Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,692
- 14,484
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]We Ney wewe mbavu zangu mieee [emoji23] [emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]We Ney wewe mbavu zangu mieee [emoji23] [emoji23]
Mmh jamani, imbombo jilipoUkiwa na mawifi waswahili wasio na kazi, kazi kupiga umbea tu na kufuatilia maisha ya wifi yao na kaka yao basi wafwaaaa!!!
Kaka yako akishaoa utambue majukumu yameongezeka kwake na ana kazi ya kujenga kwake pia, mtasaidiwa lakini kama mnavyotaka, bali kwa nafasi inayopatikana. Mkishatambua hilo basi walaa hakuna taabu. Kuna mawifi hawana jema, hata ufanyeje wataongea, weka nta masikioni fanya yaliyo ya msingi.
Nimekuuliza hayo maswali ILI MASWALI NA MAJIBU YAKE WANAWAKE WAOTE WAYASOME .... HALAFU WAJUE KWAMBA KILA MWANAMKE ANA PANDE MBILI.... Mmoja yeye ni WIFI kwa walioolewa na kaka zake (yake) na vile vile yeye ni Wifi kwa dada wa mumewe... HIVYO MALALAMIKO YOTE HAYO YANATOKA KWA MWANAMKE KWENDA KWA MWANAMKE....Ndugu relux then uliza maswali ya msingi
Ulishawahi ona mgombea anaomba tena kura baada ya uchaguzi? Subiri ukafanye hivyo utakakoolewa.Tatizo nyie mawifi zetu...
Kabla hamjaolewa...mnakuja tunawafahamu
Mnaonyesha upendo kumbe wa uongo
Mnafua
Mnapika
Mnashiriki kazi kupita kiasi
Mnamhudumia mama mkwe hadi anakuombea heri
Mkiolewa mnageuka miba
Kwa nini baadhi yenu ni miba kwenye familia mnazowakuta???
Hatuwakatazi kuvaa kunywa ni nyumba yako na mumeo
Tunahitaji ule upendo wa mwanzo uendelee
Baadhi yenu mnaingia kwenye familia kwa kujihami na attitudes
Vibaya hivyo
Hureeee kwa sie tusio na mawifi kwakweli, ni mashemeji tu alafu wote wasomi wako busy na shughuli zao.Nashukuru sina mawifi, mamaangu mkwe alizaa madume tupu. Yaan mashemeji wana raha nyie acheni tu, tena usipate wasomi mbona ndoa itaiona tamu
Sasa hii ndio ile mgeni aje wenyeji tupone au!!!![emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Amka saa kumu yandae chainupike uwachemshie maji ya kuoga...uchote maji
Imbombo yoliyoli.Mmh jamani, imbombo jilipo
Na wewe kumbe huna Mawifi?Hureeee kwa sie tusio na mawifi kwakweli, ni mashemeji tu alafu wote wasomi wako busy na shughuli zao.
Haha me hata kampeni sipigi wallahUlishawahi ona mgombea anaomba tena kura baada ya kampeni? Subiri ukafanye hivyo utakakoolewa.
Baada ya ndoa majikumu yake kwa familia yake yanaanza kwahiyo anakuwa anachoka, akija kwenu kaja likizo jamani sio mumgeuze house girl ebo!!! Hebu mumpetipeti wifi yenu sio kumtumikisha aamke saa10 yeye kuku?
He he he kumbe umeolewa?Hureeee kwa sie tusio na mawifi kwakweli, ni mashemeji tu alafu wote wasomi wako busy na shughuli zao.
Wewe unao wangapNa wewe kumbe huna Mawifi?
Haha me huu uzi nasalimia tuWewe unao wangap
we jeuri eeh.....,Haha me hata kampeni sipigi wallah
Ninao, wake za kaka zangu tu. Wana bahati maana kila mtu yuko busy na maisha yake, hakuna wa kuwafuatilia. Tukikutana ni story na vicheko tu.Na wewe kumbe huna Mawifi?
Ha ha ha ha Leo naagiza popcorn na mirinda nyeusi au fursana dabi la mawifi Hili leoHaha me huu uzi nasalimia tu
Ha ha ha ha Leo naagiza popcorn na mirinda nyeusi au fursana dabi la mawifi Hili leoHaha me huu uzi nasalimia tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha me hata kampeni sipigi wallah