Elections 2010 Kwenu ameahidi nini?

Kwetu ameahidi tukimpa kura ataoa mke mwingine maaana anasema mke wake wa kwanza alioa kwetu.
 
Kwetu alikuja akaahidi daraja la kisasa tuweze kuvuka mto kirahisi . Tukamwambia hatuna mto. Akaahidi kutuletea na mto pia.

Sasa kipi kitatangulia? itabidi ajenge daraja kwanza ili akileta mto mpate kuuvuka kirahisi au alete mto kwanza kisha tuanze kujenga daraja? Teheeeeeeeeeeee:lol:
 
....kufufua viwanda vilivyokufa miaka zaidi ya 20 iliyopita.....hajasema how; atatafuta wawekezaji au CCM au ikulu au vipi? ipo haja ya wasaidizi wake wamshauri apunguze hizo consumer-based pledges maana zinamdhalilisha badala ya kumpa credit!!!
 
Ni bora akaimba nyimbo za Komba na TOT yao kuliko hivyo anavyofanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom