Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,732
- 102,547
Hahahahahaaa. Anajidai anatoa mawaidha kumbe amegubikwa na liroho la uchoyo. Bure beleshi.watu wa mjini ndo maana mnakufa mapema maana mnaroho mbaya sana.
Hahahahahaaa. Anajidai anatoa mawaidha kumbe amegubikwa na liroho la uchoyo. Bure beleshi.watu wa mjini ndo maana mnakufa mapema maana mnaroho mbaya sana.
Hahahahahaaa. Jamaa katoa ushauri uchwara sana. Ameshindwa kuwapenda ndugu anaowaona. Je, ataweza kumpenda Mungu asiyeonekana?wacha kunyanyasa ndugu kisa umesogea kidogo km hutak hao ndug zako waje wewe wambie,sio unakuja kuleta mipasho jf....kwajiyo mwanao ale favour bt ndugu umnyanyase.
poverty is problematic in Africa.
Tatizo limejulikana. Uongozi mkuu wa nchi hii unafurahia watu wake wakiishi kifakiri kama tupo medieval age. "Tokoipandika" safari hii. Tutafika tu ila viuno vitavunjika.Thread za hivi zitakua nyingi sana mpaka kufikia 2025
Huwezi kuandika tu from the air. Are you dreaming or prophesizing onto future life? Weye sema tu kuwa, unatupa experience ya maisha yako.Nimeandika tu sio kwamba Nina ndugu kwangu nimeandika yeye.
Hamna himizo hapo. Tabia ya ubaguzi unayoileta hadi JF ndiyo mnaipandikiza hadi kwa watoto wenu wanakuja kusumbua taifa. Kesho utaanzisha uzi utasema... "Ndugu yeyote asilalamike njaa. Sintomsaidia. Afe tu kama hajalima"...Nazidi kujifunza as to why Tanzanians are probably poorest people in East Africa, yaani MTU kumhimiza afanye mema ni kumnyanyasa?
Bad mentality.
Maisha ya mjomba wako ndio unafikiri ni ya wakazi wote wa Dar? Kweli mtoa mada kapatia, mjomba kakupokea mjini leo unasema alikuwa na maisha ya dhiki!Sure mkuu
NAKUMBUKA first time natia mguu town nilipo chaguliwa advance huko
Kwanza nilikuwa nalala sitting room asubuh house girl anawai kudek ***** unabd na wewe uamke na pia kulala mpk WOTE walale..pale AZANIA NILISOMA WK MOJA NIKAHAMIA IYUNGA. Yaan tea asubuh ni vile vipandd viwili vya mkate wao wanashiba mie ilikuwa utab aisee
Nilipo kuwa nakuja tena kwa kuanza chuo nilikuwa nmejifunza..
WATU WA DAR WANAISHI MAISHA YA DHIKI KINOMA
.ALAFU SIFA ALIZO ZITAJA MKALI NI FACT
USIOMBEE NDUGU AWE MLOKOLE AU WA SWALA TANO
Usitoke hapo mpaka nije nikutoe, mtaani huku watakuvuruga!Tuna kazi sisi wa kushiba kwa mama[emoji23] ila nitakomaa hapa hapa siendi popote...
Wazungu hawabebani coz kuna welfare system ya kueleweka. Hapa hata mtoto wa masikini hapati mkopo chuo atasoma vipi bila msaada?Kweli mkuu, wazungu hawanaga kubebana kijinga kama sisi, wao hubebana kwa kuwezeshana, unapewa mtaji unaanzisha project yako. Sio kama sisi mwisho wa siku mnaaza kulaumiana
Awe mjomba awe shangaz ila ukweli ndio huoMaisha ya mjomba wako ndio unafikiri ni ya wakazi wote wa Dar? Kweli mtoa mada kapatia, mjomba kakupokea mjini leo unasema alikuwa na maisha ya dhiki!
Research inaonesha Dar kuna kiwango kidogo cha umaskini nchi nzima. Huko mikoani ndio kumekithiri umaskini wa hali ya juu. Kipimo kimoja ni uwezo wa kumudu milo mitatu. Sasa unawaambia watoke sehemu yenye hali nzuri waje huko kwenye umasskini? Hii ni kwa mujibu wa tafiti na si porojo kama unazoleta wewe.Awe mjomba awe shangaz ila ukweli ndio huo
Sio dar WOTE wana maisha ya dhiki,ila asilimia 60+ ni bora waende mkoa,maana wanajaza jiji bila sababu,sijui kwann wanakimbilia dar??
Watu wengi Sana'a huko ni pass ndefu
Kweli kabisa mbona kuna mengi tu sijaandika?mkuu kweli?
Amenifunza nini?Mshukuru amekufunza maisha ungebweteka saiv ungekua unaendelea kutazama season kwashangaz
Don't force me to be what you intends, roho yangu nyeupeee, andiko Kama hili ni mwiba mkali kwa watanganyika msiopenda kujitegemea, Mimi sina ubaya wowote kwa binadam yeyote,Huwezi kuandika tu from the air. Are you dreaming or prophesizing onto future life? Weye sema tu kuwa, unatupa experience ya maisha yako.
Hahahaaa, na huu Uzi nimeuleta kibishi ili nione humu kama kuna wapenda kujitegemea, hali ni tofauti kabisa kwani baadhi humu wananilalamikia kuwa mi ni mchoyo na mbaguzi wa ndugu,Hawa wakaa nyumbani kwa mjomba, shangazi, baba mkubwa nk mda huu wanasoma hapa ila uko nje kuna furushi la nguo linamsubilia, usafi wa nyumba unamsubilia, kusafisha banda la mbwa na kumuandalia mbwa chakula kunamsubilia
Ajabu sasa wakimaliza hizo kazi hukaa kwenye Tv nakuchukua sm za hao ndugu zao nakuingia humu kuanza dhihaka zao
Utasikia sm iPhone bwana Tekno ni toi, wakienda sehemu za burudani sasa mbwebwe hizo mtu aliyemtoa out kwakua anajua hesabu anagiza serengeti ndogo ila yeye sasa utasikia henken baridi, kidogo kabadiri niletee windo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini ntaendelea kukaa hapa hapa,naenda kazini nakuja kula ugali nyumbaniNa atanyamaza tu, utashangaa siku moja anakwambia nimekutafutia kazi kiwanda cha mkonge pale, kesho kaanze kazi mshahara laki moja inakutosha matumizi yako mwanangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] coz she is tired of you but no way out!!
Tuko pamoja siku moja tutatoka na sisi tukajitegemee!!
Hahaha eti direct na indirectHata mimi, ila Awamu hii kila mtu anaugulia kwa namna yake yani ni vilio tu vya direct na indirect
Wewe kaa tu kwa kuwa ni kwa wazazi wako hamna tatizo. Mzazi hamchoki mwana!Yani mi nipo hapa mpaka nitakapojiridhisha kuwa sasa naweza kutokaHahaha eti direct na indirect