Kwenu ameahidi nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwenu ameahidi nini?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Malila, Sep 19, 2010.

 1. M

  Malila JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli mgombea wa CCM anachemsha vibaya, 2005 kwetu alituahidi umeme toka Makambako mpaka Songea mjini. Hamna cha umeme wala nini? Juzi CCM wameahidi kujenga reli toka Mtwara mpaka Songea ndani ya miaka mitano ijayo, wa kumuuliza hatumwoni,mbunge wetu kahamia Dsm. Ipo haja kukusanya ahadi zote alizotoa ili watu wake wamkumbushe kwamba mzee punguza.

  kwenu kaahidi nini?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  kUNA JAMAA ALISHAANZISHA THREAD YA AHADI ZA HUYU JAMAA...NI NYINGI AJABU, NA HAWEZI KUZITEKELEZA HATA ROBO HADI MWISHO WA MAISHA YAKE!
  Anawajua Watz ni mabingwa wa kusahau!
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Inauma sana/inatisha sana lakini ipo siku moja chini ya jua hili hili mambo yanabadilika. Dalili si mbaya.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Ameahidi barabara za juu, wakati za chini hakuna.

  mix with yours!!
   
 5. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ameahidi viwanja vipya vya ndege vya kimataifa wakati ndege hakuna, wameua atc
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Ameahidi ambulance za bajaji vijiji wakati hakuna barabara
   
 7. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  barabara kuzunguka mlima wote
   
 8. N

  Nyamizi JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2010
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 1,401
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Kwetu kuna matatizo ya maji na ametuahidi atatuleta bahari.
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mbulu, katuahidi maji tele, hospital ya Haydom Lutheran kuwa ya rufaa.
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  Kwetu alishapita kipdindi fulani anatimua vumbi watu wakapopoa msafara wake na mawe.

  Hasubutu kuahidi au kuja kwetu!!!
   
 12. M

  Malila JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Ipo haja na sisi tuige mfano wenu.
   
 13. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hii nimeipenda sana.
   
 14. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kaka hii ni miongoni mwa ahadi rahisi sana maana sehemu kubwa ya mlimani already unazungukwa na barabara za lami.
   
 15. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #15
  Sep 19, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Subirini mwayego, labda bahari itakuja kwa msaada wa Shehe Yahaya
   
 16. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,718
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Kwetu alikuja akaahidi daraja la kisasa tuweze kuvuka mto kirahisi . Tukamwambia hatuna mto. Akaahidi kutuletea na mto pia.
   
 17. coby

  coby JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwetu kaahidi kununua mashamba yote ya maswahiba wake atugawie wadanganyika bila kusahau vyandarua feki vya Bush!!!
   
 18. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #18
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Ameahidi kubadili kijiji chetu ili yawe makao makuu ya umoja wa mataifa!
   
 19. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  jimboni kwetu tunashindia mlo mmoja. mkewe ametushauri tule keki zinafaa kwa kipindi hiki kigumu.
   
 20. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hahaha hahaha, nilikuwa nasinzia sasa silali ng'o!
   
Loading...