Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Si ndio hapo...mama nyerere tuu ndio anazeeka wengine tunabaki palelale vigoli😂Nikue ili nigundue nini sasa?? Forever 25.. Hahahaa
Si ndio hapo...mama nyerere tuu ndio anazeeka wengine tunabaki palelale vigoli😂Nikue ili nigundue nini sasa?? Forever 25.. Hahahaa
Lazima nikufwe wewe hapana jamani
Bado wabichi kabisaaa hata biscuits hatuwezi vunjaSi ndio hapo...mama nyerere tuu ndio anazeeka wengine tunabaki palelale vigoli![]()





mguu wa mtoto huu hapa
Unaona sasa, mimi hapana kivipi?
WhatsApp yangu inazingua nakupataje???? Ama zama pm tulonge kidogo
Mshipa sijakutana nao ujanani nakutana nao uzeeni lazima nikufwe tu
Acha njaaUjue wewe unaonekana umejaaliwa.mguu wa mtoto huu hapa
mshipa kapunguze mshipa huo tafadhali utaniulia kizee changu buree😂😂😂😂😂
Mshipa sijakutana nao ujanani nakutana nao uzeeni lazima nikufwe tu
Huwa usoni mnapaka poda minywele kuitia dawa yote muonekane vijana... Ukikutana na kijana ka mm nakukimbiza dk 30 unaomba pooo.. Nkizama uvinza nakuta nyapu limejikunjaaaaa... Anyway sijawah kuogopa kuweka umri wangu hadharaniYani Kama Mimi Nina miaka 25 mwakani pia 25
WhatsApp yangu inazingua nakupataje???? Ama zama pm tulonge kidogo
Mbona povu meno imekaribia nini?Sasa miaka yangu wewe inakuhusu nini mkuu
Hivi ushawahi nitongoza mm au unanipa lawama bure na uzee wangu huu
😂😂😂Bado wabichi kabisaaa hata biscuits hatuwezi vunja
Uzee hauongopi hata powder ijazwe kiasi gani.Huwa usoni mnapaka poda minywele kuitia dawa yote muonekane vijana... Ukikutana na kijana ka mm nakukimbiza dk 30 unaomba pooo.. Nkizama uvinza nakuta nyapu limejikunjaaaaa... Anyway sijawah kuogopa kuweka umri wangu hadharani
Woii jomoniii 😂😂😂Ataniua huyo


hamna kitu acha kupiga picha za uwongo
Ujue wewe unaonekana umejaaliwa.mguu wa mtoto huu hapa
MmmhAcha njaa