Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa chini sana mi miezi sita tuu tumeachan leo hii anamiliki gari yake aina ya Alteza tena mpyaaa duuuh kweli maisha ya mjini mwanamke usije jipambanisha nae

Chezea tgo wewe.
 
sasa mwanamke atakuwaje mwenzio na wewe ni mwanaume!!!
kajituma kwa nafasi yake kapambana kapata gari lake, wewe umebaki kulalama tu, hakukosea kuachana na wewe kwa mtindo huu!!! mmmh!!!

mbona kama wamuonea wivu!!! vipi na wewe unataka gari?
bora tu tuolewe wote tujue moja, wanaume wenyewe ndio hawa kutwaa kulalamika kwenye mitandao!

mambo atoto
 
Last edited by a moderator:
Mbona watu mmetafasiri maelezo yangu vibaya jamani mara wivu mara namkosi mara hata sisi tunataka tutoe airtel hahahahahaha hapana jaman nimeshangaa sana kwakua mimi nayafahamu maisha yao fika na hari yao kwa ujumla na mimeoneshwa hiyo gari na rafiki yake wa kike akanipa data zote kua kapata mzee mmoja anaweza kua kama babu yangu amemununulia gari ila yule mzee wanamhisi ni postive..ndio nikawa nashangaa kua ndani ya miezi mi tano kashamiliki gari jaman its wonderfull sikupenda kufatiria juu ya huyo mzes coz it is non of my biznesa ila nimeshangaa kumiliki gari ndan ya mda mchache hivyooo wakati kwaoo maisha sawa na ya kwetu au bora hata kwetuu basiii msinielewe vibaya jaman

Mkuu kwani bado unampenda? Why usiachane nae afanye yake ufanye yako? Kila kitu kinatokea kwa mpango wa mungu labda mungu ndo kakuepusha na ukimwi songa mbele acha kushangaa miezi mitano wakati hata kwa dk 5 inawezekana..we mteme alafu pambana kutafuta
 
Ujinga wa mwanaume kulialia badala ya kutafuta pesa
Utaolewa wewe
 
we huna akili ... ulijua akiachana na wewe maisha yake yatakuwa duni ... aibika ooooowoowowoooo .. adui yako mwombee njaa unafkiri walikosea kusema
 
ngoja nikupe kwa haya mambo.
.Hivi umewa kujiuliza kwann ktk mitume 12 wa yesu hakukuwa na mwanamke?
. Unajua kwann hakuna shekhe mwanamke? Au imam wa kike?.
Umewahi kujiuliza kwann mashetan huwapata wanawake tu?
. Hapo kuna siri nzito sana.
Karibu

Yote tisa.......kumi kaa ukijua kuna wanaume vimavi pia........wapo sana tu.........
 
Hao viumbe ni shidaaa wana miliki rasilimali kama visima vya waarabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom