Kwenu vijana mnaokula na kulala kwenu

Kwenu vijana mnaokula na kulala kwenu

Sure mkuu

NAKUMBUKA first time natia mguu town nilipo chaguliwa advance huko

Kwanza nilikuwa nalala sitting room asubuh house girl anawai kudek ***** unabd na wewe uamke na pia kulala mpk WOTE walale..pale AZANIA NILISOMA WK MOJA NIKAHAMIA IYUNGA. Yaan tea asubuh ni vile vipandd viwili vya mkate wao wanashiba mie ilikuwa utab aisee

Nilipo kuwa nakuja tena kwa kuanza chuo nilikuwa nmejifunza..

WATU WA DAR WANAISHI MAISHA YA DHIKI KINOMA
.ALAFU SIFA ALIZO ZITAJA MKALI NI FACT

USIOMBEE NDUGU AWE MLOKOLE AU WA SWALA TANO
Shida tupu mkuu, yaani mi sipendagi sana kukaa kwa MTU loosely, kuna watu humu wanani attack kama vile nimeleta Uzi kulalamikia ndugu zangu, nimetoa tahadhari tu kwa wshusika
 
Wakati mwingine watu mnatafuta tu visababu vya kufukuza ndugu majumbani kwenu, ikitokea
ndo mnaaza kuwachafua kwa sababu za uongo.
Broo mi nakaa na mke wangu na sina ndugu nnaekaa naye, nimeandika huu waraka kwa vijana wanaoishi kwa ndugu zao, sikutaraji povu namna hii, ukweli tujitegemeeni bila kutegemea ndugu zetu.
 
Broo mi nakaa na mke wangu na sina ndugu nnaekaa naye, nimeandika huu waraka kwa vijana wanaoishi kwa ndugu zao, sikutaraji povu namna hii, ukweli tujitegemeeni bila kutegemea ndugu zetu.
Mimi kwa sasa ni mtu mzima, Nimewahi kutaka kufulishwa nguo za watoto
Wengine wakiwa wamejikojolea. Nilikuwa hapo kwa mjomba wakati nikiwa
masomoni, shangazi aliniambia "Fua wa kusoma utakuwa wewe, we hapa ni yaya tu"
alikuwa ananiona mpole sana lakini siku hiyo nilimkata bonge la Ngwala ya Tanganyika jeki.
Baada ya kumnasa vibao viwili vitatu akaenda polisi kunishitaki. Mama mmoja jirani alifurahi
sana akanificha Temeke kwa Kaka yake. Mpaka namaliza nilikuwa naishi kwa huyo mzee.
Mwaka huu nimemnunulia Pikipiki kama shukurani.
 
Acheni roho mbaya kumbuka babu aliuza ng'ombe, mashamba ila usome wewe baba mkubwa iweje leo uje lalamika hapa JF tuhudumie tu kama unaona kero rudisha ng'ombe na mashamba ya babu ili turudi kijijini
Mi nimeandika kuwapa hamasa vijana wenzangu wanaoishi kwa ndugu zao, sijalalmika mkuu
 
Ukitoka mkoa alafu unataka kuja dar dah afadhali fungasha nataka za kutosha fikia Gheto kwa mshikaji wako ila sio kwa ndugu aisee

Mbaya zaid ndugu yako ktk nyumba awe baba wa nyumba na sio mama wa nyumba HAKIKA UTAISOMA KIEBRABIA
hehee kwa ndugu changamoto sanaq
 
Mimi kwa sasa ni mtu mzima, Nimewahi kutaka kufulishwa nguo za watoto
Wengine wakiwa wamejikojolea. Nilikuwa hapo kwa mjomba wakati nikiwa
masomoni, shangazi aliniambia "Fua wa kusoma utakuwa wewe, we hapa ni yaya tu"
alikuwa ananiona mpole sana lakini siku hiyo nilimkata bonge la Ngwala ya Tanganyika jeki.
Baada ya kumnasa vibao viwili vitatu akaenda polisi kunishitaki. Mama mmoja jirani alifurahi
sana akanificha Temeke kwa Kaka yake. Mpaka namaliza nilikuwa naishi kwa huyo mzee.
Mwaka huu nimemnunulia Pikipiki kama shukurani.
Huyo alizidi sasa, haiendi hivyo kuna kazi za kiume na sio kila kazi afanye
 
hehee kwa ndugu changamoto sanaq
Balaaa tupu..

Kama wazazi wana hela na mtoto wako anashughuli dar bora afikie hotel in

Japo wandugu watakuwa wanafiki kama vile wanakulalamikia kwann umempeleka hotel na asije kwangu kila moyoni wanashukuru

Bora kufikia kwa mselq wako sio ndugu hasA WA DAR

WATU GANI CHAKULA WANAONJA BADALA YA KULAA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaonja!!! eti mjin budget
kumbe shida tupu bora uku ss kijijin tulime zetu tushibe ugali na mchele tunalima tunaula mpk unabaki
 
Ndiyo kwa sehemu kubwa. Ingawa na namna tunavyoishi na kubebana kusiko na mipangilio kunachukua sehemu pia.
extended family africa ndio ilipokufikisha hapo ulipo leo.kwahiyo wacha gubu kwa unaowasaidia au wambie waondoke km wanamaliza chakula chako.
 
Tuna kazi sisi wa kushiba kwa mama[emoji23] ila nitakomaa hapa hapa siendi popote...
Sio maneno yangu......
2018-03-31-22-10-51.jpg
 
Back
Top Bottom