Kwenu vijana mnaokula na kulala kwenu

Kwenu vijana mnaokula na kulala kwenu

Usitoke hapo mpaka nije nikutoe, mtaani huku watakuvuruga!
Btw sasa usiposhiba kwa mama yako ukashibe kwa nani? Watu wengine hawajui wengine wanazuiwa kutoka makwao.
Hahah si ndo hapo sasa nitashiba kwa nani kama sio kwa mama jamani
 
Kuna vilaza wanadhani kuwa wana haki sawa na watoto wa wajomba zao au ndugu zao, wanataka haki sawa na ofa sawa.
Hakuna ukilaza hapo,wew mwenyewe usipozingitia usawa katika familia yako na kuanza kuwabagua watu kiasi hicho inaleta ukakasi hata aina ya maisha uliyokulia na unayoishi,hivi kama unaweza kumbagua mdogo wako na kum - undergrade kwa wanao VIPI HALI IKOJE KWA DADA WA KAZI SI NDO HATA KULALA HALALI KABISA NA UNATAMANI HATA UKITOKA CHOO AWE ANAKUTAWADHA KABISA KISA ANAISHI KWAKO,UNAMLISHA NA KUMLIPA MSHAHARA?.acha roho ya kijinga hiyo siku zote tafuta kutenda haki katika jamii/familia,haijalishi ni ndg yako au la,hiyo sio roho njema,kwa roho uliyonayo uchelew kumtilia MTU SUMU KWENYE CHAKULA,ili tu akupunguzie mzigo,kuhusu CHAKULA hivi kama umepata mgeni mwenye matatizo ya kiafya let say *allergy* au *stomach Ulcers* hapaswi kuongelea aina ya vyakula vinavyo muathiri mandhali tu yuko KWAKO? kuna watu tumeishi hadi na WARUNDI(WAKIMBIZI) tukijua ni ndg zetu,tumekuja kutambua sio UKUBWANI tena walishaondoka,hizo roho za korosho mnazipata wapi?.katika maisha ya binadam kuna vipindi vya Mpito(transition period) wewe ukiwa na kitu msaidie bila mipaka wala ubaguzi,MFANO,kwani ukiwanunulia wanao nguo na dada/kaka wa kaz/ndg yako utafilisika??

NOTE:KWA AKILI MBAYA ULIYONAYO KAMA USIPOKUWA JAMBAZI UJANANI MWAKO,UTAKUJA KUWA MCHAWI UZEENI.

MPENDE JIRANI KAMA NAFSI YAKO!!.
 
Ufafanuzi mzuri but too irrelevant!!
 
Umeenda mbali sana kiongozi maana hunifahamu Mimi nilivyo, thread Kama hii ni kwa kuwaweka aware watu wanaoishi kwa ndugu zao wajitahidi kutimiza majukumu yao pia itawaweka imara katika juhudi za kutafuta maisha.

Umenimwagia lawama nyingi sana kiasi kwamba unaniona Mimi ni mbaya kuliko, lakini tambua huwezi kuishi na watu ukawadekeza mpaka wakashindwa kujitegemea baadae watakuja kukulaumu.

Nasisitiza usawa katika majukumu, katika familia kila MTU afanye kazi kwa manufaa ya wote na sio mtu mmoja afanye kazi kuwanufaisha kundi kubwa tegemezi,

Tukiondoa haya mapepo ya utegemezi miongoni mwetu basi kutakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata maendeleo katika jamii zetu kwani nguvu kazi zetu tutazielekeza katika kutuletea maendeleo yetu.
 
Assalam wanajamvi,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,

Napenda kuwaongelea vijana/wanaume wanaoishi kwa wazazi, walezi, au ndugu yeyote.

Katika maisha Mara nyingi sisi wanadamu huwa ni watu wa kutotosheka ama kudhani kuna ofa fulani tunazostahili lakini hatupewi na wazazi, walezi ama ndugu zetu.

Hali hii hujenga dhana ya kulalamikia au kuwabeza wazazi, walezi au ndugu wanaotulea.

Kuna tabia zifuatazo ni mbaya sana kuzionyesha iwapo unaishi kwa ndugu zako au wazazi:-

1. Kulalamikia aina ya chakula.
Hapa utakuta wewe kijana unakaa kwenu au kwa ndugu zako unalalamika kuhusu chakula, Mara kila siku dagaa tumechoka ilihali hujui hata bei ya bamia gengeni. Elewa kuwa kulisha familia ni mzigo kwa mtoa matumizi, usilalamike iwapo wewe hutoi hata pesa ya unga.

2. Kugomea kazi, unakuta wewe umetoka kijijini ukaenda mjini kwa brother ako au mjomba kukaa, mama mjomba ako anakupa hata kazi ya kusafisha banda la kuku hutaki, kulima nyasi hutaki, unataka kushinda kwenye TV unaangalia series za wakorea tena zilizotafsriwa kiswahili.
Elewa kuwa upo kwa watu sio kwako fuata masharti, ukijenga mji wako utafanya huo uzembe wako uone utakavyokufa maskini.

3. Kuwa wa mwisho kurudi nyumbani, utakuta wewe ndio wa mwisho kufika nyumbani usiku, unaanza kuita watu waje kukufungulia geti kana kwamba we ndo baba mwenye familia, matokeo yake mjomba ako au shemeji yako anakuja kukufungulia geti/mlango, kama ni mstaarabu atakwambia jitahidi shemeji uwe unawahi ( hapo jiongeze).

4. Kutaka haki sawa na watoto wazawa wa familia.
Utakuta wewe upo tu nyumbani, ukitumwa kwenda sehemu unataka uende kwa gari, ukinyimwa unaanza kulalamika mbona Ali ( kijana mzawa wa familia) huwa anaendesha. Hapo jua upo for granted maana yake uwepo wapo ni gharama kwa familia husika, usijilinganishe na wenye haki katika familia hiyo.

5. Uvaaji,
Hapa utakuta kijana unakatiza sebuleni ukiwa na boksa tena bila wasiwasi, huu ni upumbavu wa hali ya juu, ukosefu wa staha ni dharau kubwa sana. Vaa vizuri bila kukwaza watu.

Nimalizie kwa kusema kuwa, maisha ni magumu sana ila kama unakaa kwenu huwezi jua hii shida, anayeijua ni yule anayehakikisha kila siku mnaenda chooni, usijifanye nunda kwenye kaya za watu fuata masharti na uwe mcheshi ujitume hakika utapendwa na kupewa vingi.
Maneno katu
Hii mkuu ni tahadhari kwa vijana au wanaume wanaokimbilia mjini kwa ndugu zao bila kufuata shughuli maalumu.

Kwangu wakija nanunua majembe walime mboga mboga. wape kazi za kufanya usiwaache tu wakuchakazie makochi.
 
Ndo hivyo mkuu, ila kuna watu humu wanajivisha huruma ambayo hata wenyewe hawana, wanajinasibu kuwa na huruma.

Mimi sikuandika kumaanisha watu wanyanyaswe Bali wafundishwe kujitegemea.
 
Umeenda mbali sana kiongozi maana hunifahamu Mimi nilivyo, thread Kama hii ni kwa kuwaweka aware watu wanaoishi kwa ndugu zao wajitahidi kutimiza majukumu yao pia itawaweka imara katika juhudi za kutafuta maisha.

Umenimwagia lawama nyingi sana kiasi kwamba unaniona Mimi ni mbaya kuliko, lakini tambua huwezi kuishi na watu ukawadekeza mpaka wakashindwa kujitegemea baadae watakuja kukulaumu.

Nasisitiza usawa katika majukumu, katika familia kila MTU afanye kazi kwa manufaa ya wote na sio mtu mmoja afanye kazi kuwanufaisha kundi kubwa tegemezi,

Tukiondoa haya mapepo ya utegemezi miongoni mwetu basi kutakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata maendeleo katika jamii zetu kwani nguvu kazi zetu tutazielekeza katika kutuletea maendeleo yetu.
Sawa Mkuu nimekuelewa vizuri!!.
 
Broo mi nakaa na mke wangu na sina ndugu nnaekaa naye, nimeandika huu waraka kwa vijana wanaoishi kwa ndugu zao, sikutaraji povu namna hii, ukweli tujitegemeeni bila kutegemea ndugu zetu.

Usiwajali hao walengwa.Haaaaa!
Noma sana mkuu, bora ubaki kijijini tu ambako fursa zipo njenje mjini mambo yote yako budgeted

Nilishakaa na mmoja mpaka akaota ndevu nikamtoa
kijanja nikampatia kitanda na godoro na visafuria kaza na kodi ya miezi 3. Ni kweli tunawapenda ndugu ila ni kwawadekeza nikamwambia mr huyu analemaa aende atajua mbele kwa mbele siku akikwama tutamsaidia. maana wengine hawajiongezi mtu anamiaka 29 bado kaganda kwa mwanaume mwezake.
 
hahahah jf rahaa
kwahiyo ulimfanyia coup ditect
VP sasa HIV maisha yake?
 
Mtakufa na roho zenu mbaya.

Hata kama nimetoka kijijini kuja kwako mjini ndo unipe kazi ya kuchambua maharagwe!!!
 
Jiwe gizani, ukisikia yalaa ujue limesha popoa mtu huko..,
 
Mie nadhani hapa kuna misunderstandings,mada haijasema kwamba nyie mnaokaa kwenu au kwa ndugu zenu muondoke haraka no anachomanisha mdau ni muwe na heshima kwamba hampo chini ya himaya zenu bali mpo kwenye himaya za watu ambao wana misingi yao waliyojiwekea ya kuishi.

Na hizo zote ni facts utake usitake,kijana above 25 kukaa kwenu kila asubuhi kupishana na mama yako au dada zako au wake wa kaka zako kwenye corridor huku bukta kwa mbele imetuna huo ni ujinga wa kiwango cha lami.

Tuwe wepesi wa kuelewa,kwa ndugu kaa ila fuata masherti yake pia wakati huo huo na wewe jiandalie mazingira ya kwenda kuishi sehemu yako.
 
Mi commissioned officer kijana ohooo!!
IMG_20180508_123417_402.jpg
 
Back
Top Bottom