Kwenu TRA, StarLink ina kodi tamu, wahini mshiko haraka, Elon Musk analipa kodi nzuri tena kwa wakati na analipa in USD

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
TRA msipitwe na gari la mshahara

TRA kataeni siasa chukueni Pesa

TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa

Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje nacho nyie

Elon Musk ni mtu mwelewa sana kuwai kutokea duniani kwahiyo ondoeni hofu ya umbali

Pamoja na kwamba Ofisi zake zipo Marekani huwa Emails zinajibiwa kwa wakati kuliko hata Ofisi zilizopo Tanzania

Elon Musk sio maskin hata ahitaji maswala mengine nje na kutoa huduma ya Internet

Shutuma za Uganda kuhusiana na maswala ya Data ni propaganda ya hovyo sana werevu wamepuuza labda wajinga ndio wanawezakusikiliza

Wakati TRA mkiendelea kuzichanga basi StarLink iwe katika vichwa vyenu

Msipoteze muda kwenye dollar changamkieni fursa hiyo
 
Unauliza TRA ya TCRA makao ya CCM uhuru wa habari.
Ina mana hawatski dollar sio itakuwa hawazioni tumeshawaonesha sasa waendelee kupofuka wapishane na gari la mshaara
 
Unauliza TRA ya TCRA makao ya CCM uhuru wa habari.
Ina mana hawatski dollar sio itakuwa hawazioni tumeshawaonesha sasa waendelee kupofuka wapishane na gari la mshahara
 
Wahuni wanaomiliki mitandao ya simu.
Wakiruhusu StarLink atawaunguzia kipato kikubwa.
Kataeni wahuni mpate maendeleo.
 
Hao wahuni hata kama watabaki wenyewe hawawezi kulipa kodi tamu kama StarLink
Serikali inatakiwa kusema sisi hatutaki nani abaki tunachotaka ni pesa
 
TRA msipitwe na gari la mshahara

TRA kataeni siasa chukueni Pesa

TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa

Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje nacho nyie

Elon Musk ni mtu mwelewa sana kuwai kutokea duniani kwahiyo ondoeni hofu ya umbali

Pamoja na kwamba Ofisi zake zipo Marekani huwa Emails zinajibiwa kwa wakati kuliko hata Ofisi zilizopo Tanzania

Elon Musk sio maskin hata ahitaji maswala mengine nje na kutoa huduma ya Internet

Shutuma za Uganda kuhusiana na maswala ya Data ni propaganda ya hovyo sana werevu wamepuuza labda wajinga ndio wanawezakusikiliza

Wakati TRA mkiendelea kuzichanga basi StarLink iwe katika vichwa vyenu

Msipoteze muda kwenye dollar changamkieni fursa hiyo
UNAMJUA YULE MSHENZI ALIYE KUIA UMEME KUSHUSHWA BEI LICHA YA BWAWA LA NYERERE KUKAMILIKA? ..ILI BIASHARA YAKE YA GESI IFANYIKE KWA KUNYONYA WATANGANYIKA?..

BASI TAMBUA KUWA HUYO MSGENZI AWEZI KUKUBALI STARLINK KUINGIA TZ KWA SABABU YA MAKAMPUNI YAKE YA SIMU NA HATA IKIRUHUSIWE NI SPECIAL CASE ...YAANI KWA MASHIRIKA MAALUMU TU......HUYO MSHENZI NA GENGE LAKE NI ROSTAM AZIZI.
 
Unajua bana Serikali sijui inakosea wapi wao walitakiwa waseme bana sisi hatutaki anaebaki au anayeondoka tunachotaka ni pesa
Ingieni wote sokoni mlete pesa zetu sokoni huko mtajua wenyewe kama mtanyongana tai na kutoana ngeu ni juu yenu sisi tunataka pesa
 
Back
Top Bottom