Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

Cha muhimu mwanamke akipata buzy lenye hela kuliko wew asilete zarau....aondoke kwa aman...... papuchi yake uchumi tosha.......
 
we huna akili ... ulijua akiachana na wewe maisha yake yatakuwa duni ... aibika ooooowoowowoooo .. adui yako mwombee njaa unafkiri walikosea kusema

Mbona demu mwenyewe kaomba kuachana hapo jamaa anahatia gani
 
Kweli mwanamke sio mwenzio hujui hilo ndugu.??
Mtapewa mshahara mmoja lkn mwenzio kila siku nguo mpya na gari/anamiliki..hela ya ziada atoa wapi..??..
Mtafanya mtihani mmoja wote mna HYPO ak.a number za viatu mwsho wa siku we utasup yeye walaaa...ujue nini...
TUMEBARIKIWAA...kuna vitu tunavyo we wa kiume huna...lol
Dunia hii banaaa....

Ni kweli tofali mmebarikiwa maana mnatoa vingi sana sisi hatuna huo uwezo.. Mmepewa viongo vingi sana vya kuvitumia mpate vingi.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
The only thing could make u happy with ur x is ELIMINATING CHUKI BAINA YENU. My latest x and I are friends, and more than friends. Ni miezi 4 sasa tangu tuachane na tuko poa, she is in somewhere up country now na kuna kitu alitaka nimnunulie hapa Dar akanitumia pesa laki kadhaa nikanunua na kumtumia. Alikuja kwenye krismas tulikutana pia. Kwann mkiachana mgombane kama m23 na kabila???? Ananiambia kila kitu ninachotaka kujua. Ni kitu kizuri na ni furaha pia. Hata anunue ndege leo sitanung'unika kamwe!!! Yale ni maisha yake.
Halafu kama ni nyota hivi, yeye anafanikiwa na mimi ndio nazidi kushamiri wakati tukiwa pamoja sikua hivi nilivyo sasa
 
Alteeza ndio unaona ameweeeza? Kweli akili ni nywele.
 
Hahaha Mzee Chibai Happy New Year bwana wewe

Santee na wewe pia Khantwe Napenda vingi usemavyo coz navipenda na unavisema vyema nikiona umekua harsh sana nauzunika

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
sasa mwanamke atakuwaje mwenzio na wewe ni mwanaume!!!
kajituma kwa nafasi yake kapambana kapata gari lake, wewe umebaki kulalama tu, hakukosea kuachana na wewe kwa mtindo huu!!! mmmh!!!

mbona kama wamuonea wivu!!! vipi na wewe unataka gari?
bora tu tuolewe wote tujue moja, wanaume wenyewe ndio hawa kutwaa kulalamika kwenye mitandao!

Hahahahaha!!!?? Ni shidaaaa
 
Tafuta pesa kijana usishindane na mtu mwenye kitega uchumi cha asili hata siku moja.
 
Pole sana,ingekuwa ni wewe ndio umefanikiwa ungesema alikuwa nuksi kwako,ila kwa kuwa tu ni mwanamke na amepata hilo gari unamuwazia tofauti,maisha haya!!!!!! kweli mwanamke hana haki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom