Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo uvivu wenu mmemfanya mwenzenu tractor!!
Wifi yangu ni jembe sio la nchi hii

Yaani asipokuwepo si kwa simu mfululizo..... (hapo tunamuulizia......jamani mke wetu uko wapi??? Bila wewe huku maisha magumu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2])
 
Nyie angalieni tu maana akili zenu zitakuwa zimelingana mtu na kaka yake. Nitafanyaje sasa na ndio maji shayavulia nguo. Ila za shemeji sifui hata kwa bunduki.
Ha ha ha nazichomekea kwenye nguo za blaza tuone sasa kama mtaziacha
 
Wifi yangu ni jembe sio la nchi hii

Yaani asipokuwepo si kwa simu mfululizo..... (hapo tunamuulizia......jamani mke wetu uko wapi??? Bila wewe huku maisha magumu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2])
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwamba nguo za mume wangu sizijui!!! Usipozikuta jalalani zinaungua una bahati sanaaaa.
Ha ha ha ha unamjua blaza unamsikia enhee nenda kazichome sasa uone shuhul yake don't ever try to cross that line
 
Mi kwakweli napenda nyumbani kwangu niishi na watu wanaosaidia kazi, na hivi hg sina ukiona unaloweza kufanya fanya, ila kukaa muda wooote umenyooka kama una jipu hapana asee hata awe nani sitampenda
Hahahahaha

Unakuta shemeji hata sahani aliyolia hatoi

Kama kapogwa superglue kwa kochi

Pembeni unakuta kikombe cha asubuhi cha chai na sahani ya asubuhi mchana na usiku

Bila kusahau glasi za maji na juicy[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Koh koh espy Nalendwa Evelyn Salt sijui na nyie mna meno au ndo vigego teh

Teh!, vigego. Hii vita ya mawifi si mchezo, manake hapa ni sisi wenyewe kwa wenyewe.
Kazi inakuja kutokana na historia yetu tulivyozoea kuwa karibu karibu sana kiundugu.
Lakini mwisho wa siku mnapotaka kuendeleza ukaribu mnakosa mipaka pale ambapo kila mmoja anapotakiwa aishi maisha yake.
 
Wifi deal na ndoa yako yangu haikuhusu, ma mkwe nampenda sana tu make bila yeye nisingepata mume.....
Kuishi kwa kuigiza siwezi wifi kwa hilo nisamehe bure kwangu naamka saa mbili kwanini nije ukweni niigize kuamka sa kumi alfajiri, nipigwe baridi weee mwisho nipate ngiri hapana asee!

Hahah!, eti upate ngiri...lol!
 
Wifi yangu ni jembe sio la nchi hii

Yaani asipokuwepo si kwa simu mfululizo..... (hapo tunamuulizia......jamani mke wetu uko wapi??? Bila wewe huku maisha magumu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2])
Yaan watu ni wabaya sana mnamsifia mtoto wa watu wakati anaumia, basi hata kwetu kuna wifi yangu mmoja ni jembe balaah akikosekana kama kuna shughuli wanamtafuta hatari sasa akija namvutia chumbani namwambia acha ujinga mmeolewa mpo sita kisa cha kujitesa ni nini na wakati wenzio wapo embu pumzisha mwili na wengine wafanye kazi anasema poa lakini akitokea kakaako unitetee maana hapa kwa wakwe zangu dakika chache ntatiwa dosari, nikamwambia dosari lazima ziwepo hata uwe mzuri vipi hata ufie kwenye kazi watasema marehemu nae alizidi kiherehere na kujipendekeza juu [emoji28][emoji28]
 
Ulishawahi ona mgombea anaomba tena kura baada ya uchaguzi? Subiri ukafanye hivyo utakakoolewa.

Baada ya ndoa majukumu yake kwa familia yake yanaanza kwahiyo anakuwa anachoka, akija kwenu kaja likizo jamani sio mumgeuze house girl ebo!!! Hebu mumpetipeti wifi yenu sio kumtumikisha aamke saa10 yeye kuku?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizo habari za kuniamsha saa10 hapana jamani, nitaamka muda wangu wa kawaida na nitafanya shughuli kwa nafasi, sio mawifi wamenyoosha miguu mie busy kutoka jasho. Wakinyoosha tunanyoosha wote tusogoe vizuri[emoji85] [emoji85] [emoji85]

Hehe, kwa kweli, kwani umekuwa kuku wa kuamka saa 10.
Halafu kufanya haya eti ndo uonekane mke bora.
 
Teh!, vigego. Hii vita ya mawifi si mchezo, manake hapa ni sisi wenyewe kwa wenyewe.
Kazi inakuja kutokana na historia yetu tulivyozoea kuwa karibu karibu sana kiundugu.
Lakini mwisho wa siku mnapotaka kuendeleza ukaribu mnakosa mipaka pale ambapo kila mmoja anapotakiwa aishi maisha yake.
Vita vya mawifi havijawahi kumuacha mke salama
 
Ha ha ha ha unamjua blaza unamsikia enhee nenda kazichome sasa uone shuhul yake don't ever try to cross that line
Namjua ndio maana nitakuwa na guts za kufanya hivyo, sikuolewa na ndezi ujue!!!
 
Hahahahaha

Unakuta shemeji hata sahani aliyolia hatoi

Kama kapogwa superglue kwa kochi

Pembeni unakuta kikombe cha asubuhi cha chai na sahani ya asubuhi mchana na usiku

Bila kusahau glasi za maji na juicy[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom