Shida iko wapii yeye mwanaume mm mwanamkeHee kwa hiyo anamuaminisha akutongoze
Mbona siuoni
Huwa usoni mnapaka poda minywele kuitia dawa yote muonekane vijana... Ukikutana na kijana ka mm nakukimbiza dk 30 unaomba pooo.. Nkizama uvinza nakuta nyapu limejikunjaaaaa... Anyway sijawah kuogopa kuweka umri wangu hadharani




umenichekesha kweli
Kama hautaki baki na mm kama unataka nikupe mzigua
Hahahah, kwa hiyo FOREVER YOUNGSi ndio hapo...mama nyerere tuu ndio anazeeka wengine tunabaki palelale vigoli😂
umenichekesha kweli
Ni wengine sio shunie mm eti nisipende mahela naanzaje ebu uko
EwaaaaaNgoja nitafute mahela mrembo
Wewe mguu wa mtoto wa mwanaume mwenzio wa niniiii
Hahahhaha
Jichekee tu mshipa jamani
Maisha ndio hayahaya tunaishi mara moja tu



we si unaogopa mguu wa mtoto
Ewaaaaa
Hayo ndio maneno sasa ebu tafuta ukipata nipo mimi
we si unaogopa mguu wa mtoto
Huko kuna chumvi, maji n. K.... Kwa wasafisha mitaro wanapata ladha ganiiiiMtume rasul...
Hivi huko uvinza kuna utam gani
picha ya watu hiyo