Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

Kweli nimeamini mwanamke si Mwenzio

Ni sheeedaaah! Kitu gani hicho? Je ukianagalia ni kizuri kama ua? Au hadi gizani, mi sina hakika!

Kizuri wewe....kingekua kibaya watu wangehonga...lol...
U know wt.? Ukiwa nacho wakiona kibaya..ila nje kuna mwenzio hata hicho kibaya unachokiona wewe ...mwenzio analia akipate kwa gharama yoyote...ndio yaliyomkuta mleta mada...watu wamemuonyesha
 
hyo ni kweli mambo ya nyota hayo.... Kuna baadh ya wanawake ukiwa naye tu yaan kila siku lazma uingize hela tena nzuri lakn wapo hao loh! Kila siku kushinda polis makosa hayaishi ww ni kupoteza hela tu

Hata baadhi ya wanaume ni hivyo hivyo........unakuwa na hela lakini cha maana unachofanya huna.........ipo sana hii.......
 
mullax umeongea. alijua atakufa masikini.
nikupe mfano hai limoja liliniruka na mtoto likaniachia mimi kuepuka mawazo nkawa nafanya kazi 2 .
1. kumnyonyesha mtoto
2. kusaka hela mda wote ili kuwa busy nsiwaze sana. baada ya mda wa kuwa busy akafutika automatically moyoni nkajikuta nna akiba kama ya m13. nkaanza kuweka kibanda changu cha room 3 na sebule sahivi kimeisha, bado sahivi najisomesha chuo kwa mara nyingine
povu linamtoka huko mitaani kazi kutangaza mi ntakuwa nna wanaume. hajui akili yangu na mikono ndo buzi langu.

Heheeeeee bi dada hongera sana! Umenifurahisha sana !
Hii ndo dawa ya m baya wako " kill them with success"!
Eti atakuwa na,wanaume..... kwani alitaka uwe lesbian upende wanawake wenzio?
Hata ukiitumia mbunye yako yeye inamuwasha nini? Mbunye za kwetu lakini wanataka kutupangia matumizi ajabu!
 
Wanawake wa bongo ukiwaona kwenye instagram wanavyoshindana kuonyesha wanaisgi maisha ya juu utasema wana makabati ya hela nyumbani

Instagram inaharibu sana maisha ya watoto wa kike. Kila mara wanataka waonekane vizur kumbe hamna kitu
 
Heheeeeee bi dada hongera sana! Umenifurahisha sana !
Hii ndo dawa ya m baya wako " kill them with success"!
Eti atakuwa na,wanaume..... kwani alitaka uwe lesbian upende wanawake wenzio?
Hata ukiitumia mbunye yako yeye inamuwasha nini? Mbunye za kwetu lakini wanataka kutupangia matumizi ajabu!

mi nlichekaa saana kwa furaha kumbe miaka 2 hatuwasiliani yeye ananichunguza.
halafu mtu ambaye si wako akiwa na mwanaume inamuhusu.
yaani nlishangaa sana mtu ambaye nshamsahau bado ananifuatilia. mtoto ukimuona ni toto toto ningekuwekea hapa ila sio safe
 
Hata baadhi ya wanaume ni hivyo hivyo........unakuwa na hela lakini cha maana unachofanya huna.........ipo sana hii.......

mmmh! Wanaume hamna bhana ila wanawake ndio sana
 
Hahahahhahahaha Hii mada wanawake wamereact kinoma hahahaha ngoja nikae pemben nisome comment badae nicollect data na nifanye evaluation girls teririkeni nawapata niko pemben hapaa Mwaj wamnie na wenzako waje niko naenjoy na comment zenu hapa
 
X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa chini sana mi miezi sita tuu tumeachan leo hii anamiliki gari yake aina ya Alteza tena mpyaaa duuuh kweli maisha ya mjini mwanamke usije jipambanisha nae

Wanaume wa "Type" yako huishia kuinamishwa aka kushikishwa ukuta...!
 
Tofauti yao na sisi ni kwamba yeye anaendesha gari ya mumewe au hawara ambalo hana umiliki nalo isipokuwa ameweka rehani papuchi na kijambio...na wewe utaendesha la kwako ambalo umelitafuta kwa jasho lako.......ambalo unaendesha bila masimango wala masharti zaidi ya kufuata sharia za barabarani tu.........cha msingi ni kupigana na kujituma maeneo ya kazi na kujiwekea malengo........mtoto wa kiume kujikompea na mwanamke ni udhaifu wa hali ya juu sana kiasi kwamba inaweza ikapelekea ukaiponza tundu yako ya kutolewa haja kubwa...USIONE UKAZANI..........
 
Tafuta pesa hawa wanawake utawachezea utakavyo na watakunyenyekea, lakin ukiwa kapuku utawachukia
 
mi nlichekaa saana kwa furaha kumbe miaka 2 hatuwasiliani yeye ananichunguza.
halafu mtu ambaye si wako akiwa na mwanaume inamuhusu.
yaani nlishangaa sana mtu ambaye nshamsahau bado ananifuatilia. mtoto ukimuona ni toto toto ningekuwekea hapa ila sio safe

Hongera my dear Mungu akukuzie babe ako! Wamuulize baba Q Chilla na Diamond!
 
Sasa ndio nakupa taarifa hiyo.......nipe sababu ya kwa nini wanaume hakuna..........

ngoja nikupe kwa haya mambo.
.Hivi umewa kujiuliza kwann ktk mitume 12 wa yesu hakukuwa na mwanamke?
. Unajua kwann hakuna shekhe mwanamke? Au imam wa kike?.
Umewahi kujiuliza kwann mashetan huwapata wanawake tu?
. Hapo kuna siri nzito sana.
Karibu
 
Shikamoo laazizi
 
Kweli mwanamke sio mwenzio hujui hilo ndugu.??
Mtapewa mshahara mmoja lkn mwenzio kila siku nguo mpya na gari/anamiliki..hela ya ziada atoa wapi..??..
Mtafanya mtihani mmoja wote mna HYPO ak.a number za viatu mwsho wa siku we utasup yeye walaaa...ujue nini...
TUMEBARIKIWAA...kuna vitu tunavyo we wa kiume huna...lol
Dunia hii banaaa....

Mmmmh! Ukweli unaumaaaa
 
X girl friend wangu niliyekua nae mda woote ananililia shida tukaachana badae baada ya kuona tumeshindwana tabia na kwao nilikua nafahamika sana maana nilikua nawasaidia maana hata uwezo wao ni wa chini sana mi miezi sita tuu tumeachan leo hii anamiliki gari yake aina ya Alteza tena mpyaaa duuuh kweli maisha ya mjini mwanamke usije jipambanisha nae

hahahaha mwenzio papuchi yake tayari mtaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom