Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

Yaan watu ni wabaya sana mnamsifia mtoto wa watu wakati anaumia, basi hata kwetu kuna wifi yangu mmoja ni jembe balaah akikosekana kama kuna shughuli wanamtafuta hatari sasa akija namvutia chumbani namwambia acha ujinga mmeolewa mpo sita kisa cha kujitesa ni nini na wakati wenzio wapo embu pumzisha mwili na wengine wafanye kazi anasema poa lakini akitokea kakaako unitetee maana hapa kwa wakwe zangu dakika chache ntatiwa dosari, nikamwambia dosari lazima ziwepo hata uwe mzuri vipi hata ufie kwenye kazi watasema marehemu nae alizidi kiherehere na kujipendekeza juu [emoji28][emoji28]
Safi sana, sifa za kijinga hapana kwakweli.
 
Hehe, kwa kweli, kwani umekuwa kuku wa kuamka saa 10.
Halafu kufanya haya eti ndo uonekane mke bora.
Kiruuuuuuu!! Mke bora kwani wao ndio wamenioa. Kwangu nitajituma kwakweli. Huko ukweni tujitume wote, tena ikibidi mie mgeni nitulie tu mawifi wanispoil jamani khaaah!!!
 
Halafu mie mbona naona ajabu!
Hivi kwa nini ukafanye kazi za kufa mtu kwenye nyumba isiyo yako? Sikatai kusaidia lakini sio kujitesa halafu kama umeenda kusalimia tu.
 
Oooh!! Basi wewe shemeji ndio utakuwa ndezi tunakufuga, ila not to that extent!! Ufugaji wowote lazima uwe na faida.

Ha ha ha kama mie ndez bas mumeo ndez kubwa kubwaa
 
Vita vya mawifi havijawahi kumuacha mke salama
Mimi nawaalika mawifi wooote walioshindikana waje kunitembelea kama alikuwa ananiambia wifi za sahizi mpaka siku ya kuondoka ataniambia wifi shikamoo sitaki ujinga atanyooka kulingana na rules and procedures atakazo zikuta nyumbani kwangu. MAWIFI MPOOOOO? Mimi ndio wifi yenu mke wa kakayenu.
 
Hehehe jamani mawifi mmepata salamu zenu kutoka kwa maza house... nawaona nawaona
 
Yaan watu ni wabaya sana mnamsifia mtoto wa watu wakati anaumia, basi hata kwetu kuna wifi yangu mmoja ni jembe balaah akikosekana kama kuna shughuli wanamtafuta hatari sasa akija namvutia chumbani namwambia acha ujinga mmeolewa mpo sita kisa cha kujitesa ni nini na wakati wenzio wapo embu pumzisha mwili na wengine wafanye kazi anasema poa lakini akitokea kakaako unitetee maana hapa kwa wakwe zangu dakika chache ntatiwa dosari, nikamwambia dosari lazima ziwepo hata uwe mzuri vipi hata ufie kwenye kazi watasema marehemu nae alizidi kiherehere na kujipendekeza juu [emoji28][emoji28]
Hahaaaa

Ana bahati huyo wifiyo

Wangu akija nashangilia jembe jembe jembeeeeee

Yaani full kurelax
 
Haha mbona walioleta mashtaka wameingia mitini. Maza houses mmebhaeleza khaa
[emoji28][emoji28][emoji28]
Na watukome hatujaolewa na familia zao, sisi niwake wa kakazao heshima itawale watulize viherehere manyumbani kwao wasubirie wapate ndoa zao wasitupangie chakufanya.
 
Mimi nawaalika mawifi wooote walioshindikana waje kunitembelea kama alikuwa ananiambia wifi za sahizi mpaka siku ya kuondoka ataniambia wifi shikamoo sitaki ujinga atanyooka kulingana na rules and procedures atakazo zikuta nyumbani kwangu. MAWIFI MPOOOOO? Mimi ndio wifi yenu mke wa kakayenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shikamoo wifi!
 
Hahaha madada mupoooooo
Wapo ila kama nawaona wanavyopita kimya kimya wanasoma comments huku wamebinua midomo [emoji57][emoji57],na kwa taarifa yenu mtukome msijitie donda ndugu kwa familia zisizowahusu, wake wa kakazenu tunawapenda lakini tumewachoka kwa chokochoko zenu tunaogopa kuwaambia live lakini hapa tutasema, yaan unakutana na wifi kizabizabina hatari matokeo yake wakati wa tendo la ndoa na mume wangu badala niliskilizie utamu eti namfikiria wifi matokeo yake mume wangu anaishia kunibaka tuu loooh tumechoka jamani mtupumzishe watoto wa wanawake wenzenu.
 
Mie wif yangu mmoja tu na hana jeuri ya kuniletea, mamb ya ajabu kwanza naish nao inchi tofaut hata kusalimia hawawez kuja mie huwa ndo naenda kusalimia kama kawaid Evelyn salt nikienda ukweni sijidamshi mwenzangu akaaaa naamka kwa muda wangu
 
Back
Top Bottom