Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
mm si mjukuu wa shekhe yahya
Ila sio wewe uliyemuunda shunie wako




hivi maraa paap tunaonana na ucheusi mangala wangu utanikimbia au
Sawa cheupe dawa
Unaogea maji ya uhai nini?
Ngoja nimuambie mwanangu akutafutieTena mengi mengi
hivi maraa paap tunaonana na ucheusi mangala wangu utanikimbia au
Wala maji ya bomba tu kitu kinateleza mwilini
Ngoja nimuambie mwanangu akutafutie
Naanzaje kumkimbia mrembo
Na ucheusi mangala wangu mshipa mana uko umeshamuunda shunie wako
Kwani nisiweze