Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

Tatizo nyie mawifi zetu...

Kabla hamjaolewa...mnakuja tunawafahamu

Mnaonyesha upendo kumbe wa uongo

Mnafua

Mnapika

Mnashiriki kazi kupita kiasi

Mnamhudumia mama mkwe hadi anakuombea heri

Mkiolewa mnageuka miba

Kwa nini baadhi yenu ni miba kwenye familia mnazowakuta???

Hatuwakatazi kuvaa kunywa ni nyumba yako na mumeo

Tunahitaji ule upendo wa mwanzo uendelee

Baadhi yenu mnaingia kwenye familia kwa kujihami na attitudes

Vibaya hivyo
Ushasema kabla ya kuolewa, sasa baada ya kuolewa si majukumu yanaongezeka niache mji na familia nije Kufua ukweni.....

Afu mlivo na zereu sasa kusaidiwa kazi mnamuona mtu kama house girl, kuna binti mmoja dah huwezi jua kama ni mkwe yule yani ukimuona unajua ni house girl ukweni kwake, ndo mnavopendaga hivo
 
Nashukuru sina mawifi, mamaangu mkwe alizaa madume tupu. Yaan mashemeji wana raha nyie acheni tu, tena usipate wasomi mbona ndoa itaiona tamu
Shukuru tu ni mashemeji wasomi, hujawahi ona mashemeji wanaoshinda vimguu juu kama mshikio wa ndoo huku yupo Facebook? Jua linachomoza na kuzama kazi ni kula na kuchat anatamani hadi boxa zake ufue as if nae anakupanda????
 
Ushasema kabla ya kuolewa, sasa baada ya kuolewa si majukumu yanaongezeka niache mji na familia nije Kufua ukweni.....

Afu mlivo na zereu sasa kusaidiwa kazi mnamuona mtu kama house girl, kuna binti mmoja dah huwezi jua kama ni mkwe yule yani ukimuona unajua ni house girl ukweni kwake, ndo mnavopendaga hivo
Yote hiyo kisa uwaridhishe mawifi seriously!!! Labda kama wooote walemavu.
 
Halafu unaachaje kutafuta maisha yako,ukitegemea mtu mmoja awatoe umasikini au akusaidie na weww umekaa tu,anaetafuta anangalia watoto wake na uzee wake.
Hatulogwi ila tunaangalia utaokuwa uzee wetu.
Jukumu lipo kwa wazazi wasiojipanga tu,kwakuwa hawana nguvu.
Akina dada na wao wakachague wanaume wanaowafaa,siyo mizoga halafu shida tupate kina KAKA.
Ha ha ha nakuombea usipate shemeji mzoga lol
 
Yote hiyo kisa uwaridhishe mawifi seriously!!! Labda kama wooote walemavu.
Kuna siku mdada mmoja ndugu wa mme ananiambia "wifi naomba kesho uje kwangu unisaidie kukaa na watoto nitakua na shughuli fulani"
Kimoyo moyo nkajisemea qmaneenah, yani nimuache mme ndani, na mtoto pia nakuja kusaidia wifi kumwangalizia watoto shwain kabisa!!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizo habari za kuniamsha saa10 hapana jamani, nitaamka muda wangu wa kawaida na nitafanya shughuli kwa nafasi, sio mawifi wamenyoosha miguu mie busy kutoka jasho. Wakinyoosha tunanyoosha wote tusogoe vizuri[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Sawa kabisa, haki sawa kwa kila binadam. Tena waache ujinga wao hakuna aliyeolewa na familia, tukilala tulale wote kazi tufanye wote alaah
 
Ushasema kabla ya kuolewa, sasa baada ya kuolewa si majukumu yanaongezeka niache mji na familia nije Kufua ukweni.....

Afu mlivo na zereu sasa kusaidiwa kazi mnamuona mtu kama house girl, kuna binti mmoja dah huwezi jua kama ni mkwe yule yani ukimuona unajua ni house girl ukweni kwake, ndo mnavopendaga hivo
Shhhhhhsssshhh

Nina wifi yangu huyo ni jembeeeeee

Kukiwa na shughuli yaani utafurahi (wifi vumilia wifi zako sie wavivu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23])
 
Shukuru tu ni mashemeji wasomi, hujawahi ona mashemeji wanaoshinda vimguu juu kama mshikio wa ndoo huku yupo Facebook? Jua linachomoza na kuzama kazi ni kula na kuchat anatamani hadi boxa zake ufue as if nae anakupanda????
Kazi kujambia makochi tu na kutongoza hg...

Kila.hg unayeweka anaaga kwa harassment
 
Wifi unakaa kung'ang'ania kuishi na kaka yako si utafute mji wako au unataka uolewe na kaka yako? Umeshakuwa mtu mzima anza maisha yako ili na wewe upate wako. Kubanana na kaka yako kila saa mnaoishana kwenye korido sio deal....
 
Tukimaliza tunahamia kwenu mashemeji mnaonyoosha tu miguu kwa kaka zenu mkitazama tv hata majani nje hamlimii[emoji12] [emoji12]
Ha ha ha ha ha hadi unajiuliza hivi huyu shemeji ana mimba au?? Make anangoja kula tu
 
Back
Top Bottom