Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

Mawifi wengi ( ndugu upande wa wanaume) wanaboa.
Unakuta wifi anataka anyenyekewe kama vile yeye ndiyo Mume.
Pia kumridhisha binadamu ni kazi sana maana mazuri 1000 hufutwa na baya moja.
Nyie hamjui kaka yenu akishaoa majukumu yanaongezeka? Mnataka mchote tuu hela tusiwe na maendeleo ? Mwishowe mseme mwanamke nuksi?
Binafsi mawifi huwa nawachukulia watu wa kawaida sana.
Haswaaa unakuta mawifi wengine vichomi japo sio wote. Anataka kaka mtu amtimizie mahitaji yote kama alivyokua single bila kujali kwamba ss naye anafamilia inamtegemea
 
Back
Top Bottom