Sitaki kukujaji kwmb ww ni mtu wa aina gani, ila kama una tabia ya kuachana na gf wako kwa bifu najua utakuwa umeumia. Binafsi, sinaga bifu na ex wngu, na tukikutana tunapiga story kma kawa japo hatugegedani. Ex wng fulani, tena latest kabla sijaoa, sasa hv yupo UN na aliambiwa akaishi France au Marekani, bt sina wivu nae hata kdg na tukikutana ni washkaji balaa. Napata ukakasi kuamini kwamba huna wivu nae, na sidhani kma unapenda kumuona yeye ana gari. Kma mngekuwa bado story zinapanda kimtindo, ungejua vingi bila hta kuambiwa na rafiki yake. Yawezekana rafiki yake nae alitamani kuwa na huyo mzee ila ameshindwa kufunguka tu.
Sent from my iPad using JamiiForums app