Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Unambie kabisa nina wifi wangapiSasa wifi ni nani kama dada zetu wote ni wake.
Unambie kabisa nina wifi wangapiSasa wifi ni nani kama dada zetu wote ni wake.
Kamoja tu.Unambie kabisa nina wifi wangapi
Kwani mie umeniweka kundi gani?Kamoja tu.
Sasa nashangaa humu kila mmoja amekuwa upande wa mke nani wifi.
Wewe kundi lako upo mwenyewe.Kwani mie umeniweka kundi gani?
Halafu nimemiss li sauti lako ujueWewe kundi lako upo mwenyewe.
Naona leo umeniamulia
Makubwa kwasababu yy hana mme, kuna wadada walifunga safari kumzuia kaka yao asimrudie mkewe huku mwenyewe wameacha waume zao siku wanarudi mmoja wapo kakuta kuna nyumba ndogo mme kaoa mke wa pili niambie alivyocharuka, usilolipenda usimfanyie mwenzio wanajua starehe wanazopata kaka zao kwa wake zao? Mie sina muda na mke wa kaka yangu napalilia ndoa yangu tu mengine tuta kumbushana tu mambo ya kubanana watu wasijiachie yaniniTehe tehe kumekucha.....kuna hii keshfa .....eti mawifi wanawatafutia kaka zao side chicks kuwakomoa mke wa kaka yake....!!!!!!!! Aiseeee hiyo nimepewa live sasa hivi na mke mkereketwa.
Nani wa kumiss la mwenzake sasa.Halafu nimemiss li sauti lako ujue
Usiombe ukakutana nao hao wengine anasomeshwa na kaka yake nawe ukichangia na muda mwingi mahitaji yake anàpitia kwa shemeji akimaliza tu na kupata kazi duu hata habari gani shemeji mara shemeji mchoyo hapo hajaoa mie hata habari sina akioa ndiyo atajua ndoa kitu ganiShukuru tu ni mashemeji wasomi, hujawahi ona mashemeji wanaoshinda vimguu juu kama mshikio wa ndoo huku yupo Facebook? Jua linachomoza na kuzama kazi ni kula na kuchat anatamani hadi boxa zake ufue as if nae anakupanda????
Na wenyewe wakaolewe wamuache kaka yao afurahie ndoa kutwa kuzalishwa huko na kuachwa kaka asomeshe hao watoto sio vizuri, kaka kaoa ukienda pale fuata sheria la kaa kwenu au kaa kwako full-stopYote hiyo kisa uwaridhishe mawifi seriously!!! Labda kama wooote walemavu.
Hafui mtu labda awe mgonjwa hivi hivi kanyosha miguu akafie mbele huko sina mudaJirani kweli vita ya mawifi haijawahi kumuacha mtu salama.
Nikitoka hapa naleta nguo zangu wifi anifulie.
Huyo si bure ana lake jambo kwanini asiombe awalete watoto kwangu akapuyange huko kisha awafuate mie ujinga huo sinaKuna siku mdada mmoja ndugu wa mme ananiambia "wifi naomba kesho uje kwangu unisaidie kukaa na watoto nitakua na shughuli fulani"
Kimoyo moyo nkajisemea qmaneenah, yani nimuache mme ndani, na mtoto pia nakuja kusaidia wifi kumwangalizia watoto shwain kabisa!!!!
Tatizo una minamba kibao sijui ipi ya kupiga sasaNani wa kumiss la mwenzake sasa.
Bofya kitufe cha kutwanga basi nikusikie
Kama hauwezi kupiga come.Tatizo una minamba kibao sijui ipi ya kupiga sasa
Respect maza houses. No wonder washitaki wenu wameingia mitiniWapo ila kama nawaona wanavyopita kimya kimya wanasoma comments huku wamebinua midomo [emoji57][emoji57],na kwa taarifa yenu mtukome msijitie donda ndugu kwa familia zisizowahusu, wake wa kakazenu tunawapenda lakini tumewachoka kwa chokochoko zenu tunaogopa kuwaambia live lakini hapa tutasema, yaan unakutana na wifi kizabizabina hatari matokeo yake wakati wa tendo la ndoa na mume wangu badala niliskilizie utamu eti namfikiria wifi matokeo yake mume wangu anaishia kunibaka tuu loooh tumechoka jamani mtupumzishe watoto wa wanawake wenzenu.
Teh maza houses siwawezi mweehWamekimbia, watakuwa wanajadiliana mawifi walivyo pasua kichwa!!
Amen!!Wapo ila kama nawaona wanavyopita kimya kimya wanasoma comments huku wamebinua midomo [emoji57][emoji57],na kwa taarifa yenu mtukome msijitie donda ndugu kwa familia zisizowahusu, wake wa kakazenu tunawapenda lakini tumewachoka kwa chokochoko zenu tunaogopa kuwaambia live lakini hapa tutasema, yaan unakutana na wifi kizabizabina hatari matokeo yake wakati wa tendo la ndoa na mume wangu badala niliskilizie utamu eti namfikiria wifi matokeo yake mume wangu anaishia kunibaka tuu loooh tumechoka jamani mtupumzishe watoto wa wanawake wenzenu.
Umeongea hiyo nimekumbuka dada mmoja ilibidi awasomeshe wanae kayumba maana mume anasomesha hadi watoto wa dada zake, mawifi sasa walivyo na gubu, pamoja na hayo yote!!Na wenyewe wakaolewe wamuache kaka yao afurahie ndoa kutwa kuzalishwa huko na kuachwa kaka asomeshe hao watoto sio vizuri, kaka kaoa ukienda pale fuata sheria la kaa kwenu au kaa kwako full-stop
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hafui mtu labda awe mgonjwa hivi hivi kanyosha miguu akafie mbele huko sina muda
Mie siingilii ndoa ya kaka zangu, na mtu asiniingilie kwenye yangu.Teh maza houses siwawezi mweeh