Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

Kwenu mawifi, wake wa kaka zetu

Mawifi wengi ( ndugu upande wa wanaume) wanaboa.
Unakuta wifi anataka anyenyekewe kama vile yeye ndiyo Mume.
Pia kumridhisha binadamu ni kazi sana maana mazuri 1000 hufutwa na baya moja.
Nyie hamjui kaka yenu akishaoa majukumu yanaongezeka? Mnataka mchote tuu hela tusiwe na maendeleo ? Mwishowe mseme mwanamke nuksi?
Binafsi mawifi huwa nawachukulia watu wa kawaida sana.
Kusaidia lazima asaidie ndugu zake ,wazazi wake sio aegemee tu kwa mke,napinga kabisa hilo ,kumbuka wamemlea na ndugu zake wamekua pamoja
Kuhusu kunyenyekea hayo ni ya kurekebishana tu,,lakin mume kusahau kwao asisaidie haikubaliki hiyo
Cc Mwanamutapa
 
Tatizo hawa mawifi wanashindwa kukubali kwamba maisha yanabadilika.kaka akishaoa hawi kaka tu anakuwa baba wa Familia na yeye ana majukumu ya kulea Familia yake kwa hiyo mambo hayatakuwa tena kama zamani.
Mimi nawamudu hawanisumbui sababu dawa ni kukaa nao mbali na kuwapuuza.Ukitaka kuwafatilia mambo Yao ni pasua kichwa.
 
Kusaidia lazima asaidie ndugu zake ,wazazi wake sio aegemee tu kwa mke,napinga kabisa hilo ,kumbuka wamemlea na ndugu zake wamekua pamoja
Kuhusu kunyenyekea hayo ni ya kurekebishana tu,,lakin mume kusahau kwao asisaidie haikubaliki hiyo
Cc Mwanamutapa
Kusaidia anatakiwa kuwasaidia not only ndugu but mtu yoyote anayehitaji msaada.
Tatizo lipo pale walizoea kupewa labla elfu 10 kila siku ghafla hawapew baada ya bint kuolewa lazima waelewe kuna majukumu ambayo ni muhimu hivyo wasikariri.
Ila zikiwepo wapewe .
Mimi kaka yangu alikuwa ananipa matumizi ya shule baada ya kuoa akaniweka wazi dogo sasa hivi majukumu kwangu yamezidi ukiona kimya usishangae.
Lazima mtu ajali familia yake kwanza japo zikiwepo ndugu pia muhimu
 
Teh usicheke, mtu hata utambulisho tu bado ila kila siku kujipelekesha kwa wakwe na zawadi. Khaa kuna watu wamejaaliwa mioyo jamani
Wa hivyo siyo wife material.Hapo anawazoesha mwenyewe siku akiacha kutoa hiyo huduma ndo mwanzo wa chuki. Majini mengine tunayafuga wenyewe baadae yanatushinda.
 
Teh usicheke, mtu hata utambulisho tu bado ila kila siku kujipelekesha kwa wakwe na zawadi. Khaa kuna watu wamejaaliwa mioyo jamani
Halafu wengi wao wakishaolewa wanasahau kutoa zawadi hizo! Hawana tofauti na wanasiasa na mgao wa chumvi wakati wa kampeni wakichaguliwa nduki. Ila tuache utani kujipendekeza nako ni kipaji mm siwezi, wewe unaweza kuwa nafuu compared to me teh!
 
Mmh ngoja tu ninyamaze shoga angu haha
 
Maneno ya mawifi wasiokuwa tayari kukubaliana na ukweli kuwa mtu akishaoa anajianzishia familia yake ambayo anawajibika nayo!. Tatizo ni mawifi kutokubaliana na ukweli huo!. Hivi niwaulize nyie mawifi uchwara, mnatakaje kwa mfano!. Mnataka nyie muolewe na kaka zenu!. Acheni yen.. bana aaargh!
 
Mawifi wengi ( ndugu upande wa wanaume) wanaboa.
Unakuta wifi anataka anyenyekewe kama vile yeye ndiyo Mume.
Pia kumridhisha binadamu ni kazi sana maana mazuri 1000 hufutwa na baya moja.
Nyie hamjui kaka yenu akishaoa majukumu yanaongezeka? Mnataka mchote tuu hela tusiwe na maendeleo ? Mwishowe mseme mwanamke nuksi?
Binafsi mawifi huwa nawachukulia watu wa kawaida sana.
Vipi mmeo akiwachukulia ndugu zako kama wa kawaida sana ???
 
Maneno ya mawifi wasiokuwa tayari kukubaliana na ukweli kuwa mtu akishaoa anajianzishia familia yake ambayo anawajibika nayo!. Tatizo ni mawifi kutokubaliana na ukweli huo!. Hivi niwaulize nyie mawifi uchwara, mnatakaje kwa mfano!. Mnataka nyie muolewe na kaka zenu!. Acheni yen.. bana aaargh!
cc bimzuri
 
heeee wifi yeye kila siku anaolewa na kuachwa! hakai na mume......anichosha hivyo vizinga kwa kakake.....kakake mwenyewe hali tete me mwenyewe huwa namuoneaga hadi huruma kwa kweli! lkn sister ake akitaka hata kukopa atakopa! after few dakika kaka unamuona kashika tama asema hela hana! namchombeza anakuwa normal! nmevumiliaaa sasa naona roho inaniuma! wifi haishi vi birthday party n.k full bata! sisi huku kwetu kajamba nani! wifiiiiiiiiiiiiii punguzaaaaaaaaaa unanikandamiza mm na wananguuuuuuuuuuu!
 
Wanawake watu wa ajabu sana. Wifi ni nani na nani ni mke.? Naona kama mnacheza mchezo hapa wa kufurahishana tu kila mke ana wifi na kila wifi ni mke. Mchawi wa mwanamke ni mwanamke msizunguke kumtafuta.
 
Kakako akio jua Wifi wewe ni mtu wa kupita tu maana nawe ujiandae kua na mji wako badala ya kukaa na kubinyana mapaja na kakako kwenye kochi kwa mbanano, mawifi mtulie muache meno ya Mbele kung'ata ng'ata ndoa za kaka zenu maana ufanyalo nawe utafanyiwa muda wako ukifika!! Ninachoshukuru wifi yangu ni kigego
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Kaka zangu uko mliko tafuteni wake Wema kwetu hatupendi makelele tunafurahia ongezeko la familia kikubwa busara itumike[emoji4] .
 
heeee wifi yeye kila siku anaolewa na kuachwa! hakai na mume......anichosha hivyo vizinga kwa kakake.....kakake mwenyewe hali tete me mwenyewe huwa namuoneaga hadi huruma kwa kweli! lkn sister ake akitaka hata kukopa atakopa! after few dakika kaka unamuona kashika tama asema hela hana! namchombeza anakuwa normal! nmevumiliaaa sasa naona roho inaniuma! wifi haishi vi birthday party n.k full bata! sisi huku kwetu kajamba nani! wifiiiiiiiiiiiiii punguzaaaaaaaaaa unanikandamiza mm na wananguuuuuuuuuuu!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kazi kweli kwel
 
heeee wifi yeye kila siku anaolewa na kuachwa! hakai na mume......anichosha hivyo vizinga kwa kakake.....kakake mwenyewe hali tete me mwenyewe huwa namuoneaga hadi huruma kwa kweli! lkn sister ake akitaka hata kukopa atakopa! after few dakika kaka unamuona kashika tama asema hela hana! namchombeza anakuwa normal! nmevumiliaaa sasa naona roho inaniuma! wifi haishi vi birthday party n.k full bata! sisi huku kwetu kajamba nani! wifiiiiiiiiiiiiii punguzaaaaaaaaaa unanikandamiza mm na wananguuuuuuuuuuu!
Naye akae kwa mmewe ili naye wakampige vibomu wenyewe kutwa mizigo kichwani kwa kaka wifi anavumilia[emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji23] [emoji106]
 
Umeongea hiyo nimekumbuka dada mmoja ilibidi awasomeshe wanae kayumba maana mume anasomesha hadi watoto wa dada zake, mawifi sasa walivyo na gubu, pamoja na hayo yote!!
Shost mie siwezi kubali kisa watoto waa hapana waanze wangu halafu wakisha maliza huwaoni hata salamu utasikia aunt mchoyo bila uncle tusingesoma simu kwa mjomba hapana kutoa tutoe inapowezekana sio mme anapata stress anashindwa mpaka majukumu, ila jamani family zetu za kiafrika ni pasua kichwa
 
nDoa huwa haimpi mtu "total Owner ShiP" ya mwenzi anaeishi Nae,So ukioa/kuolewa hkO uenDako kaishi si kwa Kuona Una mmiliki mtu unayeishi Nae, ila uko nae Kimaisha na ni kwa muDa maana hamna kitU km "We will be forever" hasahasa ktk hii Dunia,labDa ktk Maisha yajayo
 
Back
Top Bottom