Kwenu vijana mnaokula na kulala kwenu

Kwenu vijana mnaokula na kulala kwenu

niliwahi ambiwa siwezi kukusomesha hiyo milion tano kubwa, na program yangu ilikuwa ya mwaka 1 tu na baada ya hapo napata sifa either kujiarili au kuajiriliwa. ila mwanae kasoma miaka 7 primary ada milion 2 kwenda mbele. kuwekeza M 5 kwangu kwa kitu ambacho nikifanikiwa kwa mwaka naweza ingiza hata M 40 akaona kama atafilisika vile. nikasema baba angekuwa hai hasingeruhusu m 5 isitishe ndoto zangu
Daaah!! Pole sana ndugu, watu kama hao hata ukiskia amepata ajari aka paralyse hakuna haja ya kusitika wala kutoa pole ya aina yoyote haijalishi hata kama ni ndugu yako wa damu.
 
Daaah!! Pole sana ndugu, watu kama hao hata ukiskia amepata ajari aka paralyse hakuna haja ya kusitika wala kutoa pole ya aina yoyote haijalishi hata kama ni ndugu yako wa damu.
hapana unamtendea tu wema ili ajifunze maana ndugu ni ndugu tu hata iweje
 
niliwahi ambiwa siwezi kukusomesha hiyo milion tano kubwa, na program yangu ilikuwa ya mwaka 1 tu na baada ya hapo napata sifa either kujiarili au kuajiriliwa. ila mwanae kasoma miaka 7 primary ada milion 2 kwenda mbele. kuwekeza M 5 kwangu kwa kitu ambacho nikifanikiwa kwa mwaka naweza ingiza hata M 40 akaona kama atafilisika vile. nikasema baba angekuwa hai hasingeruhusu m 5 isitishe ndoto zangu
Kijana, niliwekeza kielimu kwa wadogo zangu kwa kujinyima sana sh 1.8M kwa mwaka kwa kila mmoja kwa miaka 6 mwisho wake nimeambulia matusi na dharau nyingi.
 
Hahahahahaaa. Jamaa katoa ushauri uchwara sana. Ameshindwa kuwapenda ndugu anaowaona. Je, ataweza kumpenda Mungu asiyeonekana?

Yuko sawa asilimia 100% Kama ww nimwanafunzi sawa hakuna neno najua unatafuta maisha. Lakini wengine wanakuja wanasema nimekuja kupumzika mwenzi wa kwanza, mwaka kha! wengine ndiyo adabu hawana wanachangua na vyakula hao ndiyo wanaolegwa kwenye mada hii wajiongeze.
 
Mbona milioni 5 umeenda mbali,hata ingekuwa milioni 1 au laki 5 mtu kumpa mtoto ambae sie mwanae wa kumzaa ni shughuli kidogo
Hapo ndio mjaji wenyewe sasa, kama MNA huruma kisawasawa kati yenu, mnaweza kutoa ada ya milioni 5 kwa mwaka kusaidia watoto wa ndugu zenu nao wapate elimu (ujuzi)?
 
Nilichojifunza katika maisha ni kwamba "ndugu hata umtendee jema kiasi gani hana shukurani, ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu"!
Ndo hivyo, ukiwasaidia waliowengi, wakifanikiwa hata kukutembelea inakuwa taabu, hata kukukumbuka mpaka umtafute wewe, na ulimsaidia kweli kweli.
 
Mimi nakaa kwa shemeji halafu nyumba haina dari kibaya zaidi nalala chumba cha jirani na shemeji kila asubuhi shemeji ananiuliza jana naona ulilala kwa raha sana huku anatabasamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Awe mjomba awe shangaz ila ukweli ndio huo

Sio dar WOTE wana maisha ya dhiki,ila asilimia 60+ ni bora waende mkoa,maana wanajaza jiji bila sababu,sijui kwann wanakimbilia dar??

Watu wengi Sana'a huko ni pass ndefu
sio kweli Dar es salaam 90% ni maskini wa kutupwa hawana lolote [HASHTAG]#kiukweli[/HASHTAG] Dar ni jiji la watu maskini kwa mtu alifika miji kam makambako ataona jinsi watu wake wanavyo ishu kwenye nyumba zilipangwa na wanaishi maisha bora
 
Yuko sawa asilimia 100% Kama ww nimwanafunzi sawa hakuna neno najua unatafuta maisha. Lakini wengine wanakuja wanasema nimekuja kupumzika mwenzi wa kwanza, mwaka kha! wengine ndiyo adabu hawana wanachangua na vyakula hao ndiyo wanaolegwa kwenye mada hii wajiongeze.
Epuka ujinga. Mimi naweza kuwa baba yako. Natunza kaka na dada zako kwa upendo sibagui. Heshima weka mbelembele kama mkojo wa asubuhi. You feel me, young fella?
 
Ulichokiongea ndugu ni cha ukweli kabisa na hii sio mjini tu hata huko kijijini ukiwa kijana wa hivyo hakuna atakayekupenda , Mimi nilipokuja Dar for the first time nilijifunza kwa Baba mwenye nyumba akiwa anarudi jioni anarudi na mazaga zaga kama nyanya, vitungu, hoho akikosa anarudi hata na ndizi za matunda, na Mimi nikawa naleta hivyo ikaleta ahuen
 
Acheni roho mbaya kumbuka babu aliuza ng'ombe, mashamba ila usome wewe baba mkubwa iweje leo uje lalamika hapa JF tuhudumie tu kama unaona kero rudisha ng'ombe na mashamba ya babu ili turudi kijijini
Siyo roho mbaya unaelezwa ukweli kwani wewe unataka ukae kwa Dada yako ambaye ameolewa kizembezembe hata kufagia uwanja tu hautaki
 
Yuko sawa asilimia 100% Kama ww nimwanafunzi sawa hakuna neno najua unatafuta maisha. Lakini wengine wanakuja wanasema nimekuja kupumzika mwenzi wa kwanza, mwaka kha! wengine ndiyo adabu hawana wanachangua na vyakula hao ndiyo wanaolegwa kwenye mada hii wajiongeze.
Hayupo sawa. Ni jamaa mwenye roho mbaya tu. Ukimkaribisha mtu kwako uwe mwema. Usitegemee malipo. Halafu, mimi ni baba mwenye nyumba. SIpo hivyo.Naitwa baba Nyambuge
 
Hakuna ukilaza hapo,wew mwenyewe usipozingitia usawa katika familia yako na kuanza kuwabagua watu kiasi hicho inaleta ukakasi hata aina ya maisha uliyokulia na unayoishi,hivi kama unaweza kumbagua mdogo wako na kum - undergrade kwa wanao VIPI HALI IKOJE KWA DADA WA KAZI SI NDO HATA KULALA HALALI KABISA NA UNATAMANI HATA UKITOKA CHOO AWE ANAKUTAWADHA KABISA KISA ANAISHI KWAKO,UNAMLISHA NA KUMLIPA MSHAHARA?.acha roho ya kijinga hiyo siku zote tafuta kutenda haki katika jamii/familia,haijalishi ni ndg yako au la,hiyo sio roho njema,kwa roho uliyonayo uchelew kumtilia MTU SUMU KWENYE CHAKULA,ili tu akupunguzie mzigo,kuhusu CHAKULA hivi kama umepata mgeni mwenye matatizo ya kiafya let say *allergy* au *stomach Ulcers* hapaswi kuongelea aina ya vyakula vinavyo muathiri mandhali tu yuko KWAKO? kuna watu tumeishi hadi na WARUNDI(WAKIMBIZI) tukijua ni ndg zetu,tumekuja kutambua sio UKUBWANI tena walishaondoka,hizo roho za korosho mnazipata wapi?.katika maisha ya binadam kuna vipindi vya Mpito(transition period) wewe ukiwa na kitu msaidie bila mipaka wala ubaguzi,MFANO,kwani ukiwanunulia wanao nguo na dada/kaka wa kaz/ndg yako utafilisika??

NOTE:KWA AKILI MBAYA ULIYONAYO KAMA USIPOKUWA JAMBAZI UJANANI MWAKO,UTAKUJA KUWA MCHAWI UZEENI.

MPENDE JIRANI KAMA NAFSI YAKO!!.

hata biblia inatuasa tusipende sana kwenda kwa jirani, siwalaumu sana coz watu wanataka privacy na familia zao, hii pia inasababishwa na ubinafsi, umaskini, na roho mbaya, pengine hao unaowasaidia sahivi..ukija kuishiwa watakukimbia na kukucheka, so ivo yani Dukeson
 
Back
Top Bottom