii)

1. Ninauwezo wa Kuona Vitu Vilivyofichwa.
(Yaani kwenye mission za Kukamata bangi na madawa yaliyofichwa sitoweza kushindwa).

2. Ninauwezo wa Kusoma Akili ya Mtu na kujua anachowaza au kuhitaji Kabla hajanituma. Wala kunitazama.

3. Nina uwezo mkubwa wa Kuigiza.
(Hapa Sasa hata nikipewa mission yoyote ya kuigiza naweza kuifanya).

4. Nina uwezo mkubwa wa Kufanya unyama/ Ukat*l* wa namna yoyote Ile Bila kujuta.

5. Mwisho kabisa Siogopi Kufa Kwaajili ya Jambo lolote Nitakalo lipigania.

-Elimu yangu Ni Kidato Cha SITA.
(Chuo nilipostpone)
- Nina Ndugu ambao Miaka ya Nyuma walishawahi Kufanya Kazi katika Idara zote za Ulinzi na Usalama. Nina Marafiki pia Ambao ni Askari.

Fani Nilizo Nazo.

- UFUNDI Bomba
-. DEREVA Bodaboda
-. Natumia Computer katika Program zote
- Nina uwezo Mkubwa Wa Kufundisha (kuanzia chekechea Hadi Kidato Cha 6) nimefanya Kwa miaka 5.
-Mikazi Migumu pia nakimbiza. Nachimba mifereji Hata choo nazibua. (Sichagui Kazi)

CDE
K/HC 55068.

*******************"""""*******************

Natambua wazi Nafasi Za Kujiunga na MAJESHI ya Ulinzi na Usalama Huwa Haziombwi kinamna hii.
(Labda zitangazwe). Ila Kuomba kwangu hapa Kunatokana na Falsafa yangu ambayo naamini,

JAMBO LOLOTE HALIBADILISHWI KWA KUKAA TU, NI LAZIMA UTOKE NA KUJARIBU. (Sasa hata Nikifa Nakufa Kwa Amani, nitasema nilijaribu)

Huu, Uzi umesomwa na Watu wengi Sana. Wenye Connection Tofauti Tofauti,
Natoa deal hapa Kwa atakae niunganisha na Kazi ya bomba Nitagawana nae Nusu ya malipo nitakayopata.

Kwa Huduma Za

-Kuingiza MAJI ndani ya jengo.

- Kufunga SimTank

- Kufanya tathimini ya Vifaa vinavyohitajika vya UFUNDI Bomba Pamoja na Gharama za Vifaa.

- Kufunga masink, koki shower na Mabomba ya MAJI.

Wasiliana nami Kwa namba
0658 412 883.
email- wadauplumbing@gmail.com

Ndugu Vijana Wenzangu wapambanaji, nna ujumbe wenu hapa.
Ipo hivi dunia haimtambui Mtu atakae feli.

Yaani Kufeli Itabakia Kuwa AIBU, Kwako.
Na Wewe Mwenyewe ndiye utakaeonekana Umezingua. Hakuna Tena atakaebeba Mzigo wa Kufeli kwako. Usiogope Wala Kuona AIBU katika Upambanaji wako kwenye Jambo LOLOTE.

Tupo katika stage ambayo Kila Mmoja anapaswa Kutumia akili, Nguvu na Uwezo wowote ili afanikishe Jambo analolitaka..

Nikitoboa Sitomwita Mtu mzembe,
Kamwe sitopigia Watu kelele za Kujiajiri (Tena hii nahapa kabisa kwakuwa Nimeyaona Yanayoendelea mtaani).

Tuendelee Kumtanguliza Mungu katika Kila Jambo, Tumwonyeshe kwamba Hii Dunia Sisi Tunapita Tu.

Wakatoliki wenzangu msiache Kusali Rozari, hasa katika Mwezi huu ambao ni Maalumu Kwa ajili hiyo..

Naondoka Nipepesuka Kiuwendawazimu shwaaaaa.
 
Hongera sana naamini Mungu atakasaidia kwenye ndoto yako. Binafsi nilikua na ndoto kama wewe nikaingia kwenye chombo nikaja gundua ninakwendwa kuwalinda wapuuzi kama Mwigulu wasio na lepe la huruma kwa watanzania. Sikuwa na budi bali kupigania ndoto yangu nje ya mfumo na kuhakikisha sipotezi dira once a soldier always a soldier.
 
Ujumbe mzuri sana Mkuu , japo kuna namna nahisi uzi ungekuwa na uzito sana kama ungeutenganisha na mambo ya kuomba dili za sim tanks na kumalizia kwamba unaondoka ukipepesuka kiwenda wazimu.
Ni kijana
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni kijana

Hahaha, ni kweli Mkuu. Vitu vya kiofisi vinapaswa kuendeshwa kiofisi ila ndugu yetu ameteleza kidogo anachanganya na mambo mengine.

Nadhani wenyefursa watamuelewa vizuri na wamtimizie mahitaji yake.
 
Kwamba anaondoka akipepesuka kiwenda wazimu au sio😂😂😂😂😂😂😂huyu mrumbi wakiswahili amebogoyoga huku akineng'eneka
 
Good try! Hakika Mungu anaweza kukufanikishia matamanio yako. Humu kuna watu wengi sana tena wenye nyadha tofauti tofauti kwenye maeneo uliyoyataja.

Hakika umejaribu, sometime vyombo vyetu haviwafikii wahitaji kama nyie, kupitia barua yako ya wazi, naamini vyombo vyetu na idara ziangalie namna ambayo zinaweza kuwafikia na kuwafanyia vetting vijana wenye nia (kama ni kweli) ya dhati ya kulitumikia Taifa, kwa Akili, Juhudi, Maarifa na Nguvu.

Wanasema ukiugua, toka nje kaote jua, kuna wapita njia pengine wamewahi kuugua ugonjwa kama wako na wakapona huvyo watakuelekeza dawa inapo patikana au Daktari anayeweza kukutibu, kukaa ndani ni kuficha maradhi na hatimae ni kifo .
 
Hongera sana naamini Mungu atakasaidia kwenye ndoto yako. Binafsi nilikua na ndoto kama wewe nikaingia kwenye chombo nikaja gundua ninakwendwa kuwalinda wapuuzi kama Mwigulu wasio na lepe la huruma kwa watanzania. Sikuwa na budi bali kupigania ndoto yangu nje ya mfumo na kuhakikisha sipotezi dira once a soldier always a soldier.
Nakubali Kamanda.
 
Hahaha, ni kweli Mkuu. Vitu vya kiofisi vinapaswa kuendeshwa kiofisi ila ndugu yetu ameteleza kidogo anachanganya na mambo mengine.

Nadhani wenyefursa watamuelewa vizuri na wamtimizie mahitaji yake.
Shukrani Mkuu Kwa Dua Zako.
Bado nasubiri.
 
Hongera sana naamini Mungu atakasaidia kwenye ndoto yako. Binafsi nilikua na ndoto kama wewe nikaingia kwenye chombo nikaja gundua ninakwendwa kuwalinda wapuuzi kama Mwigulu wasio na lepe la huruma kwa watanzania. Sikuwa na budi bali kupigania ndoto yangu nje ya mfumo na kuhakikisha sipotezi dira once a soldier always a soldier.
Mkuu ukishajiona ni mtu wa kutafakari na kufikiria mbali sana basi kazi ya uaskari haikufai,maana ukitumwa ukawapige Chadema utakuwa unahoji sana"Sasa nikawapige Chadema wana makosa gani?"
 
Kwamba anaondoka akipepesuka kiwenda wazimu au siohuyu mrumbi wakiswahili amebogoyoga huku akineng'eneka

Hahaha, nimecheka sana. Haya ni mambo yako Mkuu ya kuingizia vimisemo kama mtumbwi wa vibwengo, ona sasa mwenzako anapepesuka kiwendawazimu.
 
Back
Top Bottom